mpango

  1. R

    Marekani kuwasilisha mpango wa Vipengele 15 Kumaliza vita, Iran yadai hakutakuwa na Makubaliano kamwe

    Jeshi la Iran limekanusha taarifa za kuwepo kwa mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, na kuibua mashaka kuhusu mpango wa amani wenye vipengele 15 unaodaiwa kuwasilishwa na Ikulu ya Marekani. Ebrahim Zolfaghari, msemaji mkuu wa jeshi la Iran Makao Makuu Khatam Al-Anbiya, ametoa hotuba...
  2. Roving Journalist

    Waziri Kombo awasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa 2025/2026 na mpango wa 2026/2027 kwa Kamati ya NUU

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa mwaka 2025/2026 na mpango wa bajeti wa mwaka wa Fedha 2026/2027 kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ulinzi na Usalama (NUU) jijini Dodoma. Akiwasilisha...
  3. Parabolic

    Masauni: Mpango kukijanisha nchi upo mbioni

    Mwanza. Serikali ipo mbioni kuanzisha Mpango wa Mageuzi ya Kijani utakaolenga kukijanisha Tanzania na kusafisha Mazingira ambao programu zake zitasambaa nchi nzima ikiwa moja ya njia ya kuhifadhi na utunzaji wa Mazingira. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad...
  4. O

    NTSA Yaleta Digital Fines Mpya… Lakini Court Yasimamisha Mpango! Madereva Wabaki Wakishangaa

    Madereva nchini Kenya wamekumbana na mpango mpya wa NTSA wa digital fines unaotoza faini instant kupitia mfumo wa Traffic Management Solution (TMS). Mfumo huu ulilenga kupunguza face-to-face interaction na polisi barabarani ili kupambana na corruption. Kwa sheria hizi mpya, makosa madogo kama...
  5. Dalton elijah

    Kamal Kharaz amesema Iran ipo tayari kwa vita vya muda mrefu

    Katika mahojiano maalum, Mshauri wa Sera za Mambo ya Nje katika ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Kamal Kharazi, alimwambia mwandishi wa CNN Frederik Pleitgen kuwa ni “simulizi la uongo” kudai kwamba uwezo wa kijeshi wa Iran umepungua kwa kiwango kikubwa, na akaongeza kuwa haoni tena “nafasi ya...
  6. R

    Balozi wa Iran: Hatuna Mpango wa Kuishambulia Kenya...

    Iran has allayed fears of alleged plans to target Kenya amid an escalating war with the United States and Israel. During a press briefing in Nairobi on Monday, Iranian Ambassador to Kenya Dr Ali Gholampour noted that Kenya does not provide a US military facility with the capability to attack...
  7. Roving Journalist

    Responded ZECO: Changamoto ya umeme Zanzibar inachangiwa na miundombinu ya kusafirisha umeme, kuna mpango wa kuweka njia kutoka Bara

    Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia changamoto ya umeme kukatika mara kwa mara maeneo ya Kwahani Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini, Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limetoa ufafanuzi kuhusu hali hiyo. Hoja ya awali iko hapa ~ Shirika la Umeme Zanzibar mnatukwaza kukata...
  8. H

    Makamu wa Rais azindua mpango wa ushirikiano kati ya taasisi za elimu na viwanda

    TAARIFA KWA VYOMBO HABARI MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA TAASISI ZA ELIMU NA VIWANDA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa sekta binafsi kushirikiana na Vyuo, kuwekeza katika tafiti hususan za sayansi na...
  9. Roving Journalist

    Dkt. Nchimbi: Mpango wa Ushirikiano kati ya Vyuo na Sekta ya Viwanda ni Hitaji la Lazima

    https://www.youtube.com/live/PjZMsQ0hrxU Akizungumza katika uzinduzi wa Mpango wa Ushirikiano kati ya Taasisi za Elimu na Sekta ya Viwanda uliofanyika leo, Februari 9, 2026, jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewahimiza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
  10. S

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hatuna mpango wa kuachana na programu ya nyuklia, hatutishiki

    ''Iran imelipa gharama kubwa kwenye programu ya amani ya nyuklia na urutubishaji wa uranium.-Abbas Araghchi - Kwanini tunasisitiza sana kwenye urutubishaji wa uranium na hatuna mpango wa kuachana na programu hii hata kama vita vikiletwa kwetu ?Ni kwasababu hakuna nchi ambayo inaweza kuamuru...
  11. Roving Journalist

    PostGE2025 ACT: Tunapinga na Kulaani mpango wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuchoma Ushahidi wa Wizi wa Kura

    CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
  12. N

    Uzazi wa mpango upi salama?

