moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mzee Azim Dewji acha mara moja kutoa hizi ahadi za mfungaji na mtoa assist

    Habari za jioni wakulungwa. Naleta habari hii usiku huu, nikiwa nimefuatilia ahadi za huyu mzee wetu kipindi hiki timu inatafuta namna ya kufuzu nusu fainal na kuitafuta fainali, kwa jicho la tatu ahadi zake hizi zinavuruga timu sana, mchezaji badala ya kufocus timu ishinde qnafocus afunge...
  2. JamiiForums Tanzania Kuzaa mtoto ili akikua akusaidie ni moja ya kichocheo cha umasikini wa mtu mweusi

    Sababu ya kumzaa mtoto ni ili umsaidie ikiwezekana hadi uzee wake. Ni utegevu kutafuta watoto ili waje wakusaidie. Kabla haujapanga kupata mtoto weka na mikakati ya kumsaidia hadi mwisho. Muandalie mifumo, urithi wa kutosha ikiwezekana hadi wa wajukuu wako ( watoto wake). Hivi ndivyo vitabu...
  3. JamiiForums Tanzania Mtengenezaji wa Sabuni za Eva MOTONI moja kwa moja

    Sabuni zake zinaongoza kwa kuondoa ushahidi baada ya uvunjaji wa amri takatifu. Hizi sabuni zimeosha mamilioni ya mikuyenge na papuchi nchini Tanzania tangia awamu ya 3 hadi leo awamu ya 6.
  4. JamiiForums Tanzania Nidanganye na yaliyokukuta mwaka huu: Niambie mambo mawili ya ukweli na moja la uongo

    Bandugu bado nauguza maumivu, njooni tujiburudishe na kazoezi haka nilikokawaza asubuhi hii. Niambie mambo matatu - mawili ya ukweli na moja la uongo yaliyotokea kwako kwa mwaka 2025 na mimi nitajaribu kukisia la uongo ni lipi na kukujibu. Kama utapenda muite mtu unayetaka akujibu au akisie...
  5. JamiiForums Tanzania Ulaji Chakula cha Aina Moja Chatajwa Chanzo cha Udumavu, Sylvia Sigula Ahoji Bungeni

    ULAJI CHAKULA CHA AINA MOJA WATAJWA CHANZO CHA UDUMAVU, SYLVIA SIGULA AHOJI BUNGENI Serikali imesema kuwa moja ya sababu za udumavu wa watoto katika baadhi ya mikoa nchini ni tabia ya ulaji wa chakula cha aina moja, licha ya mikoa hiyo kuongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula. Kauli hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hati miliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  7. JamiiForums Tanzania Goli la Mama Nusu Fainali CAFCC: Milioni 20 kwa goli moja

    Msigwa ametoa tamko hapa Azam Sports HD, kwa hatua ya nusu fainali goli moja ni 20 milioni. Sipendezwi na hizi kampeni
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wauza simu Kariakoo acheni utapeli mara moja

    Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani. Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu. Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
  9. JamiiForums Tanzania Kijaluo ni lugha moja nzuri sana

    Katika lugha za kiafrika,kijaluo ni lugha moja nzuri sana na naipenda sana. Nilianza kuifahamu lugha hii nikiwa na miaka 20 na kwa kudra za Mungu,nilipata mtoto na dada mmoja anaitwa akinyi wa ahero nyakach.Nimejifunza sana lugha hiyo,historia yake na nyimbo zake. Kuna mwaka mmoja nilienda...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje baba kijana wa miaka 28 anaishi Kwa wazazi wake nyumba moja

    Wakuu Leo nataka tu tuongee vitu serious Kuna jamaa kaja analalamika wazazi wake wanamuendesha Kwa kumkalipia na anasema baba yake anamtangaza mtaani kwamba anamtafutia kazi ila yeye hataki jambo ambalo huyu jamaa anasema ni uongo na sio kwamba yeye anapenda kuishi kwao ni kwamba anajitafuta...
  11. JamiiForums Tanzania Huu ni moja wa ushauri bora niliwahi kuona mtu akipewa JF. Yani uko simple na precise ila unafikirisha.

    ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ BALENSIAGA ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri TFF wawape Yanga na Simba point moja, moja

    Mwezi ujao Ligi inaisha na hakuna lolote linaloendelea Kwa mechi iliyogomewa na kuhairishwa Kwa wakati mmoja, naongelea mechi ya Simba na Yanga. Kwakuwa May 25/2025 Ligi inaisha , basi kutatua mgogoro huu TFF watoe Suluhu katika mechi hiyo, ikiwa yanga apewe point moja bila goli na Simba apewe...
  13. JamiiForums Tanzania Wizi mpya kivuko cha Kigongo Busisi risiti haziskaniwi, inascaniwa moja kwa wateja wote.

    Kama kawaida kila nikipita pale kivukoni huwa naangalia mapungufu, nilianza na la chenji ya mia mia kutorudishwa. Na leo nimebaini abiria wakinunua tiketi pale dirishani pale sehemu ya kuscania inawekwa nyuma ya tiketi nyingine huku ikitunzwa vizuri bila kuharibiwa. Hii inamaanisha zinarudishwa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Inawezekana Kuwa na Zaidi ya 3 Independent & Dependent Variables Kwenye research moja?

    Habari wakuu, Kama wewe ni mwanafunzi wa elimu ya juu, au unajiandaa kuandika research proposal, dissertation au thesis, kuna swali moja ambalo wengi huwa wanajiuliza lakini majibu yake yanaonekana kama yanatatanisha hivi; Mtu anajiuliza swali kama, โ€œNaweza kuwa na Independent Variables zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania Kumiliki laini zaidi ya moja ni ushamba uliokithiri

    Watu wa namna hii wanaudhi sana kama sio kusikitisha. Unakutana na mtu ana namba ya kila mtandao. Day one kakupa let say namba yake ya Voda, wakati anarudisha message unashangaa namba nyingine (Yas), unavumilia, unasave Kesho yake unashangaa kuona namba ngeni inaingia kwa simu (Airtel), kwa...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump. Inaona kila moja afe kivyake.

    Australia yakataa ofa ya China ya 'kuiunga mkono' kwenye ushuru wa Trump. Australia imekataa haraka ombi la China la "kuungana mkono" dhidi ya ushuru wa Donald Trump, wakati Washington inazidisha vita vyake vya kibiashara na Beijing. Ikulu ya Marekani hivi majuzi ilitoza ushuru wa kuagiza wa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Tuna Tanzania/Tanganyika moja tu tusiangalie leo tuangalie kesho ya hili Taifa

    Hakuna mahali duniani chama au mtu ameweza kutawala bila kufika mwisho wengine waliuwa na kuchinja mkoa mzima bado hawakuweza kutawala milele. Tuna kipenda chama cha ccm tangu wa zee wetu na baba yetu Mwl Nyerere ila ninkwanini watanzania wamechoka na kwa nini watu wanahaha kuwa na chama...
  18. JamiiForums Tanzania Kuvaa shati moja kila siku sio umaskini

    Tunakuwa Maskini kwa sababu ya kuwekeza kwenye vitu ambavyo havina faida Wakinga wanafanikiwa kwa sababu ya nidhamu ya Pesa. Mtu anavaa nguo Moja lakini anawekeza kwenye biashara. Utasikia sina Hela ya kula kumbe kuna sehemu kawekeza hela yake. Ukweli ni kwamba bila kujitoa Huwezi kuwekeza...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi ndio njia tano pekee za kuwa tajiri hapa duniani tajiri yoyote atapitia au amepitia njia moja wapo kati ya hizi.

    Kuna njia 5 tu zinazojulikana ambazo watu wengi duniani (na hapa Tanzania) wamezitumia kufikia utajiri. Hebu tuziangalie moja baada ya nyingine kwa macho ya ukweli: 1. Kurithi Mali Kama ulizaliwa kwenye familia yenye pesa aubkwenu kuna ukwasi wa kutosha basi maisha yako yanaanzia juu. Urithi...
  20. JamiiForums Tanzania Umewatambua hawa wanakwaya wa band moja iliyotamba sana miaka ya 70's

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