moyoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Huwezi kuwa kiongozi halafu usitake kupendwa. Uongozi nchi ni kama Ndoa. Huwezi tenganisha Mapenzi na Uongozi

    Hamjambo! 1. Ni sawa uoe/kuolewa alafu useme nikijipenda inatosha, au akinipenda Mama inatosha. Mkeo au mumeo asipokupenda tafsiri yake hakuna ndoa hapo. 2. Uongozi unatokana na mapenzi. Kupendwa. Ndio maana watu wanachagua viongozi wanaowapenda. 3. Na huwezi kuongoza watu wasiokupenda. Kwa...
  2. Pdidy

    Waziri Mkuu ukimaliza ziara, usiisahau Dar na anzia Kinondoni. Ruhusu watu watoe ya moyoni

    Waziri Mkuu goodmorning Nimeona nianze kukupongeza kwa kazi nzuri ya kusikiliza malalamiko ya wananchi mkoani Waziri Mkuu nimeona niseme haya Pamoja na kazi nzuri unayofanya yale maagizo huwa mengi hayatekelezwi. Mimi nilikuwa mshabiki sana wa ziara za Majaliwa, kwa kweli kuna mambo alikutana...
  3. Mshana Jr

    Body language.. Facial expression vinatambulisha mzigo mzito aliobeba moyoni

    Macho yanaongea .. Sura inasema.. The guilty are afraid...! Yaliyomo moyoni mwa mtu akishindwa kuyadhibiti hujitambulisha kwa uwazi kwenye macho na taswira kupitia sura yake! Furaha Huzuni Fadhaa Sintofahamu Maumivu Uoga Uongo Ukweli Bashasha Kimuhemuhenk Hali zote hizi huweza kutambuliwa kwa...
  4. GenuineMan

    GE2025 Wangapi Tarehe 29 October 2025, Tutaandamana Mtandaoni au Moyoni

    Wale ambao tunaona mambo hayaendi sawa. Tunatamani kuandamana ila bado hatuko tayari kutoka barabarani, tunaogopa kupingwa na polisi, tunaogopa familia zetu tutaziachaje. Tunaogopa kuumizw au kufa. Uwanja ni wetu, tujuane keyboards warriors, tusione haya kukiri kuwa sisi ni waandamanaji wa...
  5. Sifi Leo

    Siasa bhana, Nape anachonga vonyago na simanzi moyoni, nimeambiwa January Makamba akafungua Madrassa

    Kuna picha inamwonesha mwanasiasa Nape Nauye aliyemwita mwendazake mshamba, akamla kichwa, Leo anachonga vinyagooo. Leo hii NASIKIA Makamba amefungua Madrassa je nikweli? WALIOKUWA makampeni mastamind Leo hii wako benchi.
  6. Tlaatlaah

    Nidhamu ya uoga, unafiki na kujipendekeza ndivyo haswa vinamtesa Hamphrey Polepole kisaikolojia na moyoni akiwa mafichoni

    Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi. Hivi sasa, historia ina...
  7. ELI COHEN

    Ukimuuliza mdada yoyote, hivi ni kiumbe gani haswa una hisi kinadhalalisha wanawake, atajibu haraka "wanaume", ila ukweli halisi wanaujua moyoni mwao.

    Hivi ni kweli kuna kiumbe ambacho kinaongoza kujidhalalisha chenyewe alafu tena kilalamikia matokeo yake🤣
  8. DR HAYA LAND

    PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    "Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa...
  9. B

    Afande Sele aongea ya moyoni kuhusu Lissu.

    https://www.facebook.com/share/r/1ATsucVFUU/VIDEO: Msanii mkongwe wa muziki wa 'HipHop' nchini Selemani Msindi @afandesele1976 amesema hivi karibuni amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi ambapo miongoni mwa mambo aliyomweleza ni mashaka yake ya uwepo wa namba ndogo...
  10. Echolima1

    Pastor John Hegee wa Marekani atoa yake ya moyoni kuhusu utawala wa Iran

    Kiongozi mkuu wa kiinjilisti: Iran imecheza na viongozi wa Marekani kama kitendawili "Ama Jamhuri ya Kiislamu itasambaratisha mpango wake wa nyuklia kwa hiari, au ulimwengu huru utawasaidia kufanya hivyo," alisema Mchungaji John Hagee. Aprili 28, 2025 akiwa ziarani huko Israel. Serikali ya...
  11. Tlaatlaah

    Hivi kuna Mtanzania asie wa Chama chochote cha siasa moyoni mwake ili awe Mwenyekiti wa Tume Huru ya taifa uchaguzi kwa mujibu wa mapenzi ya CHADEMA?

