movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. Echolima1

    Ku download movie kwenye Telegram

    Napenda ku download movies kwenye Telegram Naomba muongozo kwa anayefahamu tafadhali
  2. Traxtion

    Movie za action na Animation zimepungua vibe

    Mimi kama mpenzi wa movie huwa sichagui genre. Naangalia zote kuanzia Action, Romance, Horror, Thriller, Drama za aina zote hadi za High School. Huwa naangalia movie za USA (Hollywood) na za Kikorea. 99% ya movie ninazoangalia ni kutoka hizi nchi mbili Licha ya kuwa genre zote naangalia, lakini...
  3. Pdidy

    Yanayoendelea kama movie vile kwa mkapa kha haya mashindano yangu macho

    Hii mipira sio ya kuendekeza sana unaweza shangaa Pressure shinikizo la damu gafla limekuzamia kumwilii Naangalia yanayoendelea huko taifa kwa mkapa Sina hamu
  4. Lycaon pictus

    The Long Walk movie safi.

    Nilienjoy hii movie. Icheki. Sema zile shaba zilikuwa zinatrigger PTSD.
  5. Titicomb

    Matt Damon (Bourne), Jason Statham (Bishop), Tom Cruise (Hunt), Vin Diesel -Mark Sinclair(Torett): Nani mkali unamkubali zaidi kwenye action movie ?

    Wapenzi wa kuangalia action movies na Blockbuster movies karibuni tuweke maoni yetu. Tuambie nani unamkubali sana uingizaji wake au uhusika wake kwenye movie zilizo fanya vizuri sana. Hapo chini naweka jina lake halisi, la kuigizia na jina la movie husika. Matt Damon (Jason Bourne) :- Jason...
  6. F

    Avatar: Fire and Ash movie review

    The series’ primary villain also returns: Col. Miles Quaritch (Stephen Lang), now wholly comfortable as a 9-foot-tall avatar embedded with his human memories. His hatred for Jake remains paramount, still stung by his perception that the former young Marine betrayed him — and Earth — by fully...
  7. stakehigh

    Katika umri huu najitahidi sana angalau kila wiki niangalie movie moja mpya! Katika soko la china hii movie ndo the best kwangu

    Epiphyllum Dream: hii movie ina story line bora sana katika movie zote za china nlizowahi kuziona, Sjajua mtunzi na director ni nani ila walifanya kazi moja kubwa sana hapa, japo ni ya mda kidogo
  8. Mad Max

    Movie ya Maisha ya Michael Jackson inakuja April 2026. Mpwa wa MJ ataigiza!

    Movie ya Michael inakuja 2026. Teaser ishatoka. Lions Gate wanasimamia show. Kama haitoshi, Jaafar Jackson ataigiza kama Michael himself.
  9. H

    Movie: Affinity

    Ni movie inahusiana na jamaa ambaye ni mstaafu wa jeshi anajikuta anamsaidia bidada mrembo ambaye alikuwa kwenye Hali mmbaya ambaye hamfahamu. Bidada huyo hana kumbukumbu kwa kile kilichomtokea jamaa anaamua kuishi nae na kujikuta anahisia za kumpenda dada huyo mzuri but kuendelea kuwa nae...
  10. R

    GE2025 Amenikera sana POLEPOLE! Alijiaminisha na nini kuwa hapa nchini! Umesaliti mapambano! Sterling hafi, anadumu movie iendelee. Sasa Umekufa!

    Ni hilo tu! Shujaa mfu! Ilibidi uhakikishe hufi mpaka uone mwisho wa mapambano yako! SHUJAA MFU, HAIJATUSAIDIA
  11. Stability

    Huyu mwamba ameshinda mbio za kimataifa, we ngoja arudi nyumbani sasa uone mademu wa mitandoni na bongo movie watakavyomganda kupata kiki

    Watamshugulisha wee had magoti yaishe ute ute siku akirudi tena ulimi wote njee aanze kusema walimwibia viatu vyake kama yule wa Tanga. Pia Soma: Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni
  12. Mhaya

    Bongo Movie wana vitu vingi vya kujifunza kupitia Trailer ya Mbosso ya MAD MAX kuliko kukaa kusifia viongozi na CCM

    Steve Nyerere na genge lake la machawa wanabidi watumie muda mwingi kutafuta Maarifa na mbinu nyingi za kutengeneza filamu nzuri kama za enzi za kanumba kuliko kujikita na uchawa tu wa kusifia CCM na viongozi serikalini. Mbosso ambae ni msanii wa mziki kuachia trailer ya MAD MAX iliyofanywa kwa...
  13. I

    What is the ICK movie about?

    Ick (2025) FILM From acclaimed director Joseph Kahn comes his latest film, ICK, a pulpy horror comedy bursting with splattery bedlam starring Brandon Routh, Malina Weissman, and Mena Suvari. For almost two decades, a viscous vine-like growth known colloquially as "The Ick" has benignly crept...
  14. Mshana Jr

    Bongo movie ya ACT part 2

    Monalisa ambaye kwasasa amevuliwa uwanachama na chama chake cha ACT amezidi kufunguka nakusema kitendo hicho chama chake kimefanya utoto huku akitoa siku mbili barua hiyo iweze kukanushwa
  15. Mindyou

    Hizi ndio movie ambazo zimetazamwa zaidi Netflix. Ya kwanza ni ya Kikorea. Ngapi kati ya hizi umeshaangalia?

    Wakuu, Jana Netflix walitangaza kwamba movie au animation ya "K Pop Demon Hunters" ndio movie ambayo imeangaliwa zaidi Netflix. Hiyo filamu iliingia sokoni mwezi Juni na kufikia sasa imeshatazamwa zaidi ya mara Milioni 236 ambapo inakuwa ndio filamu (sio series) iliyotazamwa zaidi Netflix...
  16. M

    JF MOVIE BANK

    Habari Naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu Kwa wale wote ambao ni wapenzi wa movie na series motomoto na za aina zote yaani movie na series za kizungu , kikorea, kifilipino kihindi nk nawakaribisha ktk Uzi huu Nimeandaa Uzi huu maalum Kwa ajili ya wale wote wenye uhitaji wa movie au...
  17. Damaso

    Casting Moana for Live-action Moana movie (parody)

    Chose your favourite one to play Moana. 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10.
  18. Damaso

    Casting Captain Jack Sparrow for Pirates of the Caribbean movie (Parody)

    Choose your favourite to play Captain Jack Sparrow 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10.
  19. S

    Website Kali Kwa Tanzania zinazotambulika Kwa movie na series zilizotafasiliwa Kwa Kiswahili

    Leo katika pitapita yangu wadau nnimekutana na moja ya website makini sana ambayo inahusika na maswala ya movie na series zilizotafasiliwa Nahitaji mnisaidie kunipatia majina mengine ya website maana nimekutana na site moja hapa inaitwa SWAFLIX Hii website ipo na movie na series zote za madj...
Back
Top Bottom