moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkurugenzi aponea chupuchupu kuungua moto; gari la mamilioni lateketea

    Baadhi ya wateja wangu hupenda kuniita Mkurugenzi ingawa sina sifa za kuitwa hivyo. Nafurahia zaidi kuitwa Mkulima. Haya, fuatilia sasa kwa makini ujue mazito niliyokutana nayo safarini. Hii ni habari ya kweli kabisa, ila kama wewe ni mwepesi wa kulia na kutoa machozi, usiendelee kusoma habari...
  2. William Tyndale alichomwa moto mpaka kufariki kwa kutafasiri Biblia kutoka kwenye lugha ya Kigiriki kuiingiza kwenye kingereza

    William Tyndale alikuwa mwanatheolojia Mwingereza, kasisi ya kanisa na mtaalamu aliyetafsiri Biblia mara ya kwanza katika Kiingereza cha kisasa. Alizaliwa huko Gloucestershire mnamo mwaka 1494 - aliuawa Vilvoorde (Brabant - Ubelgiji ya leo) tarehe 6.9.1536. Tafsiri yake ya Biblia ilikuwa toleo...
  3. Baba awachoma Watoto wake makalio kwa panga lenye moto

    Mkazi wa Kata ya Marangu Mashariki wilayani hapa, Baltazari Mtui anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwaunguza makalio watoto wake wawili wa kiume. Inadaiwa kuwa baba huyo aliweka panga kwenye moto kisha akawaunguza watoto hao ambao ni wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili katika Shule ya...
  4. Afrika Kusini: Mtanzania atuhumiwa kuchoma moto Chuo Kikuu cha Cape town

    Habari za Mchana Wakubwa,Kuna news inatembea inamuhusisha Mtanzania na Uchomaji moto wa University of Cape town. ===== Frederick Mhangazo has appeared in CPT’s Regional Court on Tuesday, accused of starting the Cape Town fires that destroyed almost 600 hectares of land and several local...
  5. Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kuwaka moto

    Habarini wakuu, Kwa muda mrefu nimekuwa na hili tatizo la tumbo kujaa gesi na kama kuwaka moto...Niliwahi kupima huko nyuma nikaambiwa nina tatizo la vidonda vya tumbo. Nimetumia dawa na dawa ila bado hili tatizo linanisumbua. naomba wataalamu mnishauri nifanye nini ili kumaliza hili tatizo la...
  6. Vivo ni moto

    Kwa anajua kuusu simu za vivo atupe mwanga kidogo nasikia ni simu nzuri kwa sasa ukiachana na samsung na iphone. Asante na wasilisha. Cc chief Mkwawa
  7. M

    Diwani wa Mbagala Kuu, Shabani Othman Abubakari(CCM) afariki dunia akiwa 'guest' na mwanamke

    Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtimika na kuwa mazishi yake yatafanyika leo katika makaburi ya Tanita yaliyopo eneo la Kibonde Maji. Mmoja wa wahudumu nyumba hiyo ya kulala wageni (jina lake linahifadhiwa) amesema diwani huyo alifika akiwa...
  8. Nimeamini Rais Samia ni moto wa kumbi

    Moto wa kumbi ni moto mkali sana unaweza kuyeyusha chuma au kutoboa sufuria likiwa na maji yake ndani lakini hauna miale, moshi wingi wala kelele kama mioto ya mabiwi, nyika, kuni au petroli. Unapoota moto wa kumbi inakubidi ukae mbali kidogo vinginevyo utapata mbalanga. Kwa muda mrefu wananchi...
  9. DIT wamenikatisha tamaa

    Yaani huwezi amini tovuti ya dit ilivyo na muonekano mbaya vile mpaka keroo yaan nilitaka kuappy chuo kikubwa kama kila nikaongeze ujuzi kwenye programming ila baada ya kuona tovuti yao haina mpangilio yaan mbovuu hata ninayoweza kudesign mwenyewe nzuri Pls jmn DIT mnatuaibisha fanyeni mpango...
  10. Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  11. Daladala inayofanya safari zake Kawe - Mbagala yaungua moto kabisa eneo la Mtongani

