moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba Tundulissu aachiwe mara moja na bila mashariti yoyote nimeongea mimi na nikiongea huwa sirudii.

    Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka. Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike. Mimi Kama MTU wa haki na Mtumishi ambaye huwa siingiliwi katika mamlaka zangu . Nimesema TAL aachiliwe haraka...
  2. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Unahitaji nyumba nzuri na hii ni moja ya design kali yenye 4 bedrooms, fit on 900sqm plot. Call us kupata huduma 0624004650

    HII DESIGN INA; 1. ENTRACE LOBBY TO LOUNGE ,DINNING, OPEN KITCHEN WITH STORE AND LAUNDRY 2. 4BEDROOMS (WITH CLOSET),ALL SELF AND MASTER BEDROOM HAVE RELAXATION PATIO SISI TUNAHUSIKA NA UJENZI + DESIGN + USHAURI CALL/WHATSAP +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Shujaa NDUNA Songea Luwafu Mbano ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA

    NDUNA ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA Katika historia ya Songea mkoani Ruvuma kuna nyota moja iliyong’aa kupita zote Nduna Songea Luwafu Mbano aliyeuawa kikatili na wajerumani mwaka 1906 Huyu hakuwa tu kiongozi wa kijadi, bali alikuwa ngome ya ujasiri, Jemedari asiyeogopa risasi, na...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Andaeni SAMIA GALA TUZO 2025 , Mmtuze Tuzo zake zote Kwa pamoja , na Si Huu Ujinga wa Kila siku Tuzo , Tuzo za Kichawa !!

    Mnafanya Matendo ya ajabu kwelikweli mpaka Watanzania wanawaona mna akili za kitoto. Unaweza usishangae sana kwakua ni Chawa na Mipango Yao ya kichawa, Shida ni Kwa huyu anayezipokea, yaani kabisa kabisa nayeye anajiona anastahili Tuzo Kila Kukicha 🤣 Heri Nguo Kuraruka kuliko Akili !!. Ni...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Hisa za CRDB zafika 1500 kwa hisa moja

    Neema kwa wawekezaji wote wa CRDB siku ya jana hisa moja iliuzwa kwa tsh 1510 .
  6. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Mtoto Kuzaliwa Na Korodani Moja

    Mtoto kuzaliwa na korodani moja ni hali ambapo mtoto ana korodani moja tu iliyoshuka kwenye mfuko wa korodani (scrotum), wakati korodani nyingine inaweza kuwa haijashuka (undescended), haipo, au imeondolewa. Hali hii inajulikana pia kama monorchism. Athari Za Kuzaliwa Na Korodani Moja: Athari...
  7. H

    JamiiForums Tanzania CCM kuichukia Yanga na kuifanya kuwa moja Ya miradi yake ya kuipatia mapato, wanachama na Wapenzi wameshirikishwa? Na Vipi Wafanyabiashara waovu?

    Heading Isomeke ..Kuichukua, na siyo kuichukia Vyanzo vikuu vya mapato vya CCM, kwa kiasi kikubwa, siku zote imekuwa ni uovu na ukosefu wa maadili. Kwa CCM, uovu huipatia mapato makubwa, ila hili la Yanga kuifanya chanzo kimojawapo cha mapato yake, linashamgaza sana. Siku za nyuma, CCM...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Wi-Fi za Umma Sio Hatari Moja kwa Moja akini Makosa Haya Huifanya Iwe Tishio Kubwa

    Wi-Fi za Umma Sio Hatari Moja kwa Moja—Lakini Makosa Haya Huifanya Iwe Tishio Kubwa Kwenye viwanja vya ndege, hoteli, au café—Wi-Fi ya bure imekuwa kama msaada wa haraka kwa wanaosafiri au wanaofanya kazi nje ya ofisi. Ni rahisi kujiunga, haraka, na hakuna malipo. Lakini uzembe mdogo unaweza...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Saudia Noura Salem Al- Shammari ametoa figo yake moja na kumchangia mke wa pili wa mumewe Taghreed Awadh Al-Saadi.

