morogoro

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF Morogoro (Ofisi ya Madai mtandaoni) shughulikieni APPROVAL za wateja wenu

    NSSF morogoro wajirekebishe, nimeomba mafao kwa mfumo baada ya mikataba kuisha imekua changamoto, nimefungua madai tangu April 22 nimemaliza verification tarehe 30 April, nimekuja ofisini kwenu morogoro zaidi ya mara 4 mtu wa reception ananiambia process tayari Bado approval ya manager, ambaye...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kusomwa kwa Bajeti leo, Morogoro na Bagamoyo Gesti zote zimejaa tangu wiki iliyopita watumishi wa Serikali wanamalizia mafungua

    Leo Juni 12 mwaka 2025 nilikwenda Morogoro kwa shughuli zangu za kibiashara kuanzia Msamvu mapa Masika na Mjini yote nyumba za kulala wageni (Gest house) zimejaa Nikiwauliza wenye nyumba hizo za kulala wageni kulikoni sio kawaida hii hali wakaniambia Watumishi wengi wengi wa Umma wako mji huu...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Watu Tisa wafariki dunia, 44 wajeruhiwa ajali ya basi na lori Morogoro

    Watu tisa wamefariki dunia papo hapo na wengine 44 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Hai kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa limebeba shehena ya sukari katika eneo la Lugono Melala, barabara kuu ya Morogoro–Iringa. Ajali hiyo imetokea wakati magari hayo mawili yalipogongana kwa nguvu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa watumishi sekta ya Afya na Elimu Morogoro

    Mkuu wa mkoa Mororgoro Adam Malima amedhiinisha kuwepo upungufu wa waalimu 800 na watumkishi zaidi ya 500 sekta ya Afya, amesema hayo katika baraza Maalum la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mlimba leo Juni 11, 2025 ==== Kikao cha Baraza Maalum la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha mpunga kinalimwa mikoa mingi Tanzania sio Mbeya na Morogoro watu walivyo kalili

    Kwa wadau wa kilimo hasa kilimo Cha mpunga Kwa mikoa ile maarufu Kwa uzarishaji wa mpungu ushindani umekua mkubwa , wakulima wamekua wengi na aridhi ndogo ivyo inapelekea mashamba kupatikana Kwa gharama mkubwa Kwa wale wanaokodisha Kwa uzoefu nilio nao mfano mikoa wa Mbeya wilaya ya Mbalari...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dereva wa gari la CHADEMA adakwa kwa kusababisha ajali Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva Yahaya Bakari Idd (43) mkazi wa Gongo la Mboto Mkoa wa Dar es salaam baada kusababisha ajali iliyotokea Juni 5, 2025 katika eneo la Mataa ya Tumbaku kata ya Mafisa Manispaa ya Morogoro. Taarifa ya leo Juni 6, 2025 iliyotolewa na Kamanda wa...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wasio julikana waua na kutupa mwili kwenye makaburi ya Kola - Morogoro mjini

    Asubuhi ya leo, umepatikana mwili wa mtu ambaye hajatambulika kutokana na mwili kuharibika vibaya baada ya kuuawa kisha kutupwa vichakani kwenye eneo la makaburi ya Kola - Morogoro mjini.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi morogoro kwaajiri ya kufuga

    Kwa aliye tayari kunikodishia anitafute tupange biashara
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Morogoro Municipal Council: 8 Employment Posts 2025

    Are you seeking a fulfilling career that contributes directly to community development and public service? Morogoro Municipal Council, a vital administrative entity within Tanzania, is currently inviting passionate, qualified candidates to apply for a range of employment opportunities. Known for...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Coca-Cola Kwanza yapokea eneo la Stendi ya Msamvu kwa ajili ya Soko la Mama Lishe Morogoro

    Afisa Uhusiano wa Coca-Cola Kwanza, Maria Kimwaga, kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Emmanuel J. Mkongwa, wakati wa makabidhiano rasmi ya eneo la Stendi ya Msamvu kwa Kampuni hiyo. Hafla ya makabidhiano ya eneo hilo ilifanyika katika ofisi za Mkurugenzi wa Manispaa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ntatafuta shamba Morogoro kwaajili ya ufugaji

    Nahitaji shamba kwaajili ya ufugaji
  12. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Plot for sale Movomero Morogoro

    Eneo Linauzwa Kwa matumizi ya kituo cha mafuta au uwekezaji wowote wa kibiashara. Mji wa Morogoro Wilaya ya Mvomero Kata ya Dakawa. Eneo hili linaangalia barabara kuu ya kwenda Dodoma 🛣️ opposite na Godowns za magufuli. Ndani ya eneo Kuna kituo cha Afya. Sqm 3800 Title Deed Hakuna mgogoro...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Restaurant Chakula kizuri morogoro

    Wakuu naomba kujua ama kuelekezwa Niko Morogoro wapi wanauza Chakula kizuri nakitamu,kama ilivyo migahawa ya wasomali
  14. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania REA YAENDELEA NA UHAMASISHAJI MATUMIZI BORA YA NISHATI YA UMEME, NA UUNGANISHAJI WATEJA MKOA WA MOROGORO

    📌Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati ya umeme 📌Wahimizwa kujiunganisha na huduma ya umeme 📌Wananchi wahamasika na UMEME TAYARI ( Ready Board) Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

    Wakuu, Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Morogoro (Ubungo hadi Mbezi) kuna kero ya foleni na hii sio kwa leo tu

    Mvua ambayo imenyesha maeneo mengi ya Dar es Salaam tangu jana (Mei 8, 2025) imesababisha foleni sehemu nyingi, hapa ni maeneo ya Kimara Mwisho, Stop Over hadi Ubungo Kijazi, kuna foleni kubwa na tumekaa hapa kwa zaidi ya saa moja sasa. Hali hii sijui itaisha lini hata kama hakuna mvua kila...
  17. Baraza la Famasi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa Umma - Mkoa wa Morogoro

    Baraza la Famasi kwa kushirikiana na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya limeendelea na zoezi la kuelimisha umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza pamoja na kuhamasisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa. Kampeni hii iliyoanza juzi, imeendelea tarehe 06 Mei, 2025 katika Mkoa wa...
  18. al-baajun

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu ana boda Morogoro anipelekee mzigo Kwa mwanangu Mzumbe shule?

    Wadau kama Kuna mtu ana boda wake Morogoro mjini anamuamini Kuna vifaa vidogo Kwa bahasha mwanangu yupo Mzumbe chuo anahitaji kupelekewa. Nataka mtu avipokee mjini na ampelekee mpaka chuo ndani atapewa nauli yake. Asante sana.
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Eti samaki samaki za Dar ni kampuni moja na ya ile ya Morogoro

    Nyie wazururaji nijuzeni Mimi nilikuwa sijui mmiliki wa samaki samaki anaitwa nani na Kuna mtu kaniambia ndo mwenye wavuvi camp..swali langu fupi ni je mwenye hizohizo samaki samaki za dar masaki na mlimani city ndo huyohuyo anamiliki ile ya morogoro.
  20. Smart Eagles

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo Morogoro mjini (bajeti 300,000/=)

    1. Eneo la Kilakala isiwe mbali na kituo cha Tushikamane. 2. Eneo la Kola (iwekaribu na barabara ya pangawe) 3. Eneo la Bigwa (iwekaribu na barabara ya pangawe) Iwe na vyumba 3 vya kulala. Ijitegemee maji na umeme.
Back
Top Bottom