moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haya mambo tuambizane Ukweli bila woga. CHADEMA mnanisikia? Toeni Tangazo tujue moja

    Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka anavaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid. Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana. Mimi nitasema ukweli fitna kwangu mwiko. Tunaona kwenye kikao hakuna aliyevaa Barakoa, hakuna social...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kupata ufafanuzi kuhusu ufundishaji wa wanafunzi wenye mahitaji maalumu (VI, HI, II) pamoja na wale wa kawaida katika darasa moja

    Kumekuwepo na sera ya ufundishaji wa wanafunzi kwa kujuimuisha wenye mahitaji maalum na wale wa kawaida katika shule/ darasa moja. Wanafunzi hawa katika baadhi ya shule wanafundishwa na walimu waliosomea ualimu wa kawaida. Tatizo linakuwa ni namna ya kuwasiliana na wanafunzi hao hasa wenye...
  3. JamiiForums Tanzania Aden Rage aache dharau na TFF imfungie kwa kuita Ligi Kuu ya Mbuzi

    Jana akihojiwa na vyombo vya habari Ismail Aden Rage ameiita ligi kuu ya Tanzania ni ligi ya mbuzi isiyo na lolote. Kiongozi wa aina yake tena kiongozi mustaafu wa TFF haikuwa busara hata kidogo kuongea kauli kama ile ya ki fedhuri! TFF watu kama hawa ndiwo wa kufungiwa hata miaka 100.
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji Ofisi ya kukodi kwa wiki moja Dar

    Habari wakuu. Iwe maeneo ya kati kati ya jiji au jirani na City Center. Lengo ni tunatoka mkoani kuja kurekodi kipindi cha afya ya ngozi. Piga 0713039875
  5. JamiiForums Tanzania Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga. Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika...
  6. JamiiForums Tanzania Ukraine yazika watu kwenye kaburi moja

    Kutokana na mzozo unaoendelea, Naibu Meya wa #Mariupol, Sergei Orlov amesema hawawezi kujua idadi halisi ya waliofariki kutokana na mashambulizi japo idadi inakadiriwa kuwa 1,300 Ili kupunguza maiti mtaani, uongozi wa jiji umechimba mfereji wa urefu wa mita 22 na kuzika maiti kwa pamoja zikiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Taifa hatutakuwa na Sera moja ya maendeleo basi maendeleo tutayaona kwa wenzetu

    Tanzania tumeamua kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi. Hili ni jambo jema ili kushirikisha watu wote katika maendeleo yetu. Lakini hatuwezi kupata maendeleo kama kila chama au kiongozi kuwa na sera yake ya maendeleo. Mfano CCM imekuwa chama tawala tangu tupate uhuru lakini kila awamu...
  8. JamiiForums Tanzania Kukupa laki moja ndio umuite mume wako mwanaume suruali?

    Igwee! Ni pisi Kali sikatai. Mtoto mweupe pee! Mtoto kanyooka vibaya mno. Kiuno Dondora. Yakamshinda nikatema sumu ya king cobra, mtoto chaliii miguu juu macho rebwerebwe. Tukapanga siku yakukutana ili nimnyandue, siku ikafikia. Toto likasema halina nauli, nikamuagizia Bolt, mtoto akaletwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wafungwa kula mlo mmoja kwa siku na hufanya kazi ngumu, hii ni haki?

    Hizi jela zetu zimekuwa sehemu ya mateso na sio sehemu ya kumrekebisha mtu tabia. Mfano hapa jela ya Mbeya Mjini watu wanafanya kazi asubuhi hadi saa nane mchana, hio kazi wanayofanya ni nzito ambayo uraiani anastahili malipo ya chini iwe kumudu milo miatu lakini wao wanapewa chakula mara moja...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Azam tv wanairudia mechi ya Azam vs Biashara United siku moja kabla ya mechi ya Simba vs Biashara United?

