moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

    Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80. Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja. Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo...
  2. JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa laki moja. Je nifanye nini ili niwe napata angalau elfu mbili kwa siku?

    Habarini wana jf. Nimepata mtaji laki moja.je nifanyej ili nipate elfu mbili mpk elfu tano per day. @everyone
  3. JamiiForums Tanzania Tuna Nafasi Moja Kwa Clinical Officer Kufanya Field Au Volunteer

    Natural Skin Solution yenye makao yake Kibaha Tanzania, tunapenda kutangazia wahitimu wa Clinical Officer au wanafunzi wa fani ya Clinical medicine ,tuna nafasi moja tu ya field au volunteer. Wasiliana nasi kwa 0713 039 875 kwa maelezo zaidi. (Siko hapa jukwaani muda mwingi, tumia Simu)...
  4. JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!

    Huko nyuma tuliwahi kumchambua Tundu Antipas Lissu na kuhitimisha siyo presidential material. Amekuwa akiropoka ropoka hovyo bila kupima athari za kauli zake na mbaya zaidi mbali ya kunyanyapaa wapinzani wake wa kisiasa pia hana majibu ya matatizo yaliyopo. Ukikosoa kwamba mkakati huu haufai...
  5. JamiiForums Tanzania Moja ya kitu ambacho siwezi thubutu kukifanya ni Kumnunulia Mwanamke Chupi

    Ukihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!. Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE" Mambo hayo ni :- 1.KUMSOMESHA 2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI") Mambo mengine yote naweza kuyafanya...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi Mo Dewji akipokea laki moja kimakosa hawezi kukimbia kwa wakala kuitoa?

    Tuseme bilionea yupo asubuhi ofisini anaendelea na majukumu Mara ghafla inaingia laki moja kwenye simu kimakosa, je hapa bilionea hawezi kuacha shughuli zake na kuchukua lifti kwenda kwa wakala kuwahi kuitoa? Hapa tunaongelea bilionea anayewalipa wafanyakazi wake wa viwandani chini ya laki 2...
  7. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu kushughulikia suala la uhaba wa mafuta nchini

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 8, leo Septemba 7, 2023. https://www.youtube.com/live/soJPf67OkQM?si=PyIaBMuE5kEcrnq- Ratiba: Hati za kuwasilishwa Mezani Maswali kwa Waziri Mkuu Maswali ya kawaida Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania IGP mshawishi Rais Samia akuruhusu utumie japo 50% ya bilioni 125 kuboresha makazi ya Askari NCHINI. Uchaguzi ni tendo la siku moja

    IGP upo katika kipindi ambacho serikali inakuhitaji kuliko wakati wowote. Watangulizi wako pamoja na wewe mmekuwa mkiomba bajeti ya kuboresha makazi ya askari bila mafanikio kwa miaka mingi. Lakini kila inapofika kipindi cha uchaguzi watu wale wale wasiokuwa na fedha ya kukusaidia kuboresha...
  9. JamiiForums Tanzania Vita Kali niliyoiona na Kuitabiri katika moja ya Threads zangu hapa JamiiForums sasa imeanza na ataumia Mtu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kazi iliyo mbele yake ni kuhakikisha huduma ya nishati inawafikia wananchi wote na kwamba pamoja na kazi nzuri iliyofanyika ya kuimarisha sekta ya nishati, bado kuna nafasi ya kufanya ili nishati ya uhakika ipatikane. “Kama watu...
  10. JamiiForums Tanzania Vita Kali niliyoiona na Kuitabiri katika moja ya Threads zangu hapa JamiiForums sasa imeanza na ataumia Mtu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema kazi iliyo mbele yake ni kuhakikisha huduma ya nishati inawafikia wananchi wote na kwamba pamoja na kazi nzuri iliyofanyika ya kuimarisha sekta ya nishati, bado kuna nafasi ya kufanya ili nishati ya uhakika ipatikane. “Kama watu...
  11. JamiiForums Tanzania Je, hii ni moja ya sababu kwa nini vijana wengi wa Tanzania hawatoboi?

    Kutokuwa tayari kula na watu. Kuna dogo mmoja anafufua na kuuza PC kwa bei rahisi. Alinifuata anaomba mtaji na hataki kukopa benk. Nikamwambia sasa mimi nitawekeza kiasi kadhaa alafu katika hiyo faida na mimi nipata kiasi flani, hata pesa ya marketing ntashiriki. Hii ingemsaidia kukua kwa...
  12. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza glass protector za simu kwa shilingi elfu moja

    Habarini Wana JF. Glass protector aina zote zinapatikana kwa bei ya shilingi elfu moja per item. napatikana kivule dar es salaam ukihitaj nakuletea popote ulipo kwa dar es salaam. Contact: 0753158943
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kumi na moja bila kuchomoa

    Wakuu salaam. Nimekutana na jamaa hapa ananiambia ashawahi kupiga goli kumi na moja kwa usiku mmoja. Hii kitu inawezekana kweli? Kuna mtu ambaye ashawahi fikisha? Nawasilisha.
  14. JamiiForums Tanzania Top list ya watu maarufu duniani wanao julikana kwa jina moja tu (mononymous people)

    A mononymous person is a person who is only known for or famous for only one name. A mononymous person ni mtu anae julikana kwa jina moja tu. Ifuatayo ni orodha ya watu ambao anajulikana kwa jina moja tu (excluding those who use nick names) 1. Jesus 2. Muhammad 3. Ibrahim (or Abraham?)...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Mizigo Bariadi ya Bilioni moja, inakusanya Sh. 0 Mwezi mzima

    Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa taifa? Angalieni hiki kituko, uko katika Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi ndani ya Mkoa wa Simiyu. Halmashauri hiyo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Stendi ya Mizigo Bariadi ya Tsh. Bilioni moja, inakusanya Tsh 0 Mwezi mzima

    Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa Taifa? Angalieni hiki kituko katika Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi ndani ya Mkoa wa Simiyu. Halmashauri hiyo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya 'Go bet' ni matapeli sana kuweni makini

    Kuna kampuni moja inatumia jina la go bet, Hawa jamaa ni matapeli Sana, wanatumia namba ya kampuni iliyokuwa inatumia na betpawa pamoja na namba ya malipo, namba ya kampuni ni 122122 malipo ni 60124815, ukiweka pesa umeliwa hakuna huduma wanazotoa namba ya simu 0677040553 hawapokei simu na...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Dawasco Kibaha Maili Moja, maji hakuna mwezi. Wanasema mpigie Aweso

    Tuna mwezi wakazi wa Mwanarugali hatujapata maji, hakuna majibu mazuri kutoka DAWASCO, wanasema tumpigoe aweso. Nawakumbusha wafanyakazi tufanye kazi kama ambavyo tulivyo kuwa tuna iomba iyo kazi amina.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Plate number moja kwenye magari huchukua wastani wa muda gani kujaa?

    Naomba kujua huchukua wastani wa muda gani plate number moja mfano kwa magari yaliyooanza na namba "D" kujaa kabla ya kuingia namba "E" iliyoko sasa? Kuna mdau alinunua gari mwaka 2015 (kwa maelezo yake) na gari yake ni namba "D" kitu ambacho kidogo kimenishangaza kuona namba hiyo ipo tangu...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme). Mashuhuda wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…