UTEUZI WA MPANGO

UTEUZI WA MPANGO

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
321
Reaction score
656
Hivi huyu mzee Mpango afya yake ilisha tengamaa?
1000256014.jpg
Maana jana tarehe 18, November 2026 kateuliwa kuwa mkuu wa chuo cha SUA pale Morogoro.
Ikumbukwe alistaafu Umakamu wa Rais sababu za kiafya!
 
Hivi huyu mzee Mpango afya yake ilisha tengamaa? View attachment 3712885Maana jana tarehe 18, November 2026 kateuliwa kuwa mkuu wa chuo cha SUA pale Morogoro.
Ikumbukwe alistaafu Umakamu wa Rais sababu za kiafya!
Mwenye nacho huongezewa, asiye nacho hata kidogo alichonacho, hunyang'anywa.

Nimenukuu toka kwenye Biblia.
 
Alimuomba mtawala mapema sana kuwa anaomba apumzike utumishi wa umma, nadhani pia hajasema kama sasa yupo tayari kurudi kutumikia umma. Aliainisha sababu zake kuwa anawaachia wengine vijana waendelee kutumika ....sasa sijui anayemteua ana maana Gani? Maana mhusika aliomba kistaarabu tu anajijua mwenyewe na afya yake pamoja na uwezo wake wa utendaji kazi akaona inatosha apumzike acheze na wajukuu. Inapaswa tujifunze kusikiliza wengine, wapo wengi sana wanatamani kupumzika utumishi ila wanaogopa kumwambia mtawala wakihofia atawatafsiri tofauti lakini Hawa wenye ujasiri wa kumwambia mtawala kuwa wanaomba wapumzike kwa hiari...mtawala anatakiwa awasikilize awaache wapumzike.....nabakia kusema sijui aliyemteua ana lengo Gani naye sijaelewa
 
Back
Top Bottom