moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa kwanini naamini kibwetele aliwahadaa wafuasi kanisani na kuwachoma moto

    Naona jinsi wafuasi wa Trump wanavyomuamini humu Trump kila anachosema hata wakati mwengine unajua jambo hilo halingii akilini
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trafficking Allegations Zawaka Moto! Wakenya 9 Washikiliwa Tanzania Bila Charges “Sea Mfalme” Yazua Taharuki

    Wadau, kuna hii story imeanza kuwasha moto Wakenya tisa ambao ni seafarers wamekwama kule Kilwa, Tanzania tangu March 30, 2026 baada ya meli yao FV Sea Mfalme kushikiliwa kwa allegations za human trafficking. According to reports, hii vessel ilitoka Mombasa March 14 ikiwa na watu 61 onboard...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi hii Hali ni kwangu tu? Maana kuna muda kichwa kinapata moto

    Wakuu Kuna muda nakaa nafikiria mpaka naanza kujiuliza aliependekeza Mimi nizaliwe aliwaza Nini Picha linaanza mpaka Sasa Nina umri wa miaka 23 Lakini Hali yangu haieleweki pangu pakavu tia mchuzi Nipo nipo tu Sina mke,Sina mtoto,Sina kiwanja,Sina nyumba hata kazi ya kueleweka sina Mwaka wa...
  4. JamiiForums Tanzania MIZANIA Hivi ni kweli moto hauna kivuli?

  5. JamiiForums Tanzania Na hata wakija 'Maghettoni' kwetu ili 'tuwashughulikie' kisawasawa wahakikishe wamezinyoa pia, kwani huwa zinatukata 'Stimu' ya kuwapelekea Moto

    Na sijui kwanini Wanawake wengi wanaopenda Kufuga ni wale walio Warembo hasa ila wale 'Sura Ngumu' huwa hawafugi kabisa. Kunyoa nywele za sehemu za siri kabla ya Hedhi ni uamuzi wa mtu binafsi, lakini kuna faida kadhaa za kiafya na za usafi zinazoweza kuzingatiwa. Moja ya faida kuu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Moto wateketeza maduka kituo cha daladala Mawasiliano. Je, ni njama?

    Ule ni mpango wa serikali hiyo ipo wazi lile eneo lilikuwa linaangaliwa muda mrefu sana kutokana na soko la East Africa kujengwa pale pote baada ya muda wanaporomosha magorofa ya flame ambapo wamiliki wa mwanzo wataaambiwa wakae miezi 6 bure then wataanza kulipia. Hilo lipo wazi lile eneo...
  7. JamiiForums Tanzania Msanii kaje double killer anaaribu vijana mtaani huku wamechomwa moto wawili walikua wanajiita 45

    Huyu jamaa nyimbo zake zinahamasisha vijana wafanye uhalifu Sasa kibaya wanafanya uhalifu huku wakiwa hawana bunduki yaani ni visu na bisi bisi Leo huku mtaani vijana wawili wamechomwa moto na tisheti zao zimeandikwa 45 kikosi vijana tufanye kazi aisee imefikia hatua mtu unataka kula bangi ila...
  8. JamiiForums Tanzania Msemo unaotrend "mwaga moto kama dragon " 🔥 🔥 kaanzisha nani?

    Naona kitu kidogo huko insta utasikia mwaga moto kwenye comment
  9. JamiiForums Tanzania Mkojo wa binadamu ni chanzo cha nishati ya Umeme majumbani na inaendesha vyombo vya moto

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TANESCO, REA, Ofisi ya Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira hali gani mpendwa !?.. Je, wajua kuwa mkojo wa binadamu unaweza kuchakatwa na kutoa nishati ya Umeme majumbani, viwandani na pia kuendeshea vyombo vya moto...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tabia ya kuchoma dhahabu mbichi kwa moto wa mkaa Wilayani Chunya ni hatarishi kwa afya

    Mimi ni mchimbaji mdogo katika moja ya Vijiji katika Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya, kero yangu ni kuwa kumekuwepo na tabia ya mazoea ya kuchoma dhahabu mbichi kwa moto wa mkaa katika hizi buying center nyingi za huku Chunya, jambo ambalo ni hatarishi kwa afya za wachimbaji. Mvuke wa zebaki...
  11. JamiiForums Tanzania Hii vita ya mtandaoni Tanganyika na Zanzibar mbona kama imepamba moto

