mpango

  1. JamiiForums Tanzania Rasimu ya mpango wa uendelezaji Sinza yawasilishwa kwa wananchi

    Mpango haulengi kuondoa umiliki wa ardhi Na Lusajo Mwakabuku – DSM DAR ES SALAAM: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu Rasimu ya Mpango wa Uendelezaji Eneo la Sinza, Jijini Dar es Salaam, unaolenga kuendana na mabadiliko ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali ina mpango gani wa kumsaidia Mkulima wa Mahindi nchini?

    SERIKALI INA MPANGO GANI WA KUMSAIDIA MKULIMA WA MAHINDI? Tanzania kwa sasa ina uzalishaji mkubwa wa mahindi, lakini NFRA imetangaza kununua mahindi kwa Sh 450 kwa kilo, wakati mwaka jana (2025) bei ilifika karibu Sh 700 kwa kilo. Wakati huo huo, gharama za uzalishaji zimekuwa zikiongezeka...
  3. H

    JamiiForums Tanzania UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP)

    UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP) Ahadi hiyo ilitolewa na Bi. Fatou Haidara, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO alipofanya mazungumzo na Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Dar kwa sasa tunahamisha taka mitaani tunapeleka Pugu Kinyamwezi, tumeamua kuanza mpango wa kuchakata taka kuwa Umeme, Gesi au Oil

    Dar es Salaam kwa sasa tunahamisha takataka kutoka point A tunapeleka point B. Tunahamisha huku kwa watu tunapeleka Pugu Kinyamwezi. Kwa hiyo kwa lugha nyepesi ni kwamba huku unaweza ukakuta kusafi lakini Pugu Kinyamwezi kuchafu. Sasa tumekubaliana jambo gani? Kwamba kwa sasa tuingie kwenye...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka 18, Sahani ya Wali na Mpango wa Jailbreak: Christine Alikuwa Mastermind au Alitumika?

    Alifika Ruai Police Station akiwa na sahani ya wali na nyama kwa ajili ya marafiki zake watatu waliokuwa rumande. Lakini polisi walipopekua chakula hicho, walidai kupata kitu kingine chini yake: pliers na shears. Hivyo ndivyo Christine Njoki Gitau, 18, alivyojikuta naye akiwa chini ya ulinzi...
  6. JamiiForums Tanzania Lema ana Mpango Ovu tu, kwann alipost ile nyaraka ya AI inayohusu Passport ya HECHe ?

    Yaan kwamba LEMA alona akiongea tu haitatosha, akaona aambatanishe na Nyaraka ya AI kuonyesha kua HECHE anaawasiiiano na DGIS. Hapa LEMA alikua anajaribu kujenga ile picha ya HECHE NDIO ANAMFANYA LISSU AKATAE MAKUBALIANO, WAKATI HUOHUO ANATUMIKA NA WATU WA SAMIA. Kila napotafakari, naona...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Katunga: Nina mpango wa kumfungulia kesi wasira ya uhaini

    Wasira kama tundu lisu.. anaweza kufunguliwa kesi kwa kutamka au kusema 1. Jamii haiji kuwa na usawa wakati napambana ikifika wakati wangu kuongoza nitaleta usawa 2. Kuvunja Muungano https://youtu.be/0BKTICQ09lA?si=_xfRQtJTXPiyGXhz
  8. JamiiForums Tanzania Unayopitia yote ni mpango wa mungu.

    Kama unamuamini mungu kila unachopitia ni mpango wake mungu. Kama wewe ni masikini huo ni mpango wake, Kama umedhulumiwa huo ni mpango wake, Utawala wa CCM ni mpango wake, Kama unaumwa huo ni mpango wake, Ukifiwa ni mpango wake, Ukifungwa ni mpango wake, Ukiibiwa ni mpango wa mungu...
  9. JamiiForums Tanzania Mpango wa kutumia SUMA JKT kandasasi za ujenzi uliishia wapi?

    Tukiwaambia CCM ndo kikwazo cha maendeleo ya inchi hii muwe mnaelewa. Na tatizo kubwa ni rushwa wanazopata kwa kuwapa tenda wachina hata kujenga jengo tu. Kama SUMA jkt walijenga ikulu na majengo mengi ya umma kwa viwango bora kabisa na garama ndogo, kwanini baada ya kifo cha magufuli tenda za...
  10. JamiiForums Tanzania Je, mahakama kukataa kuwa summon Rais Samia, VP Mstaafu Philip Mpango na PM Mstaafu Kassimu Majaliwa inaathiri "Fair trial" ya kesi ya Lissu?

