movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. Vincenzo Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie & series za kutazama wiki hii

    Bilionea ambaye ni mgonjwa mahututi anafanyiwa upasuaji mkali wa kuhamishia fahamu zake kwenye mwili wa kijana mwenye afya njema. Walakini, hivi karibuni anagundua kuwa mwili wake mpya unakuja na historia yake Mwandishi Eddie Morra ana uhakika kwamba ana mustakabali mbaya baada ya kupoteza...
  2. Right Marker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji filamu (Bongo movie) iitwayo "The Avengers" ya Jennifer Kyaka.

    Yeyote mwenye filamu ya bongo (Bongo movie) iitwayo THE AVENGERS iliyochezwa na wasanii wafuatao... 1. Jennifer Kyaka - Sterling. 2. Yusuph Mlela. 3. Jackline wolper. 4. n.k Tafadhali mwenye hii filamu karibu Inbox.
  3. Adolph Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoka kuangalia movie za binadamu kuuana nimeamua kwenda na hii

    Wasalaam wana JF. Ni muda mrefu sasa (zaidi ya miaka 30) nimekuwa mshabiki wa movie za vita, uhasama, ubabe na umafia kati ya bin adam na bin adam ila imetokea ghafla kuanza kuona hakuna jipya kwani nikutafuta sifa baina ya mtu na mtu au taifa fulani na jingine. Nimeamua kwenda na hii...
  4. Holoholo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupia movie uipendayo tuidownload hapa

    Uzi tayari
  5. Damaso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Casting of Next Predator Movie (parody)

    Casting The Predator. Cause why not. Who's your favourite. 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. NB: My take is number 9 Danny Trejo 😃
  6. Binti wa zamani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani mwingine anachukia Movie za mapenzi / romantic films na love stories kama mimi?

    Nimerudi nyumbani nimekuta wanaangalia love story ya kikorea, hivi mnawezaje jamani? Unakuta kwenye kipande cha movie, wapenzi wamesimama kwenye mlango uliofungwa, mmoja yuko kwa ndani, mwingine yuko nje wameweka mikono inagusa mlango at the same spot, wanajiliza kijinga jinga tu. Mara...
  7. Poor Brain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejikuta nalia baada ya kucheki hii movie

    Nimejikuta natokwa na chozi baada ya kucheki huu mzigo aiseee Wakuu acha kabisa.. All in all now nimepata katoto ka 2000 mi na mashangazi ndo basi
  8. Damaso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lupita Nyong’o will cast as Athena in the movie Odyssey.

    Christopher Nolan’s Odyssey film will cast Kenya’s Lupita Nyong’o as Athena, leaving fans puzzled. Athena is the Greek goddess of wisdom, war, and oil. She is also the patron goddess of heroic endeavors. The city of Athens, Greece is named after her. In Greek mythology, Athena is often...
  9. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wasanii -Bongo movie siwaoni Energy Summit, tatizo lugha?

    Nilitegemea kama mlivyojikusanya Dodoma Mkutano Mkuu Mbogamboga na hapa Africa Energy Summit muwe wengi vile vile au lugha mzozo?
  10. Area 56

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Hii ni movie gani?

    Tupe maneno mawili matatu kuhusiana na movie hii.
  11. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Wanataka kunifukuza uanachama. Wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme

    Ameandika Mrema kupotia ukurasa wake wa X, "Nimejulishwa na mwenyekiti wa tawi langu, ameagizwa anifute uanachama kabla ya kesho ili kama nitaendelea na nia yangu ya kuzungumza na vyombo vya habari basi niwe sio mwanachama! "Nimeshangaa sana maagizo hayo na mpango huo ambao unaratibiwa na...
  12. MO11

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie to watch : La la Land

    Movie nimeiangalia zaidi ya mara Tano bila kupelekea mbele Mwanzo nilifikili titanic ndio movie ya kali mapenzi yenye mwisho mbaya Ila baada ya kuangalia hii la la land wanawake wote wana tamaa hadi wazungu Ryan Gosling na Emma Stone wameua sana Anyway kitambo sana humu jukwaani Kama Kuna...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wadau, kufeli vibaya kwa ile movie mnafikiri tatizo lilikuwa wapi na limesababishwa na nani?

    Nashangaa naona ni siku Moja tu imepita tangu movie itoke lakini naona kimya kabisaaaa. Hata wale haters wa Mama yetu ambao mara tu baada ya bi mdada kutangaza kutoka kwa movie yake walikimbilia mitandaoni fasta ambako walianza kushusha mamia ya viapo kwamba movie ni true kabisa. Aidha, haters...
  14. masterpeace

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Generation ya bongo movie mjini YouTube

    Wadau. ebu tuzungumzie hii generation ya bongo movie ambao wao wamejikita kwenye mitandao ya kijamii hasa YouTube
  15. Red shadow

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania REVIEW YA MOVIE: Kung fu panda 4

    Chameleone: Giving to gain I believe thats how things work
  16. Mad Max

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Movies: Mwaka 2024 ni kama hamna Movie kali iliyotoka!

    Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax. Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters? Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu. Mwaka 2025 utatutibu maumivu: Mad Max: The Wasteland Mission Impossible Avatar...
  17. BabaMorgan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna movie Ina dialogue Kali kuzidi TROY?

    Aliyeandaa Script uwezo wake wa kufikiria ni mkubwa jinsi character walivyokuwa wakifanya mazungumzo una feel na kuenjoy wanavyojibishana hizi ndio tunaita Masterpiece. 1. Jamaa baada ya kuibiwa mke wake anaenda kwa brother wake kuomba msaada cheki mazungumzo yao yalivyokuwa. MENELAUS: I want...
  18. Merchante

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania American Renegades: Naitafita sana hii movie.

    Wakuu,naomba msaada kwa yeyote mwenye link ya site kwaajili ya ku-download hiyo movie.
  19. Blessed Agent

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My Top 5 list ya Movie Series of All Time

    My Top 5 list ya Movies of All Time ambazo baadhi sio Common Zenye ; 1. Akili nyingi 2. Haziko Predictable 3. Zina Action Zenye quality nzuri (sio kama za kihindi😂) 4. Visa na matukio ya Kusisimua well planned scenes 5. Siasa pamoja na Visa vya Mapenzi kidogo (Hakuna Ushoga wala Usagaji) na...
  20. Niache Nteseke

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba jina la hii Movie wadau

    Heshima kwenu nyote. Kuna movie moja ya Kizungu niliwahi kuona jina lake humu ndani ila ni miaka zaidi ya mitatu nyuma nimesahau jina. Hiyo movie Starring hajui kupigana, yupo na mke wake na watoto na anawaokoa kwenye matukio kibahati bahati tu ila ni movie flani nzuri tu. Mwenye kufahamu...
Back
Top Bottom