movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Mind Bending Blowing Movies Special Thread

    Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind bending/blowing movie. kwa matumizi ya uzi huu: Mind bending films films ni aina ya filamu zenye lengo la...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kudownload movie ya "Io Capitano"

    Wakuu hio movie ya Io capitano naipataje ni bonge la movie la machalii 2 wakitoroka kwenda Italy mwenye nayo anitumie jmn
  3. John Gregory

    JamiiForums Tanzania ACRIMONY: Mapenzi na Ndoto, Mahususi kwa Kijana Yeyote Anayepambania Kutimiza Ndoto Zake

    Hii ni story Inayomhusu kijana aliyepambana katika harakati za kutimiza ndoto zake, akiwa bado mwanafunzi wa chuo akapata mwanamke waliyefunga naye ndoa. Mwanamke huyo alikuwa na mchango mkubwa wa hali na mali ambapo aliuza mpaka nyumba ya urithi ya familia pamoja na kutumia pesa zote alizorithi...
  4. Neter

    JamiiForums Tanzania Planet Rizq - Official Movie Trailer

    https://www.youtube.com/watch?v=TD2UdkY-nYI Planet Rizq - Official Movie Trailer In the distant future, humanity's history is forever changed when several colossal pyramid-shaped ships arrive and position themselves around the planet. These extraterrestrial vessels, unlike anything ever seen...
  5. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Zipi ni historical series au historical single movie kwa mwaka 2023- 2024?

    Wadau wa series na single movie kwa upande wangu Mimi ni mpenzi wa historical series na historical single movies .. Kama kuna unazozifaham za mwaka 2023-2024 unaweza list ili ambao hatuja watch nasisi tupate uhondo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Movie zenye English subtitle

    Wadau, mie mwenzenu ni mpenzi sana wa movie lkn nikienda ku-burn nakuta movie zote zimetafsiriwa kiswahili Sasa mimi maskio yangu ni mazito sisikii vizur kwahiyo yule mkalimani huwa simsikii. Sasa lengo la huu uzi naomba km kuna mdau ana movie ambazo hazijatafsiriwa lkn zina subtitle ya...
  7. dosho12

    JamiiForums Tanzania Ni Movie ipi uli iangalia zaidi ya mara moja ila bado hukuielewa vizuri?

    Ni movie ipi ambayo uliichukua ukaingalia mara ya kwanza hukuielewa ukarudia mara ya pili ndo ukaelewa, au pengine hata mara ya pili pia hukuelewa ikabidi ulizie kwa watu waliyo iona wakueleweshe. Mimi zipo mbili, moja ni 1. TENET niliangalia mara mbili ndo nikaanza kuelewa kidogo 2. Mbili ni...
  8. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania Subtitle kwenye app ya movie box

    Habari za mida waungwana,kuna mdau mmoja niliona alirecomend app ya movie box kwamba ni nzuri na simple, ni kweli nimeikubali ipo vzr, shida ipo kwenye subtitles huwa kuna baadhi ya movie subtitles huwa sinachelewa au inakuwa mbele yofauti na tukio husika,nimejaribu kucheki namna ya kuadjust...
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania Wahenga wenzangu mnaikumbuka hii movie

  10. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ile movie ya kibongo iliyokuwa inapigwa promo Azam kwamba ina budget ya mamia ya mamilioni, iliishia wapi? Box office yake ilikaa vizuri?

    Wakuu hivi ile filamu ya kitanzania iliyojulikana kama Eonii ambayo ilipigiwa sana Promo na watu kuifananisha na movie za hollywood imeishia wapi? Soma pia: EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile
  11. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kiu yao ya vurugu inayotokana na msukumo wa itikadi zao au hamasa binafsi inafanya nikumbuke quote hii katika movie ya The Dark Knight

    Baada ya kuwa Batman ameshindwa kumuelewa The Joker kuhusiana na njia zake za vurugu pamoja na makusudio yake maana waharifu wengi makusudio yao ni kujipatia pesa ila the joker haeleweki. Ndio hapo, yule mzee ambaye ndio Guardian wa Batman tangu utoto akamwambia Batman maneno haya: "Because...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Mnamkumbuka Tong Po yule ambae Van Damme alimkuta anapiga ukuta hadi unatiksika kwenye movie ya kick boxer 😂. Kumbe hakuwa Mthailand wala nini!

    https://youtube.com/shorts/gTEMno7Z2-U?si=xSlG6kfVeuVYMh01 Kumbe jamaa ana asili ya morocco. Ila Kwenye filamu alitengenezwa ili afananie kama mthailand. Ila jamaa ni mtalaam wa martial arts pia ni muaandaji wa filamu za zinazohusiana na martial arts. Kickboxer ni moja ya classic movies...
  13. fundinaizer

    JamiiForums Tanzania Movie zenye maudhui ya The Platform nipeni list hapa nishuke nazo usiku huu wa mwisho wa wiki

    Bila kupoteza muda wakuu mnaopenda movie zenye maudhui ya uhalifu, mateso ya kisaikolojia kama The Platform au escape room mnaweza nipa list hapa nishuke nazo usiku huu wa mwisho wa wiki.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Movie za mafunzo zenye maudhui ya Kikristo

    Habari wakuu.. Naomba msaada wa movie nzuri zenye maudhui ya kiristo ambazo ni inspirational ambazo zinaweza kumjenga mtu kiimani akiziangalia, zenye mafundisho, zisizo na scenes au picha chafu(za uchi).
  15. KENZY

    JamiiForums Tanzania Napata wapi hizi movie?

    Romeo must die na paris has fallen season 2.
  16. Kaunara

    JamiiForums Tanzania Bongo Movie wanapataje hela?

    Habari, Moja ya sanaa ambayo inanichanganya hapa bongo. Ni bongo movie. Najiuliza Hii Tasnia ya sanaa hawa wahusika wanapataje hela? Mabadiliko makubwa ya Technolojia kutoka vhs, cd, flash na sasa watu kustream/download movie online. Naomba kujua hii Tasnia watu wanapata vipi hela.
  17. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili flash yangu iweze kupokea movie za 4K?

    Nimedownload movie zenye 4K kwenye laptop ila nikirusha kwa flash inagoma licha ya flash kuwa na ukubwa wa 64gb. Naombeni muongozo Cc: Chief-Mkwawa
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Human Centipede (2009): Hii Horror Movie hapana!

    Kama una bando tafuta hii kitu. Maproducer na Madirekta wa kizungu wanawaza vitu vya ajabu sana.
  19. kelvinvevo

    JamiiForums Tanzania Your best movie of all time ambayo hutochoka kuirudia..

    Yangu mm ni gladiator iliyotoka mwaka 2000.. how bout yours...?
  20. N

    JamiiForums Tanzania Anayekumbuka jina la Movie hii ya Simba

    Wana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
Back
Top Bottom