morogoro

  1. Stephano Mgendanyi

    Mganga Mfawidhi Zahanati ya Kichangani Morogoro Apongezwa kwa ubunifu wake wa kuboresha Zahanati hiyo

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, CDE Fikiri Juma, amempongeza Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Kichangani kwa ubunifu wake wa kuboresha Zahanati hiyo. Pongezi hizo amezitoa hivi karibuni Oktoba 2023 katika ziara ya Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya...
  2. Powell Gonzalez

    Natafuta shamba la kukodi Morogoro.

    Habari za muda huu, Natafuta shamba la kukodi Morogoro, Liwe sehem ambapo Kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika, pia Liwe na bei ya kawaida. Ahsanteni..
  3. Powell Gonzalez

    Natafuta shamba la kukodi Morogoro

    Habari za muda huu. Natafuta shamba la kukodi Morogoro, Liwe sehem ambapo Kilimo cha umwagiliaji kinaweza kufanyika. Ahsanteni.
  4. Powell Gonzalez

    Natafuta shamba la kukodi Morogoro

    Habari za muda huu, Natafuta shamba la kukodi morogoro, ekari Moja au mbili. Liwe maeneo ambapo kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika. Ahsanteni. Keygun Gershom
  5. K

    Safari ya treni ya mwendokasi Dar mpaka Morogoro itaanza lini?

    Tuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita. Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.
  6. Faana

    Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita kati ya saa 12:31 - 12:32 mchana

    Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema. Enjoy your day guys
  7. FaizaFoxy

    Inspekta wa Polisi Morogoro apewa "Toto" la Kiarabu na Sheikh Kishki

    Katika matukio yasiyo ya kawaida Tanzania mojawapo ni kama hili lililotokea Morogoro. Nakuwachia mwenyewe ujionee nisitie yangu:
  8. S

    Wanafunzi wanaosoma Ardhi Institute of Morogoro

    Naomba kuuliza kama kuna mwanafunzi anayesoma Ardhi Institute of Morogoro anifafanulie kuhusu kozi ya Geomatics.
  9. Dr. Zaganza

    Nauza Eneo Langu Morogoro Mjini

    Habari wakuu Nauza eneo langu lenye ukubwa wa kari 3 liloko Mkoa wa Morogoro, eneo la Wami Luhindo (km 20 toka msamvu stend, Dodoma road) , Kisha unaingia bara bara ya vumbi na gari km 8 hadi eneo la kiwanja. Eneo liko jirani na kiwanda cha nyama. Bei ya kuanzia kwa ekari ni laki 8 Kwa maswali...
  10. danja de genzo

    Fundi wa madishi Morogoro

    Habari upo morogoro na unatafuta fundi Karibu upate mafundi waaminifu huduma tutoazo FUNDI MADISHI FUNDI UMEME FUNDI MAFRIJI Karibu upate huduma za KUFUNGA TV UKUTANI, huduma zote zinazohusu solar, huduma zote za UMEME wa majumbani na viwandani ,huduma za kumtengenezea mafriji yasiyopoza Karibu...
  11. Scaramanga

    Kero ya barabara ya Morogoro - Dodoma

    Ndugu zangu TANROAD niwaombe sana mtuonee huruma na vigari vyetu na usalam pia. Kilichofanyika barabara ya Morogoro kwenda Dodoma mbele ya hotel ya Flomi karibu na kituo cha kupozea umeme hapo msamvu ni kero. Zile rasta mlizoweka 6 zinaumiza magari na nimeshuhudia ajali mbili mfululizo...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Mzeru Aendeleza Mbio za Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa UWT Mkoa wa Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi NONDO NA KOKOTO KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT MKOA WA MOROGORO vyenye thamani ya shilingi milioni moja (1,000,000) Sambamba na hilo Mhe. Norah Waziri Mzeru amesema ataendelea kutekeleza Ilani ya Chama...
  13. Mwl.RCT

    Morogoro | Ajali ya basi la Abood yawaua wawili , Wengine wajeruhiwa

    WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Abood na Noah zilizogongana uso kwa uso asubuhi ya leo Septemba 11, 2023 eneo la Kitungu Manispaa ya Morogoro. Ajali hiyo imehusisha basi lenye namba za usajili T904 DKY mali ya Kampuni ya...
  14. Hismastersvoice

    Mgogoro wa wananchi na wafugaji wa Kimasai utafutiwe suluhu

    Huko Morogoro umetokea mgogoro kati ya wananchi na wamaasai, chanzo cha mgogoro ni wamaasai walipeleka ng'ombe wao mtoni kunywa maji. Maji ya mto husika hutumiwa kwa matumizi ya kila siku majumbani na wakazi wa eneo hilo, ipo sheria inayokataza mifugo kupelekwa ndani ya mto kunywa maji ili...
  15. M

    Utitiri wa Malori umekithiri barabara ya Morogoro, hatua za haraka zahitaji kuchukuliwa, tusisubiri hadi janga litokee

    Ile wikiendi ya sikukuu ya Nane Nane niliendesha gari kutoka Dar hadi Morogoro na kugeuza baada ya siku kadhaa, na Jumamosi ya juzi pia niliendesha kutoka Dar hadi Chalinze, nilichokiona barabarani nyakati zote, wakati wa kwenda na hata wakati wa kurudi, kilinishtua na kunishangaza sana, idadi...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Mzeru Achangia Mifuko 50 ya Saruji, Matofali 500 na Laki Nne Ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Morogoro Vijijini

    MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI, MATOFALI 500 NA TSH. 400,000 KWAAJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi Mifuko 50 ya Saruji, Tofali 500 za Block na fedha kiasi cha Shilingi...
  17. Carasco Putin

    FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea leo August 17 2023 kwa Bingwa wa ngao ya jamii Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, Lunyasi wakiwa na furaha ya kutoka kumshindilia mtani wake yanga kwa penati 4-1. Sasa wanageukia ligi kuu kuwakaribisha Mtibwa Sugar, WakataMiwa kunako uwanja wa manungu...
  18. F

    Kupotea na kutoweka kwa Mtoto wa Rais Thabo Mbeki eneo la Mazimbu Morogoro. Nani walihusika?

    Ktk pitapita zangu viunga vya YouTube nakutana na kisa hiki. Ikumbukwe South Africa walikuwa na kambi ya wapigania Uhuru eneo la Mazimbu Morogoro. Aliyewahi kuwa Rais wa South Africa Thabo Mbeki 1999 Hadi 2008 alikuwa na Mtoto mmoja tu wa pekee aitwaye Kwanda Mbeki. Alimzaa na Mwanafunzi wa...
  19. BARD AI

    Morogoro: TAKUKURU kuwachukulia hatua waliokopa Tsh. Milioni 600 za Halmashauri na kushindwa kurejesha

    Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro, Manyama Tungaraza ametoa agizo hilo dhidi ya vikundi vilivyopewa Mikopo ya 10% iliyotolewa na Halmashauri. Pia, amesema TAKUKURU imebaini Manispaa ya Morogoro ni kati ya maeneo ambayo ilitoa Mikopo hiyo bila kufuata...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mzeru atoa milioni 10 kuchangia ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru Agosti 11, 2023 amekabidhi kiasi cha fedha cha Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini ikiwa ni sehemu ya ahadi aliyoahidi ya kuchangia ujenzi wa nyumba hiyo. Akikabidhi fedha hizo kwa...
Back
Top Bottom