    Hello Hivi jeuri ya wazanzibar ni nini? Yaani mtanganyika siyo mzanzibar lakini mzanzibar ni mtanganyika hapo tulipigwa. Mzanzibar anaweza.miliki aridhi bara.mtanganyika marufuku kumiliki aridhi zanzibar ooh noooo hu ujinga
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Waisreal wanakimbia nchi yao kuukwepa moto wa Iran

  13. JamiiForums Tanzania Kila upande moto unashuka,hivyo tuseme haina maana kuwa na vipangua makombora??

    Miaka mingi tulikuwa tukihabarisha kwamba kila mtu ana mitambo ya kujilinda,wapo waliotolea mfano nchi ya ahadi hata ukitupa jiwe haliwezi kufika kwenye ardhi yao,yaan linapanguliwa juu kwa juu. Huku baba wa dunia akisema yeye ndio kiboko wa mitambo ya kudungulia takataka zote zinazoelekezwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kimbunga cha moto kinaelekea Israel, raia wa Jordan, Saudia na Israel wamejifungia majumbani.

    Niaje waungwana Habari ndio hii wakuu, dakika 20 from now, Tel Aviv, Jerusalem na miji mingine ya Israel inakwenda kugeuzwa takataka na majivu. Update: Tel Aviv ameanza kuwaka moto. Inasemekana Netanyahu ashatorosha familia yake kabisa. Na bado asuburi wamalize kufuturu, leo hakuna mtu...
  15. O

    JamiiForums Kenya Mapenzi Yageuka Moto – Valentine’s Eve Shock

    On the eve of Valentine’s Day, a 3rd year student alichomwa na girlfriend wake kwa hot water after she suspected him of talking to his ex. Msichana huyo amekimbia na KSh 318,000, akiacha mwanafunzi huyo akiwa na majeraha. Tukio hili linaonyesha hatari za toxic relationships na kwanini safety...
  16. JamiiForums Tanzania Moto mkali unawaka muda huu maeneo ya keko Furniture/Njiapanda toroli

    Moto mkali mpaka sasa umeunguza nyumba 3 na godown moja ambalo lilikuwa limejaa magodoro. hadi sasa vikosi vya ulinzi vipo hapa fire ilikuja moja ikazidiwa ikabidi badala ya kuzma chanzo wapambane kuzuia moto usendelee kwa sasa zimefika nyingine mbili so zoezi la uokozi linaendelea.
  17. A

    JamiiForums Tanzania Naomba dawa ya miguu kuwaka moto

    Habari wakuu kwa anaejua naomba anisaidie dawa ya miguu kuwaka moto baadhi ya muda miguu yangu inawaka moto anaejua dawa anisaidie tafadhal
  18. JamiiForums Tanzania Zahir Zorro moto wa Allah hauzimiki kwa fire extinguisher, ni wa milele

    OOOH ZAHIR ZORO MOTO WA ALLAH HAUZULIKI Mzee Zahir Ali Zoro — Mmanyema wa kabila, mzaliwa wa Uislamu — kwa bahati mbaya aliteleza katika mtego wa anasa za dunia. Akauacha Uislamu, dini aliyozaliwa nayo, dini aliyojua haki yake, mwisho wake na uzito wa kuigeuka. Si hilo tu; aliwavuta pia...
  19. JamiiForums Tanzania Zahir Zorro: Nizikwe na fire extinguisher saba za kuzima moto kwani najua niendako

    Mwanamuziki mkongwe nchini Mzee Zahir Ally Zoro ambaye pia ni baba mzazi wa Banana Zoro, amepost picha hii kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya "Chilling at Kisota. Marafiki wameniombea Toba Leo hii, ili nisiende na Fire Extinguisher 7" Mzee Zahir Zoro amesumbuliwa na maradhi...
  20. JamiiForums Tanzania Mazishi kwa kuchoma moto mwili wa marehemu( cremation)

    Wiki iliyopita niliongoza ibada fupi na zoezi la kuchoma mwili wa raia mmoja wa nje pale Makumbusho Zoezi lile lilinikumbusha mbali sana enzi za ujana wangu huko ughaibuni nilipokuwa nalifanya kwa raha zangu Japo kwasasa inachukuliwa kama njia ya kuokoa nafasi lakini haya ni mazishi ya kimapokeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…