Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mtuhumiwa ZHENG s/o LINGYAO, 42, raia wa China Mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma za kumuua FU s/o NANNAN, 26, Raia wa China, mfanyabiashara na mkazi wa Kalenga Ilala Dar es salaam.
Tukio hilo limetokea tarehe 11/06/2022, Mtaa wa Kalenga...