    Mwanamke wa Saudia Noura Salem Al- Shammari ametoa figo yake moja na kumchangia mke wa pili wa mumewe Taghreed Awadh Al-Saadi, ambaye alikuwa akiteseka kwa miaka mingi baada ya figo yake kufeli.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania kuna dili (zikiwemo nyeusi) za kupiga mshindo moja dola laki 1 (milioni 270) ?

    Nje ya kupata kwa kuua au kujeruhi mtu (mfano ujambazi wa silaha, kuvuna viungo, n.k,) Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ? Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi Gaza wizara iko moja Tu ya afya?

    Kila news nayopata kutoka Gaza lazima iwe imetolewa na wizara hiyo ya afya sijawahi kusikia wizara ya mambo ya ndani wala mambo ya nje ningependa kujua muundo wa serikali yao ukoje.kuna wizara nyingine kweli?
  12. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

    Hii siyo ya kusimuliwa na watu niliona kwa macho yangu. Katika mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'hwale kata ya kafita na kijiji cha Lushimba. Msanii wa nyimbo za Asili Bhudagala alikuwa akitoa show katika kijiji hicho. Basi wingu zito lilitanda likiashiria mvua kubwa sana itashuka muda sio...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hakuna dini inayofundisha ukweli hata moja duniani

    Nini maana dini - Dini ni utamaduni wa eneo fulani. Je dini zinafundisha ukweli , ? Hakuna dini yoyote yenye mafundisho ya kweli. Ila ni hadithi , na kawaida ya hadithi waweza pata kitu cha kujifunza chanya au hasi. Bibilia na Quruan - hivi vitabu vimeandikwa na watu havina uhusiano na Mungu...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kwa usajili wa timu yako ya Bongo na Ulaya taja Top 3 yako na timu moja unayodhani itashuka daraja

    Kuelekea Msimu wa 2025/26 utabiri wangu unaweza kuwa hivi List yangu… 1. Man U 2. Liverpool 3. Man City Itakayoshuka daraja Arsenal Listi yangu ya Bongo 1. Simba 2. Yanga 3. Azam FC Itakayoshuka daraja Singida
  15. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania “Anzia Ulipo” inaweza kuwa ni moja ya ngoma kali ya Chino Kid

    https://youtu.be/Zy-ulZ9MyuU?si=Tz-O32qrJWjNpy_N
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atumia dakika moja kwaajili ya kumwombea aliyewahi kuwa Spika wa bunge Job Ndugai

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa daikika moja yakumwombea aliyewahi kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyefariki dunia Agosti 6, 2025, Rais Samia maefanya hivyo leo Agosti 8, 2025 katika maadhimisho siku ya Wakulima dunia (NaneNane) ynayofanyika...
  17. Business Hc

    JamiiForums Tanzania Nina laki moja nawezaje kuizalisha?

    Nina laki moja mkononi, itaki kuitumia ikapotea nawezaje kuizalisha ndugu zangu najikuta tu sina idea ya fasta kwa sasa?
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru, usomapo andiko hili mara moja hapo Msibani kwa Ndugai, chukua hatua mara moja za kulinda uhai wako

    Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo. Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako. Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama...
  19. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Karma ni moja ya njia ya masikini kujifariji

    Karma ni stori tunayojiambia ili kuyapunguza maumivu ya maisha, lakini kweli kabisa, maisha ni kama roulette—sometimes unashinda, sometimes unapoteza, na mara nyingi inategemea tu uko kwenye angle gani. Anayewaonea atakufa, ataacha mali aliowachukulia kwa utapeli na itakayorithiwa na watoto...
  20. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Tanzania haikustahili kuwa moja ya wenyeji wa CHAN 2024

    Yaani nchi mwenyeji watu wachache kama wako ugenini? This is not a good move. Watanzania wanawaza Simba na Yanga zao tu badala ya utaifa🇹🇿 CAF waipe hata Rwanda badala ya Tanzania, hovyo kabisa. Nb: Mimi ni Mtanzania kabisa.
Back
Top Bottom