    Habari wana JF?. Mimi Niko kwenye ndoa mwaka wa pili, nimebahatika kupata mtoto Mmoja ana mwaka na miezi miwili saiv. Tulikuwa tunatumia njian ya UZAZI WA MPANGO WA kitanzi na mke WANGU, na kitanzi chenyewe kawekewa kina kama miezi nane tu ila chakushangaza alikuwa hajaingia period tangu wiki...
  13. The Father of All

    Je Trump ana mpango wa kama aliomfanyia Maduro kwa Ali Khamenei wa Iran

    Kama ilivyokuwa kwa kukamatwa kwa rais wa zamani wa Venezuela Nicholas Maduro, kwanza, Marekani ililpeleka meli zake za kivita karibu na Venezuela. Kwa sasa, meli hizo sasa ziko karibu na Irani. Je, Trump kanogewa na hivyo anataka kumnyakuwa ayatollah Ali Khamenei ili kuzidisha kutunisha misuli...
  14. Roving Journalist

    Rais Samia akizindua Mpango Mkakati wa KKK kwa Watoto wa Awali, Darasa la I na II

    https://www.youtube.com/live/6AuU7vpGdDs
  15. L

    Wanaofikiria kumhujumu na kumkwamisha Rais wetu wanajisumbua

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapeni tu taarifa ya kuwa kama kuna mtu ama watu ama kikundi cha watu iwe ni ndani ya Nchi ama kutoka nje ya Nchi kinachoweza kuwa na mawazo ama Dhamira ya kumhujumu Rais wetu na Kumkwamisha Rais wetu Mpendwa katika kulitumikia Taifa letu. Ni lazma wafahamu ya kuwa...
  16. Jumanne Mwita

    Mpango wa Bakery 2026 na Ombi la Mawasiliano ya Wauzaji wa Mashine za Kukanda Unga

    Ndugu na mdau wa jukwaa hili ninatumia nafasi hii kuwasilisha wazo langu la biashara kwa mwaka huu wa 2026, nikiwa na matumaini ya kupata mrejesho, ushauri wa moja kwa moja, na hasa mawasiliano ya wadau wanaohusika na uuzaji wa mashine za kuoka na kukanda unga. Nina mpango wa kuanzisha biashara...
  17. Imani rubaba

    Somo letu leo kuhusu mpango biashara kwa wakulima na wafugaji

    Leo tunaendelea rasmi na somo la Uandaaji wa Mpango Biashara (Business Plan) kwa wafugaji na wakulima Hili ni somo muhimu sana kwa yeyote anayefanya au anayepanga kuanza kilimo na ufugaji wa kibiashara. Tutajifunza kwa kina: 1. Business Plan ni nini na kwa nini ni muhimu. Jinsi ya kuandaa...
  18. Zuella zuu

    Serikali ina mpango gani na sarafu yetu?

    Hizi sarafu zilivyopotea mitaani serikali ina lengo gani? Kwamba ndio tuanze kutumia mia tano kama sarafu ndogo kuliko? Na kama ikiwa hivyo vipi kuhusu pesa yetu inapoelekea? Wataalam naombeni mnifafanulie tafadhali
  19. Sax

    Project 2025: Mpango wa Kisiasa unaohusishwa na Donald Trump

    Project 2025 ni mpango mkubwa wa sera ulioandaliwa na taasisi za kisiasa za kihafidhina nchini Marekani, hususan Heritage Foundation. Lengo kuu la mpango huu ni kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa serikali ya Marekani kuanzia mwaka 2025 endapo rais wa mrengo wa kulia ataingia madarakani. Mpango...
Back
Top Bottom