mnyika

John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Ubungo constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. upupu255

    MPYA Je, ni kweli Mnyika amesema CHADEMA wasipomuangukia Mbowe hawatoboi?

  2. DuaZaMama

    Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche na Mnyika kuhusu mauaji ya Ali Kibao

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka mkoani Tanga, Kazungu Bakari Kazungu, amewatolea uvivu vijana wanaojiita wanaharakati, Joseph Yona na Ahmed Kombo, kufuatia tuhuma zao nzito dhidi ya viongozi wa CHADEMA, akisema kuwa kauli zao hazikidhalilishi tu chama tawala bali pia zinaumiza familia...
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Mnyika: Vijana wa sasa wananguvu kubwa katika nchi na wataleta mabadiliko

    Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika akiongea katika mdahalo uliofanyika kidigital kupitia mtandao wa Zoom mapema leo.
  4. Allen Kilewella

    Makinda alimkatalia Mnyika, Leo hii Jaji Mkuu analalamika

    John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi. Mjadala ule ulioendeshwa mpaka zaidi ya saa nne usiku Mnyika alipinga kabisa wakuu wa mikoa na wilaya kuwa mamlaka ya...
  5. R

    Nashauri list ya polisi ya Mnyika et al wakimbie nchi and fight from abroad

    Should not accept to dead heros. Kimbia nenda nchi yoyote ambayo ni demokratic mengine yatafuatia. Definitely mapambano yanaendelea
  6. Pascal Mayalla

    PostGE2025 Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

    Wanabodi, Tanzania tuna changamoto kubwa sana ya kutafsiri sheria, kuna tofauti kubwa kati ya uhalali wa kisheria na haki ni vitu viwili tofauti. Mimi japo ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, ila sio wakili wa...
  7. Mafyangula

    Said anataka Heche na Mnyika wapelekwe gerezani

    Mawakili Gido Semfukwe na Shaban Marijani wanaowawakilisha aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili, kwenye kesi ya jinai namba 48250 ya mwaka 2025 walioifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar dhidi ya vigogo wa CHADEMA wakiongozwa...
  8. ngara23

    Mnyika Kwa nini utoe taarifa za wapi alipo Heche, kwani wewe ndo ulimkamata?

    Katibu wetu wa Chama umenikera mno leo Kwa mara ya kwanza Kwanini utoe taarifa za wali alipo makamu Mwenyekiti wetu? Kwani wewe ndo ulimkamata? Police wamekaidi kutoa taarifa za wapi alipo, wewe Kwa kiherehere chako umeharibu kila kitu Ona tumekosa pa kuanzia Wakurya huko Tarime...
  9. Mzee Mwanakijiji

    Mpinzani Aliyebakia: John J. Mnyika… Wengine Watabakia?

    Hakuna namna tumpe maua yake. Unapokuta watu uliowadhania ni wapinzani wanageuka na kujiunga na CCM wakati wa uchaguzi ni lazima ujiulize kama walikuwa wapinzani kweli au walikuwa wanatafuta pa kuhemea tu. Ati leo Joshua Nassari yuko CCM.. Ati leo Wenje yuko CCM Ati leo Peter Msigwa yuko...
  10. mwanamwana

    GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  11. Carlos The Jackal

    Mwambieni Heche, Lema ,Golugwa, Mnyika na Top Officias, Watakamatwa muda wowote Kwa lengo la kuwaachia Kuanzia November !!

    Hawa wahuni na Genge lao , Suala la Maandamano limewatikisa sana . Wamekaa kikao na kukubaliana kua, Wawakamate Top Officials wote wa CHADEMA wawekwe Ndani ,wake nao mpaka Huu Uchaguzi wao waloupanga Oktoba 29 upite, Kisha wawaachie . Hofu ya Wapuuzi Hawa ni kudhani kwamba Viongozi Hawa wa...
  12. R

    GE2025 John Mnyika: Said Mohamed ametoa madai ya Uongo, Tunasubiri uamuzi ya Jaji Septemba 29, 2025

    Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena...
  13. chiembe

    Kwanini Mnyika huwa anamshambulia Jaji Mwanga na Mahakama kila shauri linapoahirishwa?

    Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu. Kwa nini wasifanyie makusanyiko maofisini kwao? Mahakama inahitaji utulivu, lakini mayowe ya pipoz, sijui no reform Hapo kuna wateja...
  14. E

    Mnyika: Nyimbo za MC Mwingira zitakuwa hazina ya CHADEMA

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho kitamuenzi marehemu George Mwingira, maarufu kama MC Mwingira kwa kuzifanya nyimbo zake kuwa hazina ya chama hicho. MC Mwingira alifariki dunia katika ajali ya basi la SAMA Luxury lililokuwa likisafiri kutoka Songea kuelekea Dar es...
  15. kavulata

    Heche na Mnyika wasaidiwe, wanacheza ngoma wasiyoijua

    Mke wa Lissu amepewa kazi ubelgiji, watoto wake wanasomeshwa Marekani. Mke wa Lema amepewa kazi Canada na watoto wake wanasoma Canada. Haya ni mafao ya ukimbizi kwamba nchini kwao sio salama. Ili mafao haya "manono" yaendelee kuwepo angalau watoto wamalize masomo, Tanzania lazima kusiwe shwari...
  16. W

    Mnyika: Kesi ya ya Msingi ya CHADEMA ni ya kisiasa na kimkakati kwa lengo la kukwamisha "No Reforms, No elections"

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, leo amezungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya mgawanyo wa rasilimali za chama hicho hadi tarehe 14 Julai, 2025.
  17. JanguKamaJangu

    John Mnyika: Tumetaka Jaji ajitoe kwenye kesi yetu kutokana na Historia yake katika Utumishi

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akiizungumzia kesi Namba 8323/2025 ambayo inahusisha zuio la muda kwa Chama chake kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu-Dar es Salaam. Kesi hiyo...
  18. Ojuolegbha

    PreGE2025 Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki kwenye Mkutano wa Mnyika

    Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.
  19. chiembe

    ACT Wazalendo wanajiandaa kumpokea Mnyika muda wowote kuanzia sasa? Wenye za ndani watufahamishe

    Kuna tetesi za Mnyika kujiunga na ACT wazalendo, wenye za ndani watufahamishe!
  20. chiembe

    Unajua kwamba Mnyika kwa sasa sio Katibu Mkuu Chadema? anakaimu tu, pia Amani Golugwa na yule wa Zanzibar. Ni uamuzi wa Heche alioutoa leo

    Heche leo ametoa uamuzi wa kuwafuta kazi Mnyika na wenzake. Mnyika alikuwa katibu mkuu, ila sasa anakaimu tu, vivyo hivyo kwa Amani Golugwa na yule wa zanzibar. Watu hawa walikuwa wanatuna wakitamba kwamba Msajili wa Vyama akipenda akifute chama chao. Naona wameufyata
Back
Top Bottom