Nianze kwa kutoa pongezi kwa JamiiForums.com kutupazia sauti kuhusu gharama kubwa iliyokuwa ikitozwa kupata huduma ya choo Mbezi stendi ya daladala, hatimaye bei imeshuka na kuwa sh. 200.
Bei ya choo ilikuwa kero kubwa sana hasa kwa watu wenye shughuli zao maeneo ya stendi, bei hiyo...