mnyika

John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Ubungo constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Maridhiano ACT na CCM Zanzibar ni unafki na danganya toto Watanzania kuona nchi ina maridhiano

    "Kuna, kuna, kuna, kuna unafiki ule unaofanyika Zanzibar wa kusema kitu tofauti na kufanya tofauti. Na mimi nasema mzungumzo ni moja ya nyenzo ambayo sisi kama Chadema tunaamini katika kushughulikia matatizo. Tunaamini kwenye mapambano tunaamini kwenye mazungumzo lakini sisi tumesema tunaamini...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Tayari tulikuwa na taarifa mpango wa viongozi kulipwa kuzungumza na waandishi wa habari kuichafua chama

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 10, 2026 wakati akiwasilisha maadhimio ya Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Katibu Mkuu wa Chama, John Mnyika, ametoa ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho ikiwemo katibu wa CHADEMA Mkoa Morogoro kusimamishwa kazi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Kamati kuu imerejea Serikali ishushe bei za mafuta, wangedhibiti ufisadi ongezeko lisingekuepo

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, akizungumza na Waandishi wa habari leo Julai 10, 2026, amesema Kamati kuu ya Chama hicho imerejea uamuzi wake wa awali kuitaka Serikali kushusha bei za mafuta, kwani ongezeko hilo ni kutokana na Serikali yenyewe kushindwa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Msajili wa Vyama vya Siasa anatakiwa kuipatia CHADEMA malimbikizo ya ruzuku yake yote kuanzia Juni hadi Oktoba 2025

  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Hapi analeta propaganda, milioni 900 zilikuwa za mafunzo

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amekanusha vikali madai kuwa Shilingi Milioni 900 zilizotolewa na wafadhili zitatumika kufadhili maandamano ya mwezi ujao, akisisitiza kuwa kauli hizo ni propaganda za uongo zinazosambazwa na kada wa CCM, Ally Hapi. Mnyika ametoa ufafanuzi huo leo Jumatano...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanaoihujumu CHADEMA ni wale wa upande wa Lema, Sugu na Heche au ni wale wa upande wa Mnyika, Amani na Boniyai?

    Kwasababu lazima tueleze ukweli kwamba ni wazi kuna vita vya chini kwa chini ndani ya chadema na kumeibuka makundi kinzani ambayo yana mitazamo tofauti hususani dhidi ya maridhiano na mchakato wa kuelekea katiba mpya. Je, wewe mwanachadema, upo kwenye kundi la wale wanaopendelea pawepo na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Bado Ofisi ya Msajili inatafuta njia Shughuli za CHADEMA zisimamishwe, tumeandikiwa barua tujieleze

    Kutoka mahaka kuu kanda ya Dar esSalaam kesi ya maombi madogo namba 8960 ya Said Issa Mohammed dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Chadema imepelekwa mbele mpaka Mei 20, mwaka huu. Kesi hiyo iliitwa tena leo Mei 13, 2026 ambapo pande zote mbili kupitia mawakili wao zilitoa hoja zao ambazo...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mnyika: Wanaharakati waanzishe chama chao wasitutegemee CHADEMA

  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania MPYA Je, ni kweli Mnyika amesema CHADEMA wasipomuangukia Mbowe hawatoboi?

  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka mkoani Tanga, Kazungu Bakari Kazungu, amewatolea uvivu vijana wanaojiita wanaharakati, Joseph Yona na Ahmed Kombo, kufuatia tuhuma zao nzito dhidi ya viongozi wa CHADEMA, akisema kuwa kauli zao hazikidhalilishi tu chama tawala bali pia zinaumiza familia...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika: Vijana wa sasa wananguvu kubwa katika nchi na wataleta mabadiliko

    Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika akiongea katika mdahalo uliofanyika kidigital kupitia mtandao wa Zoom mapema leo.
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Makinda alimkatalia Mnyika, Leo hii Jaji Mkuu analalamika

    John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi. Mjadala ule ulioendeshwa mpaka zaidi ya saa nne usiku Mnyika alipinga kabisa wakuu wa mikoa na wilaya kuwa mamlaka ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nashauri list ya polisi ya Mnyika et al wakimbie nchi and fight from abroad

    Should not accept to dead heros. Kimbia nenda nchi yoyote ambayo ni demokratic mengine yatafuatia. Definitely mapambano yanaendelea
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

    Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, ila sio wakili wa...
  15. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Said anataka Heche na Mnyika wapelekwe gerezani

    Mawakili Gido Semfukwe na Shaban Marijani wanaowawakilisha aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili, kwenye kesi ya jinai namba 48250 ya mwaka 2025 walioifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar dhidi ya vigogo wa CHADEMA wakiongozwa...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mnyika Kwa nini utoe taarifa za wapi alipo Heche, kwani wewe ndo ulimkamata?

    Katibu wetu wa Chama umenikera mno leo Kwa mara ya kwanza Kwanini utoe taarifa za wali alipo makamu Mwenyekiti wetu? Kwani wewe ndo ulimkamata? Police wamekaidi kutoa taarifa za wapi alipo, wewe Kwa kiherehere chako umeharibu kila kitu Ona tumekosa pa kuanzia Wakurya huko Tarime...
  17. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Mpinzani Aliyebakia: John J. Mnyika… Wengine Watabakia?

    Hakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu. Ati leo Joshua Nassari yuko CCM.. Ati leo Wenje yuko CCM Ati leo Peter Msigwa yuko...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Heche, Lema ,Golugwa, Mnyika na Top Officias, Watakamatwa muda wowote Kwa lengo la kuwaachia Kuanzia November !!

    Hawa wahuni na Genge lao , Suala la Maandamano limewatikisa sana . Wamekaa kikao na kukubaliana kua, Wawakamate Top Officials wote wa CHADEMA wawekwe Ndani ,wake nao mpaka Huu Uchaguzi wao waloupanga Oktoba 29 upite, Kisha wawaachie . Hofu ya Wapuuzi Hawa ni kudhani kwamba Viongozi Hawa wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Said Mohamed ametoa madai ya Uongo, Tunasubiri uamuzi ya Jaji Septemba 29, 2025

    Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena...
Back
Top Bottom