Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.
Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye. Mwacheka usoni wageuka watupa mikuki. Polo polo polo magonda anza kutroti hewala. Kama waweza jipange...
Hili jambo lilikuwa ni ugaidi wa hali ya juu na halitaiacha nchi Salama, mpaka viongozi wa CCM walipiziwe mbele ya watu.
Mtanzania anayetaka kununua/kumiliki bunduki....
Tumefiwa wapendwa wetu kwa risasi Hadi tumepanick juu ya kuenenda kwenye taifa hili. Huruma ya Mungu iwe juu yetu, kama taifa tuwe na namna Bora ya kusuluhisha jambo hili. Ili wasio na hatia wasifikwe na madhara kama hayo yanayoweza kutekelezwa na wananchi wenye hasira Kali. Mungu tuhurumie...
Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau...
Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...?
Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa
1.Mauaji ya polisi kushika kasi
2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe
3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali
Kwenye Scenerio ya 1&2, kawaida human nature ya binadamu, akishindwa ku-attack wale wanaoonekana ni...
Habari wakuu
Binafsi mimi huwa na mikausho mikali sana ili kutojipa stress maana wengi kwenye dala dala wanakuwa kama wamevurugwa hivi, unaweza kusalimia mtu halafu akakunyamzia.
Vipi Wewe unatabia gani kwenye daladala ?
#Oktoba_tunatoka
Kama mwanachama anguli wa Yanga, nawaasa acha mara Moja hata kufikiria kumleta Coach Rakotondrabe wa Madagascar kwenye timu yetu maana atafeli hata zaidi ya Folz
Mimi ni foundation ya coaching, sisi makocha tunajua ugumu wa coach wa national team kufanya kazi katika vilabu
Pili, Ogopa sana...
Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
Mara tu ya Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 2025, Mawaziri wote pamoja na Spika walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge. Hii ya watu kukiita Spika, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu mpaka Oktoba 2025 imekaaje.
Serikali mpya itaundwa baada ya uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025. Ambapo Rais...
I salute you kinsmen.
Hatimaye sasa tumejua Romain Folz ametimuliwa na muda wowote kwanzia sasa tangazo litatolewa..
Ila kwa hapa viongozi wamecheza kama Pele Romuard Rakontondrabe ni kocha mwenye tactics kali sana
Kizuri zaidi soka lake ni kama la yanga, ana identity kama ya yanga...
Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake.
Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia mifukoni mwa wachache litaisha.
Mda utafika maana tumeshawajua wanamtandao vizuri na propaganda zao...
Pumzika kwa amani mwanangu, Kapteeeeeeeeeeeni G Habash
https://www.jamiiforums.com/threads/gardner-g-habash-mtangazaji-wa-clouds-media-afariki-dunia.2205794/
Napenda kutoa Rai kwa heshima na Taadhima kwa Watanzania. Tumuunge mkono Kapten Tesha. Natamani haraka sana nije Tanzania. Natamani sana. Nimemsikiliza machozi yamenitoka.
Huyu Kapten anajua vizuri hatari ambayo inamkabili baada ya hili. Anajua vizuri changamoto ambazo atakumbana nazo. Ameamua...
Africa ni bara lisiloishiwa na maajabu nchi kama Angola ni ya tatu kwa kuzalisha lakini cha ajabu wana-cude oil refinery moja na nyingine ndogo sana kwa maana hiyo crude oil inayochimbwa Angola kwa asilimia kubwa haishafishwi au kuongezewa thaman ndani ya nchi
Angola wakihitaji diesel, petrol...
Waokota taka jijini Dar es Salaam wamehimizwa kujiunga na matawi ya Mtandao wa Waokota Taka Dar es Salaam Rejeshi (MTAWADA) yaliyopo katika mitaa yao, ili kuwezesha kupaza sauti zao dhidi ya changamoto zinazowakabili.
Baadhi ya changamoto zilizotajwa ni pamoja na kutokueleweka kwa utaratibu wa...
Kwanza naheshimu serikali na natambua juhudi yake katika kuhudumia wananchi, kulinda na kudhibiti taarifa zao.
Zamani sehemu ya huduma kwa jamii ambayo ilikuwa na usumbufu namba moja ilikuwa ni RITA (cheti cha kuzaliwa) lakini siku hizi namba moja kwa usumbufu ni NIDA.
Niliwahi kuandika humu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.