morogoro

  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu aweka jiwe la msingi ujenzi bwawa la Kidunda Morogoro

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunda litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita bilioni 190 ambalo linatarajiwa kugharimu shilingi bilioni 335.8 hadi kukamilika kwake. Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kidunda, Wilayani...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania RC Malima aagiza kukarabatiwa kwa madaraja Morogoro

    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima ameitaka Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro kuhakikisha inafanya ukarabati wa madaraja yote na miundombinu ya barabara mbovu zinaounganisha Mkoa huo ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza wakati mvua zitakapoanza kunyesha. Malima...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari Morogoro usiku wa kuamkia Machi 4

    MOROGORO: WATU watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto baada ya magari mawili ya mizigo ,moja likiwa limebeba shehena ya mafuta yaliyotambuliwa kuwa ni dizeli kugongana uso kwa uso wakati yakipishana kwenye tuta la kupunguza mwendokasi eneo la Nane Nane, Manispaa ya Morogoro kwenye barabara kuu...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: Zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura linaendelea, Tume yasema muitikio wa wananchi ni mkubwa

    TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi kujitokeza katika vituo mbalimbali vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaofanyika mkoani Morogoro na sehemu ya mkoa wa Tanga kwa siku saba kuanzia Machi mosi hadi 7, 2025. Mwenyekiti wa Tume...
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro mjini fanyeni kazi kwa weledi na uzalendo, si uonevu

    Habari wakuu,hii inchi ikienda ivi raia watashindwa kutoa ushirikiano Kwa majeshi yetu,yaan Hasa Hawa askari wetu wanao tembea rod na kukakamata vyombo vya usafiri, Kuna askari jina kapuni uyu amekatama chombo cha moto kikiwa kimepaki na kimekamilika kila kitu na kutoa sababu kibao dk ya...
  6. Capital

    JamiiForums Tanzania Shamba la Kufugia Kuku linapangishwa Morogoro

    Tafadhali angalia Kiambatanisho
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso ateua Mkurugenzi Mpya wa Maji Morogoro, aelekeza iundwe timu maalum ya Wataalam

    Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso leo terehe 22 February 2025 amefanya mabadiliko ya kiutendaji katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA). Waziri Aweso kwa Mamlaka aliopewa na Sheria ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira Na. 5/2019 amemteua CPA Sais Andongile Kyejo...
  8. jlo father

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ya kujenga Morogoro Mjini

    Naomba kuuliza ndugu zangu ni sehemu gani nzuri ya kujenga Morogoro mjini kwa watu wenye vipato vya kati
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Rukwa, Morogoro, Mbeya na Dar es Salaam vinara wa utapeli wa Mtandaoni

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya operesheni ya kudhibiti na kukomesha vitendo vya utapeli wa mtandaoni pamoja na wizi wa simu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara Morogoro Mjini vs Ifakara Mjini

    Naomba kuuliza kati ya Morogoro Mjini na Ifakara wapi kuna fursa nyingi za biashara.?
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali Imeendelea na Ujenzi wa Bwawa la Kidunda lililopo Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro

    Serikali Imeendelea na Ujenzi wa Bwawa la Kidunda lililopo Wilaya ya Morogoro Vijijini mkoani Morogoro. Mradi huu ulikuwepo kwenye mipango ya maendeleo tangu Tanzania ilipopata Uhuru mwaka 1961 ambapo utekelezaji wake umeanza. Ujenzi utatekelezwa kwa gharama ya Sh. bilioni 336 ambapo hadi sasa...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Ujenzi wa Bwawa la Kidunda (Morogoro) linalojengwa katika mkondo wa Mto Ruvu umefikia 27%

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imethibitisha kuwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro umefikia hatua ya Asilimia 27, huku mradi ukitarajiwa kukamilika ifikapo Mwaka 2026 kwa gharama ya Tsh. Bilioni...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mvua zilizoambatana na upepo zaezua nyumba zaidi ya 100 Ulanga mkoani Morogoro

    Mvua zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo mbalimbali zimeendela kuleta athari ambapo zaidi ya nyumba 100 zimeezuliwa paa na nyingine kubomoka baada ya mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha katika Kijiji cha Mavimba Kata ya Milola Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro. Baadhi ya Wahanga...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Kilakala: Ukusanyaji wa Mapato Kusaidia Morogoro Kuwa Jiji

    DC KILAKALA: UKUSANYAJI WA MAPATO KUSAIDIA MOROGORO KUWA JIJI Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Musa Kilakala amesema kuwa Manispaa ya Morogoro haiwezi kufanikiwa kuwa jiji pasipo na mipango thabiti ya ukusanyaji wa mapato ya ndani kupitia vyanzo vyake vya kodi. Ameeleza hayo wakati wa kikao maalum...
  15. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Kiislamu Morogoro kiboreshe mazingira ya usafi, yanawaweka hatarini Wanafunzi na Wafanyakazi

    Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu. Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya Wanafunzi wanaoishi kwenye Bweni kuwa wanatupa taka hovyo na kumwaga maji bila mpangilio maeneo ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi - Morogoro wathibitisha watu wawili wamepoteza maisha kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linathibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili kwa athari za maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Vifo hivyo vimetokea katika nyakati na maeneo tofauti. Tukio mojawapo limetokea usiku wa kuamkia Januari 30, 2025 katika mtaa wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji Lukobe - Morogoro

    Salaam, kwa namna ya pekee naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu upatikanaji wa maji manispaa ya Morogoro. Kumekuwa na utaratibu wa maji kutoka kwa siku, napo kwa masaa machache. Ni ajabu kwasababu Morogoro ni mkoa ambao una vyanzo vingi sana vya maji, lakini wananchi wa manispaa ya Morogoro...
  18. A

    JamiiForums Tanzania WATENDAJI MANISPAA YA MOROGORO HAKIKA HAMUELEWEKI

    Kusema kweli Mkurugenzi, Meya na Madiwani mliopo Manispaa ya Morogoro Hamueleweki, Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia vichwa gani? Hivi kweli Daladala Zote zinazotoka Pembezoni ya Mji kuja kati ya mji zinakosa sehemu Rasmi ya Kupakia Abiria? Mwanzoni walikuwa wakitumia Stand ya Zamani Mkawaondoa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA Morogoro: Tutahakikisha tunashika dola uchaguzi mkuu ujao

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Mkoa wa Morogoro Ismail Rashidi Ismail amesema licha ya chama hicho kushindwa kufanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini bado hawajakata tamaa ya ushiriki na kushinda katika uchaguzi mkuu ambao unatarajia kufanyika mwaka huu...
  20. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Morogoro wanaongoza kwa uzembe, Wapewe tuzo.

    Hawa mabwana mvua ikinyesha kidogo tu afisa mkata umeme anakata mji mzima na hawafanyagi kazi usiku hivyo mvua ikinyesha wakikata sa 1 jioni hiyo ni mpaka kesho yake. Napendekeza meneja wa mkoa apewe tuzo kwa niaba ya afisa mkataji mwandamizi. Kipindi cha JPM ukiwapigia simu umeme umekata...
Back
Top Bottom