movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. Salahan

    JamiiForums Tanzania Wadau wa movie na sizoni zilizotafsiriwa hii isikupite.

    Kama wewe ni shabiki wa dj mack jumakhan Murphy Nk basi kuna chimbo lenu lakujipakulia mizigo kama yote...Mchawi bando lako tu.Ingia google tafuta SIZONI COM humo nikujichotea tu. Pia kuna huduma ya kujiunga VIP ukiona kwenye bure hapakutoshi.
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Ijumaa jioni litatengenezwa bonge la movie ili kufunika jambo

    Kwa uzoefu wangu nina uhakika 100% kuwa kabla watu hawajalala siku ya Ijumaa tayari movie itakuwa ishatoka. Ni mwendo wa movie tu. Movie hii itatolewa kufukia jambo. Watanganyika msitolewe kwenye reli kwa aina yoyote ya movie hata kama hiyo movie itahusisha kutolewa watu uhai. Akili yangu...
  3. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi?

    Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi? Kuna baadhi ya filamu na tamthilia ambazo, hata baada ya kuzitazama mara kadhaa, bado zina nguvu ya kutuvuta tena na tena. Zina uwezo wa kuamsha hisia, kutufurahisha, na kutufanya tuzihusudu kwa kila mara tunapozitazama...
  4. greater than

    JamiiForums Tanzania Taja a.k.a ya Movie Utajiwe Jina halisia

    Movies/Sinema/Series nyingi pendwa na zenye kutamba unakuta zimegewa a.k.a ambazo hufanya watu wasijue jina halisia... Leo nataka watu mtaje a.k.a /majina ya utani ya hizo sinema wengine watakusaidia kutaja jina halisia.... Mimi naanza MATHIAS KISIMA CHA MAMBA- NO RETREAT NO SURRENDER 2...
  5. Salahan

    JamiiForums Tanzania Kwani kuangalia Movie Na Series Ni Hatari Kwa Afya Yako

  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania The killers (2014)..usikose hii movie bonge la chuma

    Zee ni mwanamke maarufu anayeishi Paris ambaye huajiriwa mara kwa mara na Finn, raia wa Ireland anayefanya kazi kwa bwana wa uhalifu Jules Gobert, ili kuwaondoa wapinzani wa Gobert katika biashara ya dawa za kulevya. Maisha yake ya jeuri yamemfanya abaki na mambo machache ya kufurahia, mfano...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa wasanii wa bongo movie: Diamond ni mhanga na aliwasema waziwazi

    Nina uzoefu binafsi na hawa watu.. Sio wakuwaendekeza hata kidogo. Ni wabinafsi, ni wachoyo, ni ombaomba hawaridhiki na hawana shukrani.. Ni waongo sana pia na huwa wanajiona ni wajanja kukuzidi Unaweza kujitoa kuwasaidia sana. Watakupamba sana na kukuganda lakini nyuma ya pazia wanakuona...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Movie, series unahitaji nipo tayari kukuhudumia

    Kama mdau wa filamu na series toka mataifa ya nje kama vile USA,CHINA,INDIA nk hofu ondoa. Kama kuna yoyote unayoitafuta karibu sasa utaipa kwa bei ya kuchangia tu kidogo, wewe tu nitajie list ya movie zote unazohitaji, mfano unahitaji series 5 zote zenye season kumi kumi zote usigope idadi...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa F1 Motorsports & Movie: Sena (2024) na F1 (2025) ndio upcoming Film zenu!

    Hii kwa wadau wa motorsports & movies. Kuna hizi upcoming movies mbili zinakuja zinahusu F1 kwa 100% ziweke kwenye list yako. Sena (2024) Hii itakua chini ya Netflix, sio movie kabisa ni mini-series, na itatoka mwaka huu 2024. Hii ni Biography kutoka Brazil inayomuhusu moja ya madereva wakali...
  10. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Wakali wa movies anayeijua hii movie atuambie

    Kama unaijua hii movie jina lake please itaje..
  11. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hii movie inayoitwa NO WHERE kiukweli imeniliza mtu mzima!

    Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba! Natumbua kabisa hizi movie mara nyingi ni fiction zinazokosa uhalisia,lakini hii movie imefanya nikawaza...
  12. Salahan

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya movie na series yoyote nipo kukuhudumia

    Habari mdau wa filamu na series toka mataifa ya nje kama vile USA,CHINA,INDIA nk hofu ondoa. Kama kuna yoyote unayoitafuta karibu sasa utaipa kwa bei ya kuchangia bando.Tujuze id yake ya IMDb au jina na mwaka eakutoka au poster yake. Huduma nikwa Telegram na Gdrive kupitia Whatsapp link...
  13. Sam Darfur

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kosa Litakaloliangamiza Taifa Miaka Mitano ijayo

    Mashuhuda wa ajali wanasema kwamba, eneo ajali ilipotokea ni hatari na huenda kukawa na jini ambaye anasababisha ajali zitokee mara kwa mara. Wanadai kwamba, inawezekana jini huyo ndio sababu ya kutokea kwa ajali hii kubwa na hatari, ajari iliyoondoa roho za watu 65 huku watoto chini ya miaka 18...
  14. WAPEKEE_

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya movie ya Sisu na somo la kujifunza - by Wapekee

    SISU - Ni neno la asili ya Ki-finland, lisilo na tafsiri ya moja kwa moja, lakini lenye dhima ya kuonesha ujasiri na maamuzi magumu yasiyofikirika. Sifa hii ya SISU hujidhihirisha wazi pale ambapo matumaini yote hupotea. Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Comet fragment lights up sky over Spain and Portugal 'like a movie'

    Catarina Demony, Ana Cantero LISBON, May 19 (Reuters) - A bright comet fragment lit up the skies over parts of Spain and Portugal late on Saturday, according to the European Space Agency (ESA), with one Lisbon resident saying the dazzling display "felt like a movie". On Sunday morning, the...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Miaka 12 ya Bongo Movie bila uwepo wa Steven Kanumba

    Steven Charles Kanumba alizaliwa 8 Januari, 1984. Alikuwa miongoni mwa waigizaji maarufu nchini Tanzania. Aliingiza katika tasnia ya uigizaji miaka ya 90 na na kujizoelea umaarufu mwaka 2002 baada ya kujiunga na kundi la Kaole Sanaa Group. Aliwahi kupewa tuzo ya mwigizaji bora wa kiume nchini...
  17. Pekejeng

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia hii movie sio siri Wajapan kwenye swala la Movie Production ni hatari sana, hata Hollywood wanafunikwa

    Muvi ya Godzilla minus one sio sound sio visual vyote ni ya viwango vya juu sana, Wajapan nimewavulia kofia. Rasmi ntaanza kufatilia na kuangali muvi zao Maana Hollywood siku hizi muvi zao zimejaa uchoko na content za ajabu ajabu tu. Naombeni mnitajie muvi Kali na nzuri zilizoandaliwa Japan...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Pozi kama la kwenye Movie ya hard target

    Mtapenda in voice dj afro 🤣🤣
  19. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Try to challenge me..📺

    Tupe list yako ya movie/series ulizodownload recently
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hatuna hata movie moja iliyoigiziwa Mlima Kilimanjaro

    Hatuko serious kwenye tasnia ya filamu yaani nchi yote hii wasanii wameshindwa kuja na idea ya movie ikachezwa mlima kilimanjaro au serenget au ngorongoro. Isiwe kipande tu iwe movie yote full mwanzo Mpaka mwisho ichezewe mlimani.
Back
Top Bottom