mpango

  1. B

    JamiiForums Tanzania NRNE na mazagazaga yake ni mpango wa Mungu. Nani ajuaye kuwa Polepole leo, hatutajua walipo wenzetu waliopotea na yote ya uvunguni?

    Bila NRNE na hivyo bila Lissu kuwa mbele ya Pilato tungeonana wapi, ana kwa ana na kina Polepole au Gwajima? Hatimaye leo imefika, ile siku ya ahadi, na ahadi iliyopo ni kumwagwa kwa mboga, baada ya ugali kutangulizwa! Kumbe basi, nani atakereka na labda kusikia waliko wenzetu kina Ben...
  2. W

    JamiiForums Tanzania China yazindua mpango wa kwanza wa “Roboti anateweza kubeba Mimba”

    Mkurugenzi wa kampuni ya roboti nchini China amezindua mpango wa kwanza duniani wa “roboti mjamzito” – kifaa kitakachokuwa na tumbo la uzazi la kisayansi na kuuzwa kwa takribani dola 14,000. Bei hii ni ndogo mno ukilinganisha na gharama ya kupata mama mbadala (surrogate) binadamu, ambayo huanzia...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Israel ikifanikiwa katika mpango wake wa Greater Israel Watanzania tujiandae kupoteza Ziwa Victoria

    Bila shaka sasa siyo siri, Israel imeonyesha kwa vitendo na maneno kuwa Inataka ile kitu inayoitwa "Greater Israel". Hilo lilithibitishwa na Bwana Benjamin Netanyahu wakati akihojiwa na mbunge wa zamani ktk bunge la Israel bwana Gal. Netanyahu aliulizwa kama anaamini katika Greater Israel...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango awaalika SADC Kutuma Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dr. Philip Isdor Mpango amesema kuwa maandalizi muhimu kwa ajili ya kufanya uchaguzi mkuu wa haki, huru na wazi yanaendelea vizuri nchini Tanzania na kutoa mwaliko kwa SADC kutuma timu ya waangalizi kwenye uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Dkt...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia za uzazi wa mpango

    Nauliza eti hizi njia za uzazi wa mpango kuna baadhi ya wanawake zinawaathiri wasiwe na hamu ya kufanya mapenzi au anatumia sababu hiyo kuninyima mbususu
  6. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)

    Je, unahitaji Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)? Yaani: Business Plan for Establishing a CNG Refueling Station Biashara ya kuanzisha kituo cha kujaza gesi asilia (CNG) nchini Tanzania ni fursa kubwa na ya kipekee, hasa kutokana na mabadiliko ya dunia kuelekea...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Yas Yaendeleza Mapinduzi ya Kidigitali kwa Wakulima Kupitia Mpango wa Mikopo ya Simu Janja

    Dodoma, Agosti 2025 – Kampuni ya mawasiliano ya Yas imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuleta mabadiliko ya kidigitali kwa wakulima kwa kuendeleza mpango wa Device Financing, unaowawezesha wakulima kumiliki simu janja kwa gharama nafuu kupitia malipo ya awamu. Kupitia mpango huu, mkulima...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Usalama la mawaziri kesho alhmasi Jerusalem ili kuidhinisha mpango wa kuitawala kijeshi Gaza

    Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene his security cabinet at 6 p.m. Thursday at his office in Jerusalem, according to the Prime Minister’s Office, where it is expected to approve fresh plans for the continuation of the war in Gaza. During a three-hour security discussion among a...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Mpango wa Mbowe kwenda CHAUMMA umeshindikana

    Nimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika. Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Babalevo kucheza kamali ni wa muhimu kuliko Philipo Mpango

    Kucheza kamari siyo kosa bali vioongozi walioidhinisha kamari ndiyo hawafai kabisa hasa wa serikali na dini ambao wanatumia kodi za kamari kuendesha maisha yao.
  11. JamiiForums Tanzania Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi wa SADC waanza Madagascar na kikao cha kujadili mpango wa maendeleo

    Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi cha kupitia Utekelezaji wa Mpango Mkakati Elekezi wa Maendeleo wa Kikanda 2030 (Regional Indicative...
  12. JamiiForums Tanzania Inasemekana Juma Jux na mkewe wana mpango wa kufanya Adoption

    Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Wanajeshi IDF wafichua Oktoba 7 ilikuwa mpango wa ndani

    Wanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele
  14. N

    JamiiForums Tanzania Serikali mpya ya Syria ni mpango wa Urusi?

    SIASASYRIA Putin ampokea Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Bakari Ubena 01.08.20251 Agosti 2025 Rais wa Urusi Vladimir Putin amempokea kwa mazungumzo Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Asaad al-Shibani na kumueleza dhamira ya Kremlin ya kuanzisha uhusiano na uongozi mpya wa nchi hiyo. Siku ya...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni mpango wa mawanaume, ni fursa kwa mwanamke

    Leo hapa kijiweni NYASAKA CENTER. mzee wetu leo kaja na neno la kutuambia vijana kuhusu NDOA. Ndoa ni mpango mzuri kwa mwanaume na ni fursa kwa MWANAMKE akiwa na maana ya kwamba Mwanaume ili aoe ni lazima awe amependa na ameamua ila MWANAMKE ili aolewe 99% wanaangalia nini atapata kwenye ndoa...
  16. JamiiForums Tanzania SBL Yazindua Mpango wa Kilimo Biashara Kuongeza Mavuno kwa Wakulima

    Mkurugenzi Wa Masoko ya Kilimo na Usalama Wa Chakula, Gungu Mibavu (kushoto), akimwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL), Obinna Anyalebechi wakiashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa ‘Shamba ni Mali’ wenye lengo la kuwanufaisha...
  17. JamiiForums Tanzania MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA

    THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi) MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA: CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Majaliwa na Mpango hakuna anaye wasikiliza ingawa ni viongozi

    Majaliwa na Mpango ni Bata Vilema kwa sasa. Wapo wapo tu hakuna anaye wasikiliza ingawa ni viongozi. Kitu ambacho wamefanyiwa sio vizuri kwa taifa kuwa na viongozi ambao hawasikilizwi kwasababu watu wanajua hawatakuwepo
  19. JamiiForums Tanzania Mimi Ponjoro wa Kinondoni October Sitamuunga mkono Samia Suluhu Hassan. Namwomba Apumzike kama Philip Mpango na Majaliwa Majaliwa

    Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake. 1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wizara ya Uvuvi imeachana na mpango wa kukopesha vizimba kutokana na ukosefu wa fedha

    Wizara haitatoa vizimba wala boti tena kwa wavuvi, hiyo ndio taarifa rasmi ambayo bado haijawa rasmi. Serikali imeamua kufanya hivyo kutokana na ukosefu wa fedha hasa ikizingatiwa bajeti kadhaa zimepita. Hii taarifa nimeipata kutoka Wizarani Dodoma.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…