FULL TIME - Friendly Match
Coastal Union 1️⃣ ➖ 2️⃣ Taifa Stars
⚽️ Kibu Denis
⚽ Kibu Denis
⚽ Amara Bagayoko
Naona Kabisa timu ya Taifa stars haipo serious huwezi kufanya maandalizi na coastal union na Kisha uende kuchuana kimataifa tena na timu zenye uchu kweli kweli Wa kutoboa kuingia kwenye...
Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla.
Wale vijana pale ni wasumbufu kupita kiasi mara nyingi sana wanachafua magari ya watu, wakati mwengine mtu ametoka car wash kabisa, ila...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa kwa mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Morocco.
Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji kutoka klabu mbalimbali za ndani na nje ya nchi...
Mfalme Mohammed VI siku ya Jumatano aliwahimiza Wamoroko kuacha kununua kondoo wa kuchinjwa wakati wa sikukuu ya mwaka huu kutokana na mfumuko wa bei wa kihistoria na mabadiliko ya tabianchi. Ukame wa miaka saba umepunguza idadi ya mifugo nchini humo, na kusababisha bei ya kondoo kupanda hadi...
Wanabodi,
Niko kwenye ukumbi wa hoteli mpya ya King Jada Hotel, nikiwaripotia live, kikao kazi kati ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gersom Msigwa, na Jukwaa la Wahariri Tanzania , TEF
Karibuni.
Paskali
Hii ndo tofauti ya CAFCL na shirikisho
Timu ikicheza Club bingwa CAFCL itaalikwa kwenye majukwaa makubwa ya kimpira
Viongozi wa timu za shirikisho hawawezi kusimama kwenye majukwaa makubwa,
Soma Pia: Hafla ya upangaji wa Makundi AFCON 2025, Tanzania tutapangwa na nani?
Viongozi wa Simba wapo...
Morocco imechaguliwa kuwa Makao Makuu ya Chama kipya cha vilabu vya Afrika kinachoongozwa na Eng.Hersi Said.
Baada ya mchakato wa ushindani wa zabuni uliohusisha Afrika Kusini, Morocco, na Algeria, Morocco iliibuka kuwa chaguo la pamoja wakati wa mkutano wa bodi ya ACA uliofanyika jana.
Makao...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amemtaka Mkandarasi anayejenga barabara kutoka Mjini kati Ohio hadi Mwenge na Tegeta, kufanya kazi Usiku na Mchana ili kuhakikisha Ujenzi unakamilika mapema.
Ameyasema hayo leo tarehe 15 Januari wakati alipotembelea ujenzi wa barabara ya Mwendo kasi awamu ya nne...
Hello Niko interested kutembelea nchi hapo juu za Africa kaskazini kwa utalii.
Ningependa kujua visa za nchi hizo zinapatkana wapi kama kwenye mabalozi au evisa na kwa gharama gani?
Niko Tanga, Tanzania
Nb:Nimejaribu kuangalia website zao mtandaoni sioni details zaidi.
Ningependa kwa wenye...
Amani kwenu wana jukwaa
Nchini Morocco kumetungwa Sheria mpya ya NDOA ambayo kwa waislam weusi wa TANZANIA wanadai inakinzana na utamadun wa kiarabu yaan wa kiislamu
Bunge la Morocco limepiga marufuku Binti wa umri wa chin ya miaka 18 kuolewa na ukimuoa unafia jela
Lakini pia ni marufuku...
Kocha wa Timu ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes, Hemed Suleiman 'Morocco' amewaondoa kambini nyota wake wawili kwa utovu wa nidhamu.
Katika taarifa iliyotolewa na ZFF, nyota waliofukuzwa ni Ibrahim Mkoko anayekipiga katika klabu ya Namungo FC na Abdallah Said (Lanso) wa KMC.
Utovu wao wa...
Tazama sehemu ya performance ya Msanii Diamond Platnumz kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za CAF 2024 Marrakesh, Morocco
Pia, Soma: Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF, Desemba 16 Morocco
Kutoka Morocco, Usiku huu ni ugawaji wa tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika ( CAF )
Tuzo mbalimbali katika vipengele mbalimbali zinatarajiwa kutolewa usiku huu.
Baadhi ya vipengele hivyo ni;
Mwanasoka bora wa mwaka ( kwa wanawake & wanaume )
Golikipa bora wa mwaka
Timu bora ya mwaka...
Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner
Pia, Soma: Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024
Hafla hiyo ya kifahari...
Najua Watanzania ni watu wa matukio
Hapa tumefuzu Kwa mbinde na coach Morocco anaonekana shujaa, ila ana mbinu duni akikutana na timu ngumu atapigwa kama ngoma
Tumefuzu lakini Kwa kubahatisha tu
Huko AFCON tunaenda kutia aibu
Tutafungwa magoli si chini ya 5 kila mechi
Timu yetu inacheza kama...
Warabu wametia aibu soka la Africa kwa kumbagua Mwafrica mwenzao Kwa kumwita Kaffir, yaani mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga
Rulan Mokwena ni Coach wa Wydad Casablanca ya Morocco, zamani alikuwa coach wa Mamelod sundown ya Africa Kusini
Ubaguzi huo umefanywa na Moja ya viongozi wa...
Taa za barabarani kuanzia Stand ya Morocco hadi Biafra, Kinondoni, ambazo zilikuwa zimeharibika kwa muda na kusababisha giza hatarishi, sasa zimerekebishwa na zinafanya kazi vizuri.
Soma: Taa za barabarani eneo la Stendi ya Morocco hadi Biafra zitengenezwe, ni hatari kwa usalama
Giza ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.