mpango mkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MakinikiA

    Mimi naamini maneno ya Kitila matumizi ya fedha za dhahabu, kuliko ya hao wengine, Je, wewe?

    Kuhusu jambo linalotaka kufanyika la serikali kuuza hazina ya dhahabu na pesa kutumika kwenye miradi, scenario ya Bwana Mkumbo inaingia akilini kuliko ya Bwana Gavana. Huwezi kuja na maelezo kwamba ulijiwekea lengo na kinachozidi unaamua kukiuza kwa nini???? Kwa hiyo Bwana Gavana unatuambia...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia akizindua Mpango Mkakati wa KKK kwa Watoto wa Awali, Darasa la I na II

    https://www.youtube.com/live/6AuU7vpGdDs
  3. Dennis Robert Shughuru

    Nitatumia gesi asilia kuzalisha umeme zaidi ya megawatts laki 2 na huu ndio mpango mkakati wangu

    Tunafahamu kwa sasa kama nchi hatuzalishi zaidi ya megawatts 5000 nikimaanisha megawatts tunazozalisha ni kama 4000+ hizi ni ndogo sana KUWEKEZA KWENYE GESI ASILIA KUPITIA MIRADI MITATU AMBAYO INATAKIWA KUMILIKIWA NA NCHI Kuhakikisha drilling zinamilikiwa na nchi na sio foreigner company...
  4. fexcash

    GE2025 Mpango mkakati maalumu siku ya Oktoba 29, 2025

    Vijana wenzangu siku ya tarehe 29 October ni siku yetu ya kuikomboa Tanzania na kujenga Tanzania mpya. Sasa basi tusipelekeshwe na wanasiasa maana hawa ndio vigeugeu wakutuchomesha maana wengi ni double agents. Najua wapo vijana wengi wasomi wenye uwezo wakutengeneza forum za siri ambazo...
  5. Superbug

    Mambo haya nadhani ni mpango mkakati kuelekea kampeni

    1. Boti ile kusafirishwa Kwa semi nadhani ilikuwa sehemu ya kampeni. 2. Kukamatwa Madawa ya kulevya na mtu kupewa biriyani ilikuwa ni kutafuta vya kujazia nyamamyama kwenye hotuba ya Leo ila tukio ni upishi na chai ya tatepa. 3. Ongezea.
  6. The introvert

    Je, hali inayoendelea kuhusu derby ya Kariakoo ni mpango mkakati wa kisiasa?

    HABARINI ZA ASUBUHI WANAJAMVI. Naomba tushirikishane mambo machache kuhusu hali iliyopo kwa sasa kuhusiana na suala la derby ya kariakoo. Je hali hii endelevu ya sintofahamu iliyopo baina ya TFF, TPLB, SIMBA SC pamoja na YOUNG AFRICANS SC ni mpango maalumu wenye mlengo wa kisiasa kwa ajili ya...
  7. ELI COHEN

    Hapo nyuma nilidhaniaga wema na unyenyekevu ndio silaha ya mafanikio na aman katika maisha ila AGGRESIVENESS ndo funguo ya huu mpango mkakat wa maisha

    Wema na unyenyekevu ni vya kumfanyia baba na mama, mjomba na shangazi, bibi na babu. Ila system endelevu za maisha hazijatengenezwa kwa ajili ya mtu alio fair bali zimetengenezwa kwa ajili ya mtu alie fit. Tofauti na hapo utabaki kunung'unika na kulaani, kwamba iweje upole na fairness...
  8. MALCOM LUMUMBA

    Somo la kihistoria: Tanzania inawahitaji sana diaspora katika kuleta maendeleo

    SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI Katika kusoma kwangu historia ya dunia, hasahasa ya miaka 300 iliyopita sijawahi kuona popote mabadiliko makubwa yamefanyika ndani ya nchi fulani bila msaada wa Diaspora. Katika miaka 300 iliyopita, mapinduzi makubwa ya kisiasa ambayo ni somo kwa dunia nzima...
  9. Carlos The Jackal

    Serikali Kuwalipa Wanajeshi Mishahara mapema, ni mpango mkakati, Sitoshangaa JWTZ ikatoa tamko la Kufanya Usafi Barabara za kuzunguka Mahakama 24/4?

    Mbinu ya CCM miaka yote ni ileile, kuwalisha Chambo watu wote wanaweza kua kikwazo kwao, ili inturn alokula Chambo awe Hana namna nyingine !!. CCM wamefanya hivo, ili Jeshi lione linajaliwa, na matokeo yake ni Jeshi nalo baadae kulipa Fadhila. Ni Baada ya Hotuba ya Mzee Warioba, kua Taasisi...
  10. MSONGA The Consultant

    Ushiriki wa Bodi ya Wakurugenzi kwenye Usimamizi wa Mpango Mkakati kwa Kampuni au Shirika

    Bodi ya Wakurugenzi ni chombo nadi ya kampuni au shirika chenye lengo la kusimamia maslahi ya wanahisa/wanachama kwa kuhakikisha kwamba kampuni au shirika linaendeshwa kwa kufuata misingi na taratibu zilizowekwa, ambapo Bodi ya Wakurugenzi ndio yenye jukumu la kuandaa misingi na taratibu hizo...
  11. Yoda

    Mbowe hana mpango mkakati mpya wa mabadiliko kwa uchaguzi wa 2025.

