mnyika

John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Ubungo constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. John Mnyika: Sikuunga mkono Lowassa kuwa Mgombea wa Urais 2015 kupitia CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema hakuunga mkono Hayati Edward Lowassa kuwa mgombea wa urais kwenye chama hicho, bali alitaka akijiunga CHADEMA awe mwanachama wa kawaida.
  2. PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

    Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam. Nakala za barua za taarifa ya Maandamano haya zimepelekwa kwa makamanda wote wa Polisi Wilaya...
  3. PreGE2025 Pendekezo la CHADEMA No.5 Lililowasilishwa na Mnyika kuhusu Wabunge Liko Sahihi kwa Vigezo hivi

    Ndugu wanajamvi Mwanzoni Nilipopitia mapendekezo hayo akili yangu iliwaza kuwa Mnyika pamoja na Chadema yake wanataka Kutuongezea Wabunge ili Kuongeza Gharama ya Nchi hii na nikawaza kwa Sasa Wabunge wa Majimbo wako 264 na vipi tukisema waongezeke hiyo si itakuwa 528 kabisa haoni kwamba tutakuwa...
  4. PreGE2025 Hofu: Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria aliwazuia Wajumbe kumpigia Makofi Mnyika

    Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo . Yaani Mhagama roho...
  5. R

    John Mnyika anaongea kuhusu mapendekezo ya CHADEMA kuhusu miswada iliyopelekwa bungeni

    Salaam, Shalom!!! Hii ni dira muhimu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Katibu MKUU wa Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo CHADEMA, ndugu John Mnyika amefanya Press Conference na vyombo mbalimbali vya habari nchini Kutoa ufafanuzi juu ya HOJA mbalimbali kujibu HOJA ikiwamo Ile iliyoibuliwa na...
  6. R

    John Mnyika ana elimu gani? Uwezo wake wakujibu hoja unatokana na mafunzo ya maprofesa wa bongo au akili za kuzaliwa?

    Katika interview ambazo zilikuwa na maswali marahisi kwa mtu neutral lakini maswali magumu kwa mwanasiasa ni interview ya juzi Clouds kati ya Mnyika na wanahabari wa chombo hiki. Lakini kati ya story zote zilizojitokeza unamwona Mnyika akichambua na kujibu maswali na hoja zote kiuhalisia bila...
  7. Mnyika kutoa somo la Katiba Mpya kupitia clouds Media

    Taarifa yake hii hapa . Ikumbukwe kwamba Clouds media ndio kile chombo cha habari kilichovamiwa kwa silaha za kivita na yule jamaa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM , jina lake limenitoka kidogo , mnaweza kunikumbusha .
  8. Washington: John Mnyika aanza ziara kwa kishindo, atembelea VOICE OF WASHINGTON DC. Ailipua sheria ya Uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Chadema , John Mnyika , aliye kwenye ziara ya kikazi Nchini Marekani, ameanza kutembelea vyombo vya habari vya Nchi hiyo na kuanika uozo unaoendelea nchini Tanzania. Akihojiwa na Kituo cha TV cha Washington DC, amefichua kwamba Mchakato wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi...
  9. Mnyika anaacha bapa mezani anaenda msalani, anamuachia Mwigulu na anarudi anakunywa kwa amani

    Aisee nimetoka kusikiliza wimbo wa ROMA wa Nipeni Maua yangu ambao umetoka leo. Mashairi yake yana maneno mengi mazuri kama mnavyojua ROMA Kwenye suala la amani, amesema anatamani kuona viongozi wanaacha pombe mezani na wakirudi wanakunywa kwa amani. Japo hili limeniwazisha, kwamba mkiachaga...
  10. Q

    Halima Mdee badala ya kujibu hoja ya Mnyika kuhusu Wenyeviti wa PAC na LAAC, yeye amtusi Mnyika na CHADEMA

    “Ni MUHIMU sana KUJIANDAAA kabla ya kufanya CHAMBUZI za CAG. Ukiwa haujajipanga vyema, unaweza jikuta unaongea UPUUZI. Na Mwenye DHAMANA akiongea UJINGA , anaidhalilisha TAASISI aliyopewa DHAMANA kuiongoza. Ushauri wa BURE,CAG ameongea mambo makubwa na mazito. Do your HOMEWORK”. Halima Mdee.
  11. M

    Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  12. John Mnyika na John Heche turufu ya CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM. Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana, Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa...
  13. John Heche ashangaa wajumbe wachache kuhudhuria mkutano alioalikwa akiwa na John Mnyika

    John Heche na John Mnyika walikuwa na kikao katika Jiji la Mwanza kilichohusisha wilaya ya Nyamagana na Ilemela, John Heche alishangazwa na uchache wa watu katika ukumbi, na akasema angalau Iringa walikuwa na watu 2000. Hiki chama kikiwa mitandaoni kinajifananisha na jini kubwa sana. Lakini...
  14. Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

    Nini kinaendelea? Hili ni swali linalogonga vichwa vya Watanzania wengi wenye shauku ya kujua majadiliano baina ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yatahitimishwa lini. Jana vigogo wa vyama hivyo wasiozidi 15 walijifungia kwa saa nne katika...
  15. John Mnyika ndo mwanasiasa mwenye mvuto kwa sasa

    Great thinkers. Correct me if I'm wrong. Kiufupi John Mnyika ndo mtu pekee anaweza kusimama na kushawishi jambo Kwa Sasa. Zitto Kabwe pumzi imeisha mapame baada ya kulamba asali. Ila sitashangaa kutokea kwa usaliti wowote ule maana wanasiasa wetu wanajulikana. Ukiwa famous unarudi CCM...
  16. John Mnyika is our next Man 2025

    Habari Wakuu! Ijapokuwa 2020 nilimpigia kura Tundu Lissu ila moyoni sikuwahi kuamini watu wa misimamo mikali like him wanaweza kumake as good President. Tundu Lissu mbali na CV ya uadilifu iliyotukuka, misimamo yake juu ya demokrasia pamoja na uzalendo wake usioweza kutiliwa shaka; ila bado...
  17. T

    Hata kama Mbowe akiwa Mwenyekiti na Lissu Mkurugenzi wa NEC Mnyika awe IGP bado CHADEMA ya sasa haishindi uchaguzi

    Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana. Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi. Ukiwa kama mpinzani unalazimika...
  18. Nimemwandikia Rais barua kuomba stendi ya Nyamongolo Mwanza ipewe jina la John Mnyika

    Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika. Nimependekeza jina la Mnyika sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiongozi hapa makao makuu, busara, elimu, ushawishi...
  19. J

    Tujikumbushe JJ Mnyika alivyomkabili Rais Magufuli kuhusu Demokrasia, Maendeleo ya Watu, na vyuma kukaza

    Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi. Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa. Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza. Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
  20. N

    Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

    Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…