    By Advocate Paul Boniventure; Jibu la moja kwa moja ni NDIYO inaweza, lakini kwa upande mmoja pia ni HAPANA kwa sbb ni discretion ya kawaida ya kisheria ya mahakama kuchukua uamuzi huo kwa kuzingatia relevance ya shahidi na ushahidi. Nitaeleza... Yes, uamuzi huu ni mgumu na mzito sana kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Huu ndio Uamuzi wa mahakama wa aidha Rais Samia, Philip Mpango (VP mstaafu) na Kassimu Majaliwa (PM mstaafu) waitwe kumtetea Lissu au la..

    HUU👇👇 NDIO UAMUZI ULIOSOMWA NA KIONGOZI WA JOPO LA MAJAJI WATATU WANAOSIKILIZA SHAURI HILI, MH. DANSTUN NDUNGURU ".....Mtakumbuka kuwa tarehe 21/08/2025 baada ya Mahakama kutoa uamuzi kuwa mshtakiwa ana kesi ya kujibu, mshtakiwa aliwataja mashahidi 11 na shahidi wa kwanza ni Samia Suluhu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mahakama iliamua nini kuhusu mashahidi wa utetezi aliotaka Lissu wafike mahakama ambao ni IGP, CDF, DGIS, Majaliwa na Mpango?

    Naomba kuuliza ni nini mahakamani iliamua kuhusu hao mashahidi kwenye kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu? Hawa wanatakiwa kufika mahakamani kama mashahidi wa upande wa utetezi kwahiyo ni mashahidi muhimu kwa mshitakiwa. Kuhusu Samia, najua kulikuwa na mvutano, sasa hao wengine mahakama...
  13. JamiiForums Tanzania ACT: Tunapinga mpango wa DC Temeke kufuta Kata 10 ili kupisha Bandari Kavu, wamenogewa na biashara

    https://www.youtube.com/live/foCqxnCqX8M ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam imepokea kwa mshangao na kupinga vikali kauli za Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndg. Sixtus Mapunda kuhusu mpango wa kuhamisha wakazi na kuathiri uwepo wa kata zipatazo 10 katika Wilaya ya Temeke kwa madai ya kupisha ujenzi...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura kukabiliana na El Nino nchini

    Mkutano na Waandishi wa Habari Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, atazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mpango wa dharura wa kukabiliana na madhara ya El Nino, nchini. 📆 02 Septemba, 2026. 🕰️ 05:00 Asubuhi. 📍Ukumbi wa mikutano Ngome/Relini Dodoma.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye swala la uzazi wa Mpango Wazungu walijichanganya, Vizazi vyako na familia zao zimeparanganyika. Ingawa.....!!

    Ukweli usemwe Tu, Mimi sio muumini wa kuzaa watoto wengi wanaozidi Uwezo wa kuwatunza na kuwalea. Nimekuwa Wakili( Advocate) wa kuzaa kwa mpangilio na kuhimizia familia kuhakikisha wanafanya kazi ili kulea watoto wao kwa uzuri na kujenga Taifa Bora. Nimezunguka Nchi kadhaa duniani kama 10 tu...
  16. JamiiForums Tanzania Mpango wa Mungu si mpango wa mwanadamu, yeye anapanga yake na sisi yetu

    Ni vizuri tukakumbuka kwamba aliyeasisi unyama huu (udikteta uliopitiliza) wa kiwango cha akina Benito Mussolin, Joseph Stalin, Augusto Pinochet ni Magufuli akilindwa na Katiba ya 1977 iliyoandikwa na CCM chini ya maelekezo ya Nyerere. Naonya: ikiwa hayatafanyika marekebisho ya dharura ya...
  17. JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote

    Na Benny Mwaipaja, Addis Ababa Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khams Mussa Omar, amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote ikiwa ni dhamira ya Serikali ya kuwekeza katika rasilimali watu...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania Stand Up, Heshima kubwa kwa Viongozi wa Kiroho wa Nchimbi na Mpango

    Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa, Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania Ni hawahawa Catholic walimfanya JPM ajutie kuwa Mkatolic! It is no joke hawa watu wana utimamu wa akili against all myths na...
  19. JamiiForums Tanzania Samia mpe tu hiyo nafasi Mbowe kama ulivyodhamiria ili mpango wako ukamilike

    Nimedokezwa kuwa upo mpango mahususi unaandaliwa ili bwana Mbowe apewe ile nafasi. Mpeni tu maana hamna tena aibu kuficha mauchafu yenu. Litakuwa ni pigo kwa yule bwana kuondoka.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada naomba kujua je, mashahidi walioitwa na Tundu Lissu akina Samia, Majaliwa, Mpango wanaenda kutoka ushahidi upi mahakamani?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kesi bado Iko mahakaman na big brain tundulisu kaita mashahidi wake mahakaman Mashahidi hao ni Samia, mpango, majaliwa na wakuu wa Majeshi Sasa basi naomba kujua hawa mashahidi wanaenda kutoa ushahidi upi mahakaman? Kutetea au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…