morogoro road

Morogoro is a city, with a population of 305,840 (2012 census), in the eastern part of Tanzania, 196 kilometres (122 mi) west of Dar es Salaam, the country's largest city and commercial centre, and 260 kilometres (160 mi) east of Dodoma, the country's capital city. Morogoro is the capital of the Morogoro Region. It is also known informally as "Mji kasoro bahari," which translates as "city short of an ocean/port."Morogoro lies at the base of the Uluguru Mountains and is a centre of agriculture in the region. The Sokoine University of Agriculture is based in the city. A number of missions are also located in the city, providing schools and hospitals. Morogoro is home to the Amani Centre, which has helped over 3,400 disabled people in the surrounding villages.

View More On Wikipedia.org
  1. Teslarati

    Kuna usafirishaji wa magari ya bei kali sana yakiwa kwenye carriers unaendelea kupitia Morogoro road, je yanapelekwa wapi?

    Jana niliona carrier ya ngazi mbili imebeba magari ya bei mbaya sana zikiwemi G wagon mpya mbili. Leo hii tena nimeona carrier kama ile ile ya jana nayo ina magari bei mbaya sana ikiwemo range za 2024. Nilikua kwenye mkokoteni wangu sikuweza kupiga picha vizuri ila yote yamenipita nikiwa...
  2. Scared

    Tunatafuta kiwanja Kibaha karibu na Morogoro Road

    Wakuu tunatafuta kiwanja kibaha karibu na morogoro road isiwe ndani ndani na naomba mnitajie na. Bei yake kabisa hapa na ukubwa MODS: naomba msiupeleke huu Uzi sehemu yeyote nataka nipate kiwanja cha uhakika
  3. Kinoamiguu

    Nyumba zinapangishwa, magomeni mwembe chai. Dk 5 toka morogoro road

    Ni nyumba za kisasa ( apartments) mpya kabisa. Zipo magomeni mwembe chai. Zipo tatu 1. Self ina room mbili za kulala ( master) na inajitegemea 2. Self na zinajitegemea Maji uhakika kabisa ( reserve tanks zipo Car parking na gates Dalali ni mm mwenyewe Karibu Bei ni Ml 1.2 mwezi Laki 600000/=...
  4. Dalali wa Mjini

    Nyumba inauzwa Argentina Morogoro Road

    Habari wakuu. Nyumba inauzwa Argentina mkabala na ofisi Za Mabasi ya Shabibi Line. Nyumba inatazama Morogoro Road Eneo Lina ukubwa wa sqm 480 Hati Safi Bei ni Milion 600 Maongezi ni wewe mnunuzi na mwenye nyumba. Hakuna mgogoro wowote. Unaweza kuvunja na kuweka uwekezaji mwingine.Maamuzi...
  5. Dalali wa kimataifa

    Kutana na eneo lenye ukubwa wa ekari 57,halina kipengele labda uje nacho wewe tajiri, eneo lipo chamakweza chalinze,morogoro road,bei ni milioni 854

    Eneo la Ekari 57 linagusa Morogoro road linauzwa Chamakweza, Chalinze Location Eneo lipo upande wa kulia ukitokea Dar es Salaam Upana wa mbele Ekari 2 zimegusa lami zinazobaki nyuma -Eneo ni tambarare halina Mlima Eneo linafaa kwa ujenzi wa Kiwanda, Godown, Yard na Bandari Kavu n.k -Plot...
  6. Mshana Jr

    Ajali ya Kibaha eneo la Kongowe imekata mawasiliano Morogoro road

    Kama Una mpango wa kutumia Morogoro Road kwenda Chalinze na kuendelea ama Tanga Moshi na kuendelea tafadhali tumia Bagamoyo road maana Morogoro road imefungwa.. Magari yamejaa barabara zote mbili.. Old Morogoro rd na New Morogoro rd.. Ilikuwa ni ajali ya alfajiri pale maeneo ya Kongowe pale Howo...
  7. M

    Kuanzia Morogoro Road hadi Buguruni kuna foleni sana. Serikali fuateni ushauri huu

    Wakuu, hiki kipande cha Moro Road kwenda Mandela Road hadi Buguruni to Bandalili, ule utaratibu wa kuzuia malori asubuhi ungehamia pia jioni, labda kuanzia saa 9 au saa 10 hadi saa 1 au saa 2 jioni ndio yaruhusiwe. Hii ingesaidia kidogo kupunguza malori hasa katika hizi peak hours, lakini pia...
  8. A

    KERO Foleni ya malori barabara ya Morogoro (Ubungo hadi Kimara) ni kero kubwa, yazuiwe kwa muda kama inavyofanyika muda wa Asubuhi

    Wastani wa Malori zaidi ya 1,000 hutoka kila siku Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali ya Tanzania na Nchi Jirani. Upanuzi wa barabara hiyo kutoka Ubungo hadi Kimara ni suluhisho la muda mfupi tu. Foleni itahamia Kibaha Mjini. Suluhisho la muda mrefu Naishauri Serikali kwa Mwaka wa Fedha...
  9. Songambele

    Wazee wa Vizuizi wameyatimba Madambwe yameondolewa Kibaha - Mlandizi.