    Imeungua yote hadi imeshindwa kujulikana namba za usajili wake. Bado chanzo hakijajulikana.
  12. Kambi ya uvuvi ya Migogo yateketea kwa moto, 100 wakosa makazi

    Zaidi ya watu 100 wamekosa makazi baada moto kuteketeza baadhi ya makazi ya wakazi wa kambi ya uvuvi ya Migogo iliyoko kata ya Maisome Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema Mkoa Mwanza kuteketea kwa moto muda huu na chanzo cha moto huo bado hakija fahamika. Ofisa mtendaji Kata ya Maisome...
  13. Senegal: Maandamano yazidi kupamba moto, Serikali yaamuru huduma ya Intaneti kuzimwa Nchi nzima

    Mamlaka nchini Senegal imetoa agizo kwa mashirika yanayotoa huduma ya mtandao kuzima intaneti nchi nzima, wakati maandamano dhidi ya kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani yanazidi kuongezeka, shirika la kuangalia mtandao NetBlocks limeripoti leo Ijumaa. Kulingana na NetBlocks, huduma ya intaneti...
  14. I

    Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

    Chanzo Radio live nipo ndani ya daladala =====
  15. KKKT yasitisha matamasha yote yanayoambatana na maadhimisho ya Pasaka ili kuepuka maambukizi ya Covid-19

    Askofu Dkt. Frederick Shoo Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Frederick Shoo, ametangaza kusitisha matamasha yote yanayoambatana na maadhimisho ya Pasaka, lengo likiwa ni kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19. Alitoa agizo hilo katika ibada ya...
  16. Uchaguzi wa Bawacha moto mkali, fomu zaanza kuchukuliwa kwa kasi kubwa, wazito waanza kujitokeza kwa kishindo

    Waliojitokeza mapema kabisa kutia nia ni pamoja na Kamanda Elizabeth Mwakipesile ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Bawacha wa Mkoa wa Mbeya, Huyu yeye ametia nia kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara. Nako kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Bawacha Taifa amejitokeza mzito mwingine anayeitwa...
  17. Ananikata moto hajui tu

    Habarin humu.! Nisipoteze muda niende kwenye mada. Aisee kuna vitu vinakata moto sana. Mtu umesota kupata namba yake, haya umembananisha ukapata namba yake, tena amekupa bila hiyana na bashasha tele, halafu unamcheki anaku blue tick halafu hajibu Ananikera ila sina jinsi bado nakaza mpaka...
  18. Vita ya Serikali na nzige yapamba moto huko Siha Kilimanjaro, Serikali inaweza kushindwa

    Hiyo ni wilaya ya Siha Kilimanjaro bado wanachanja mbuga wametokea Arusha hao. Tutapona njaa kweli?
  19. Hivi itakuaje kama JUA ndio jehanamu / ziwa liwakalo moto?

    Leo nimelitazama jua kwa muda kidogo kwa jinsi linavyochoma wakuu hii hisia ikanijia je? Kama ndio jehanamu alafu dunia nzina itatupwa ndani yake alafu ni jambo la milele nyie nyie eeeh! Hivi wakuu jua mnalionaje?
  20. MAPENDEKEZO: Bima ya nyumba iwe lazima kama ilivyo bima ya gari/vyombo vya moto

    Ukweli ni kwamba majanga ya moto kwenye makazi ya watu ni janga ambalo linagharimu sana maisha ya watu hapa nchini kwetu. Ajali za moto zimekuwa zikitokea na kugharimu maisha si tu ya wanafamilia lakini pia kusababisha uharibifu wa mali ya mhusika aliepata ajali na majirani zake. Mwisho wa siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…