    Yupo wapi huyo? Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais? Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi? Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
  12. Mapenzi ya Mungu

    Watanzania wana ya moyoni kasoro kupindua nchi

    Wapo bora wapindue mdomo by kabudi https://www.instagram.com/tbc_online/reel/DEX4vBeOkZy/
  13. Twilumba

    CCM Midomoni, CHADEMA Moyoni

    Sina mengi jionee mwenyewe.....
  14. Crocodiletooth

    Bob Chacha Wangwe naye atema ya moyoni, aungana na Lissu, japo mbowe ndiye rafikiye mkubwa!

    Kwa Watanzania na Wanamageuzi wenye mapenzi mema na CHADEMA na Taifa letu. Kwa vijana wanaotamani kufanya siasa za Upinzani kwa miongo kadhaa ijayo. Lissu is the way! Hawezi kuwa mkamilifu kama Binadamu, lakini ana sifa muhimu kwa maslahi ya CHADEMA na Taifa. Kwa kizazi hiki watu wa aina yake ni...
  15. Roving Journalist

    LATRA CCC yakusanya maoni ya matumizi ya Kadi za Mwendokasi, una lolote? Bonyeza Link utoe ya moyoni

    Mamlaka ya Serikali ya Baraza la Ushauri Watumiaji Usafiri Ardhini - LATRA CCC (LATRA Consumer Consultative Council) imeanza kufanya utafiti na kuchukua maoni ya Wananchi na Wadau wengine kuhusu matumizi ya Kadi za Elekroniki zinazotumika katika usafiri wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka, Dar es...
  16. B

    Mtoto wangu anamiaka miwili lakini akisikia Muziki wa huzuni analia sana

    Nilijua nimepata bwana,
  17. Meneja Wa Makampuni

    Tanzania yote tukimpenda Yesu Kristo tutakua na amani ya moyoni ambayo huleta amani ya nje (utulivu yaani bila ghasia)

    Amani inaanzia moyoni. Tukiwa na amani moyoni basi hata nje kutakua na amani. Ni jinsi gani watu wanaweza kumpenda Yesu Kristo. Njia pekee ni kwa kuhubiri habari za Yesu Kristo tu huko makanisani bila kubembeleza watumishi. Watumishi waambiwe ukweli ya kwamba ni Yesu Kristo pekee awezaye...
  18. Shanily

    Jinsi msamaha kutoka moyoni unavyoweza kuwa tiba maishani

    Kwa binadamu yoyote ambae ana akili timamu ni jambo lisiloepukika kupitia changamoto ya dharau, kashfa , kebehi , matusi kutoka kwa majirani, marafiki au watu wetu wa karibu kama mke , mume au familia zetu. Tukiwa kama binadamu, hatuwezi kuzuia hali ya kuchukizwa , kuwa na nogwa au hasira...
  19. Cecil J

    Songa - Hisia za moyoni

    Sikiliza wimbo wa Songa wa 2016 unaitwa "Hisia za Moyoni" amefungua wimbo na hii line Imani ni bora kuliko dini https://youtu.be/ViQcp8HNqBc?si=yufnMpLDywK2N6Zp
  20. Tman900

    Kua na Furaha na Amani Moyoni ni Bora zaidi

    Kuna mtu mitaa ambayo ninafanya Biashara zangu, kwa mtazamo wangu amenizidi kwa kipato na Mali. Sijajua kuhusu Elimu ya Darasani. Ila nasikitika kua Huyo mtu amejiua, Sasa nikajiuliza kama pesa anayo, mke Familia Usafiri, na ni gari nzuri tifauti na yangu. Akili yangu ikawaza sana Why huyo...
Back
Top Bottom