    Wazee wa vizuizi wameyatimba, Morogoro Road shwari Madambwe ya Rushwa na kubambikia Madereva vyeti yameondolewa. Tumeshaandika thread nyingi humu kulalamika kuhusu Jeshi letu kuongeza barriers hatarishi humu na kukusanya 2,000 kwa madereva, jana tumeona shwari mpaka mlandizi hakuna hata kimoja...
  10. conductor

    Morogoro road highway expansion project back to class (Axial road design)

    By expert!! Designing axial loads for road construction involves several steps to ensure the pavement structure can withstand the expected traffic loads over its lifespan. Here’s an overview of the process: 1. Traffic Analysis - Traffic Volume: Determine the average daily traffic (ADT) and...
  11. A

    KERO Kwanini Kituo cha Mafuta kilichojengwa Kimara Stop Over kimejengwa eneo la hifadhi ya barabara ya Morogoro?

    Unapotokea mjini kwenda Mbezi, ukiwa eneo la KIMARA STOP OVER, kuna kituo cha mafuta kinachoitwa RUPIA. Wakati wa Serikali ya awamu ya 5 nyumba nyingi na vituo vingi vya mafuta vilibomolewa ili kupisha ujenzi wa barabara. Mara tu Serikali ya awamu ya Sita ilipoingia tulishangaa kuona kituo kile...
  12. mirindimo

    Traffic police morogoro road tunaomba maroli yaruhusiwe usiku

    SIku za karibuni maroli yamekua kero sana njia ya Morogoro na traffic police wao wame focus zaidi kukamata magari yenye faini badala kuongoza magari ili tuwahi kwenye shughuli za kiuchumi. Foleni imekua kubwa sana kupitiliza kawaida na hakuna juhudi zozote zinafanywa na police ili kurekebisha...
  13. Omuzaile

    Barabara ya maili moja shule kwenda sheli ya zamani( Morogoro road) -KIBAHA

    Habari, Mwezi uliopita mlilipoti kuhusu kuharibika kwa barabara hapa maili moja- kibaha, barabara ya kutoka mtaa wa maili moja shule kwenda kutokea Morogoro road mtaa wa sheli ya zamani,( Diwani-Ramadhani Lutambi -CCM, MB- Sylvester Koka - CCM. Yaani Hadi Leo hii 6 May 2024, hakuna chochote...
  14. kali linux

    Kwanini ajali ya mabasi 2 na lori la mafuta kuungua moto iliotokea Mlandizi haiongelewi? Wembamba wa Morogoro Road ni janga la taifa

    Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali. Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali? Barabara nyembamba saaana hasa kipande cha Mlandizi to Morogoro, barabara kila siku ina ajali na ndio lango...
  15. Mr Dudumizi

    Vijumba vilivyopo pembeni ya barabara ya Morogoro Road vinatia aibu na fedheha kwa Watanzania

    Pamoja na kujitahidi kuwa na barabara za kisasa ambazo zinachangia kupendezesha mandhari ya nchi, lkn muonekano huu wa vijumba vilivyochoka pembezoni mwa barabara vinafanya upendezaji huo uwe ni sawa na mtu alievaa nguo nzuri, lkn chini amevaa viatu vichafu na vya kutoboka. Kwa wenzetu mfano...
  16. B

    DOKEZO DAR: Vituo vya daladala Morogoro Road hakuna sehemu ya abiria kupumzikia

    NIMEKUWA nikiliona hili jambo kwa muda mrefu, nikaamua leo niliweke hapa pengine na wewe uliwahi kuliona lakini kama ukaona freshi tu. Ukipita Morogoro Road, njia ambayo mabasi ya mwendokasi ndiyo yalianza kufanya kazi zake hapa Dar es Salaam, utagundua kwamba vituo vya daladala za kawaida...
  17. Z

    Tahadhari: Morogoro Road eneo la Mlandizi hakupitiki kutokana na ajali

    Kuna bonge la foleni morogoro road,ajali mbaya , zimetokea Kama mbili,fuso imegonga gari kubwa,na fuso nyingine ya nyanya imepinduka bondeni,watu wanazoa nyanya,hizi ajali mlandizi zimezidi Sasa,juzi newforce,Kuna pepo baya
  18. U

    Eneo lililo wazi pembezoni mwa Barabara ya Morogoro linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi kwa serikali

    Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali? Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
  19. Msanii

    Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

    Basi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St. Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala Ukiangalia...
  20. K

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha Miembe 7 mita 600 toka morogoro road

    Nauza kiwanja kiko miembe sana kibaha , karibu na morogoro road , umbali ni kama nusu kilometa Yaani mita 600 hivi toka main road. kiwanja kikubwa mita 55 Kwa 26 . Bei ni 13m Nina shida ya haraka. Karibuni namba yangu 0674223223 mimi ni mmiliki mwenyewe. Karibuni
Back
Top Bottom