Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,406
- 103,903
Baada ya kuwacharaza Senegal 3-1 na kuongoza Group letu, leo tunakipiga Semi Final.
Dada na mama zetu wanaendelea kutuwakilisha uko leo wakicheza na Cameroon.
Kikosi chetu hiki hapa:
Tumeshinda tena asanteeeeee 3-2
Tanzania kwakua tmeshinda, sio tu kwamba tutaenda kucheza Fainali ila pia tutashiriki kwenye FIFA Women's Futsal World Cup yatakayofanyika Philippines from 27 November hadi 7 December.