    Mpaka naogopa Mimi sasa, mechi ya Azam vs Biashara United ilichezwa wakati Simba Iko kwenye majukumu ya kimataifa. Kesho Simba inacheza na Biashara United. Leo Azam tv inafanya marudio ya mechi hiyo. Hii Ina maana gani? Ni ombi maalumu au ni utaratibu wa Azam tv?
  12. JamiiForums Tanzania Moja Kati ya faida Bora kabisa utakazo zipata baada ya kuachana na mpenzi wako

    Uta stop Ku pretend kumpenda / kumkubali / kumtolerate ndugu kimeo wa ex wako ambae katika hali ya kawaida usingeweza kuwa na ukaribu nae ila ulizamika kuwa Na ukaribu nae Kwa Sababu ya kuwa katika mahusiano Na ex wako.. Kwa mfano binafsi niliwahi kutoka Na dada mmoja yupo vizuri sana ila ana...
  13. JamiiForums Tanzania UN kuchangisha dola bilioni moja za msaada kwa Ukraine

    Umoja wa Mataifa (UN) unakusudia kuchangisha dola bilioni moja (Sh triloni 2.3) kwa kufadhili misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Ukraine katika kipindi cha miezi mitatu ijayo. Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Martin Griffiths anayeshughlikia misaada ya kibinadamu, ameeleza hayo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Warusi na wa Ukraine ni kabila moja na hata lugha zao zinashabiana

    Mzuka wanajamvi Ukiondoa ukristo wa Orthodox na ukatoliki kwa mbali Hawa watu ni ndugu moja (ethnicity) wametoka Jamii moja ya slavs na lugha zao zinashabiana wote Hawa Russians, Ukrainians, Belarusian, moldovan, poles, slovaks, slovenes, Bulgarians, zchecs, serbs, makedonians, croats...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Urusi na Ukraine zipo bara moja?

    Nisaidieni wadau sijawa mzuri sana kwenye jiografia ukweli ni kwamba sina majibu juu ya hayo mataifa mawili kwamba yapo bara moja au mabara tofauti?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kumbe ufunguzi na ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing ni sehemu mbili za sherehe moja!

    Ufunguzi na ufungaji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kumbe ni sehemu ya kwanza na ya pili ya sherehe moja. Maonesho ya fataki kwenye ufunguzi wa michezo hiyo yalionesha mchoro wa msonobari unaowakaribisha wageni, na maonesho ya fataki kwenye ufugaji wa michezo hiyo...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje magazeti yote ya leo kutumia picha moja?

    Magazeti karibu yote kwenye front page yameweka picha ikimuonesha askofu Niwemguzi akimuinamia SSH, je hii picha imetoka wapi na kusambazwa na nani. Je ina uhusiano na kujilinganisha na Mungu? 7
  18. K

    JamiiForums Tanzania Serikali mbili kuelekea moja v/s Serikali mbili kuelekea tatu: Nguvu za kimaslahi v/s nguvu za Kizalendo

    Mwanzoni mwa miaka ya 80 na Mwishoni mwa miaka ya 90, ulikuwa ukihoji chochote kuhusu muungano uliandamwa sana na kuitwa muhaini. Tunakumbuka sakata la Aliyekuwa Rais wa Zanzibar wakati huo Mzee Jumbe la kulazimishwa kujiuzulu na sakata maarufu la kuchafuka hali ya hewa ya siasa Zanzibar...
  19. JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Alfu Lela Ulela au Siku Elfu na Moja - Kitabu cha Pili

    Baada ya kitabu cha nne, sasa tuone kitabu cha pili. Fuatana nami hadi kitakapoisha, pia hivi vyote na vingine vingi unaweza kuvisoma bure ndani ya maktaba app. MAZUNGUMZO YA ALFU LELA ULELA AU SIKU ELFU NA MOJA KIMEFASIRIWA KWA KISWAHILI NA EDWIN W. BRENN KITABU CHA PILI YALIYOMO...
  20. JamiiForums Tanzania Dunia hii chagua upande, aidha Urusi au Amerika, kamwe usiwe katikati, utalipa gharama kubwa siku moja !

    Kama Kiongozi kamwe usiwe katikati, chagua upande ambao utaona unakufaa na uende mazima siyo nusu nusu, nusu nusu itakufaa tu kama kila kitu kiko sawa, lkn kikinuka hauna msaada wowote na wanakushukia kama mwewe. Mfano Erdogan wa Uturuki mwaka 2016 kama asingekuwa rafiki wa kweli wa Putin...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…