MOHAMED HUSSEIN TRANSFER UPDATE🔴
- Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Simba, MO Hussein anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo klabu kadhaa zimeanza kutuma ofa.
- Klabu za Afrika Kusini, Kaizer Chiefs, Royal AM na Orlando...