    CHADEMA mkimchagua Mbowe awe mwenyekiti tena tegemeeni uchaguzi wa 2025 kuwa kama wa 2024, 2020 na 2019. Mbowe hana mbinu mpya au hamasa ya kushawishi mabadiliko ya uchaguzi 2025, Lissu ndio mtu sahihi wa kuongoza na kuleta mabadiliko mwakani. Mbowe alifaa kuwa mwenyekiti enzi za JK ila sio...
  12. Mi mi

    Tuje na mpango mkakati wa kukuza IQ zetu bila hivyo tutaendelea kuteseka

    Tunapigwa kwenye mikataba kwa sababu IQ zetu bado ndogo. Huwezi mzidi ujanja mwenye IQ kubwa kuliko wewe lazima akulambe tu. Juzi mchina Xi katukusanya kama kumbi kumbi huko mitaa ya Beijing haya sasa subiri mipigo mirefu ya wachina kwa miaka mingi ijayo. Hatuwezi shindana na watu wenye IQ za...
  13. Mhafidhina07

    PreGE2025 Uandaliwe mpango mkakati wa kuiondoa CCM madarakani. CHADEMA somesheni vijana!

    Mpango mkakati wa CHADEMA nadhani umejikita katika kipindi kifupi na ndiyo mkakati ambao umetumiwa na vyama mfu vya upinzani kuindoa CCM Madarakani. Nilishangaa sana CHADEMA kumpokea LOWASA na LAZARO NYALANDU wote hawa hawakua chaguo sahihi kwa chama kikubwa cha upinzani. Mipango mkakati ya...
  14. J

    Jokate aeleza mpango mkakati wa kuwapatia mafunzo Viongozi wa Wilaya nchi nzima

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Komredi. Jokate Mwegelo, amesema hivi karibuni watakuwa na mafunzo kwa viongozi wao wa wilaya nchi nzima ili kuendelea kulinda nidhamu ya utendaji na uaminifu katika Taifa la Tanzania kwa vijana wanao aminiwa na Chama au Serikali...
  15. Analogia Malenga

    Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania lazindua Mpango Mkakati wa 2024-2029

    Mwishoni mwa wiki hii, Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania likiongozwa na Zainab Katimba limezindua mpango wake wa kwanza wa mkakati wa miaka mitano (2024-2029). Baraza hili la vijana ni chombo cha kuwaunganisha vijana na kutoa fursa za kipekee kujadili masuala yanayowahusu moja kwa moja. Ni...
  16. Jerry Farms

    SoC04 Mpango mkakati Uboreshaji na urahisishaji shughuli na muingiliano maeneo ya biashara katikati ya miji na majiji

    Tanzania imekua ikishuhudia mabadiriko mbalimbali ya kimaendeleo, kufuatia mabadiriko haya vijiji vimekua toka ukijiji hadi mitaa, miji hadi manispaa, manispaa hadi majiji nakadharika. Kufuatia ukuaji huu wa maeneo kasi ya uingilianaji wa shughuli za binadamu ni suala lisiloepukika hivyo...
  17. GENTAMYCINE

    Kumbe Rais Samia analazimishwa kuitwa sasa Mama wa Taifa kwakuwa kuna huu Mpango Mkakati kabambe nyuma ya Pazia?

    Haya akina Hussein Mwinyi uliyekuwa Unaota kuja Bara 2025, akina January Makamba, Mwigulu Nchemba, Ridhiwani Kikwete na Dotto Biteko mnaohangaika Kujipanga kwa 2030 nawaombeni kuanzia sasa Sahauni huo Mpango. Za uhakika ni kwamba Aliyeko sasa ( Boss Wenu ) anamalizia hii Minne ya Deiwaka (...
  18. S

    Kamatakamata siku ya Mechi ya Simba na Yanga, ni coincidence au ni mpango mkakati?

    Hili ndio swali ninalojiuliza kuwa kamatakamata hii kwenye siku hii ,ya leo yenye attention kubwa ya mpira wa Yanga na Simba imetokea kama coincidence au ni mpango mkakati? Labda niulize kwanini weekend ndio wahakikishe wote wamekamatwa ili hali kosa uhaini halina dhamana? Je, lengo ni...
  19. Replica

    Asilimia 28 ya wanaokaribia kustaafu hawana mpango mkakati baada ya kustaafu

    Wachambuzi wameitisha mjadala wa mawazo kutoka kwa wadau ili kufanyia kazi tatizo la kutokuwa na mipango baada ya kustaafu kwa zaidi ya robo ya watu waliofikisha umri wa miaka 55 na zaidi. Baada ya kustaafu wahusika hukumbwa na kuongezeka kwa gharama za matibabu na kujitunza kutokana na umri...
  20. H

    Mkataba wa Bandari: Ni kweli Rais wa hajui alichosaini au ni mpango mkakati uliojificha?

    UTANGULIZI: Kwa taaluma yangu kama mwanasheria nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kweli kuwa ule ndio ushauri wa kisheria (legal opinion, or legal memorandum) uliotolewa na watalaamu wetu wa kisheria kumshauri Rais wa JMT kuridhia kuingia kwenye mkataba wa kipuuzi na kipumbavu namna ile. Ni...
Back
Top Bottom