mnyama

Asperoris is an extinct genus of archosauriform reptile known from the Middle Triassic Manda Beds of southwestern Tanzania. It is the first archosauriform known from the Manda Beds that is not an archosaur. However, its relationships with other non-archosaurian archosauriforms are uncertain. It was first named by Sterling J. Nesbitt, Richard J. Butler and David J. Gower in 2013 and the type species is Asperoris mnyama. Asperoris means "rough face" in Latin, referring to the distinctive rough texture of its skull bones.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais awapongeza Simba SC kwa ushindi dhidi ya Yanga SC April 16/2023

    Nguvu Moja
  2. Simchezo

    JamiiForums Tanzania Tubadilishe mnyama wa Taifa asiwe Twiga

    Taifa kuchagua mnyama fulani kama Nembo ya Taifa kuna madhara yake! Taifa hilo litabeba kwa kiasi fulani tabia za huyo mnyama/ndege. Tanzania mnyama wetu ni Twiga, nimefuatilia baadhi ya tabia zake, nikaogopa! Hizi ni baadhi ya sifa/tabia zake; 1. Ni mpole kupita kiasi. 2. Atoi sauti...
  3. Scars

    JamiiForums Tanzania Wale ambao wanapima thamani ya mnyama wa kufugwa katika jicho la kitoweo tu, mnalakujifunza hapa

    Helpful and caring Na hapo mbwa anafanya hayo yote bila expectations ya award huko peponi. Wanyama wakifundishwa na kuwa treated vizuri, wanakuwa na umuhimu na wenye msaada zaidi kuliko hata watu. Love is a universal language
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri Mnyama Simba SC

    Me ni Yanga lialia ila kesho nataka mnyama apate matokeo mazuri dhidi ya Raja Casablanca! Timu zetu zimefika hatua nzuri sana kimataifa na ningependa kuona zinasonga mbele zaidi ili tuweke historia! 😂 Kuonesha nipo serious naweka mkeka Sokabet, asa ole wenu mnichanie mkeka wangu! Tarehe 14...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wazee wa zamani walivyotumia viungo vya mnyama kutabiri yajayo

    Sijui kama umewahi kuexperience jambo kama hili, Wazee wa zamani waliweza kutumia viungo vya ndani vya mnyama kupredict yajayo ama jambo lolote BAYA lijalo. Mnyama kama mbuzi angechinjwa na wajuzi wangetumia viungo vyake vya ndani kufanya utabiri wa mambo yajayo, sijui kama wewe umewahi...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba ni Mnyama, mwarabu atapigwa Sambaroketo

  7. Mokaze

    JamiiForums Tanzania Pale kinyesi cha mnyama kinapotengenezwa kupata kinywaji ghali Duniani

    Habari zenu wakuuu. Huko Indonesia kwa muda sasa wamegundua njia bora ya kuzalisha kahawa bora inayoitwa "Luwak coffee" kupitia kinyesi cha mnyama wanayemuita Luwak au "Civet cat". Mnyama huyo pamoja na vyakula vingine anapenda kula mbegu mbivu za kahawa (buni), kwakuwa tumbo lake haliwezi...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tuliamua kumtumia twiga mnyama legelege kwenye nembo ya taifa?

    Twiga ni mnyama legelege, mzuri anayevutia lakini hafaidiki na uzuri wake. Mrefu, anaona mbali na anaishia kuona tu. Kwa kweli utambulisho wowote unaoamua ukutambulishe utabeba taswira na tabia yako. Tanzania ni taifa ambalo ni legelege, haliko aggressive kwa lolote. Watu wake ni masikini...
  9. Shark

    JamiiForums Tanzania Ismael Sawadogo ni mnyama!

    timu atokayo ni Difaâ El Jadida Morocco. Umri: Feb 28, 1996 (26) Uraia: Burkina Faso Nafasi: kiungo mkabaji
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

    Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama. Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya sana. Ni...
  11. Muota Ndoto

    JamiiForums Tanzania Kama nyumbani kuna panya na huna paka fanya hili utakuja nishukuru

    Wadau, moja kwa moja kwenye mada: 1. Utangulizi. Maendeleo ya teknolojia huenda yamewafikia panya wasumbufu na waharibifu majumbani mwetu. Siku hizi wanakwepa mitego, wanatambua na kukwepa sumu na huku wamezidisha chokochoko na kujengeana hasira. Mtu ukiwa na bunduki waweza jikuta unamfyatulia...
  12. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Mnyama huyu ana sifa zipi anuwai?

  13. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Timu ya As Vital club huko iliko inaomba isipangwe kundi Moja na mnyama mkali Simba

    Kuna jamaa yangu yupo Congo DRC amenidokeza kuwa, mpaka Sasa maombi ya wakongoman wengi ni kuomba kutopangwa kundi Moja la klabu bingwa na Simba timu Yao ya As Vital. Hii imetokana rekodi mbaya waliyonayo clabu hiyo dhidi ya Simba Sports club. Jamaa aliendelea kudokeza kuwa ingekuwa mserereko...
  14. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mnaomuonea wivu Majaliwa ( maja mnyama ) ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana

    Nimekuwa nikifuatiria toka kijana mdogo alivyopewa ajira kwenye kikosi cha zimamoto kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiongea saana, na wengine wamefikia kusema kijana wamempoteza tu ilitakiwa aulizwe anataka nini apewe na asepe. Jamaani ukweli ni kuwa ajira ya zimamoto ni ya kawaida sana acheni...
  15. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Maana ya maneno niliyoambiwa Mzee Afande

    Kuna kipindi wakati niko Rombo nakumbuka nilienda kumuoji mzee mmoja anaitwa mzee Afande kuhusu maswala ya zamani. Yule mzee alinambia kuwa kat ka maisha yake amemwona babu yangu (nami namfahamu), baba yake babu yangu (alifariki 1983 simfahamu) na babu yake baba yake babu yangu (simfahamu). Na...
  16. CPA

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi Outlander 2022, mnyama Mpya Sokoni

    Kati ya SUV kali aliyotoa Mitsubish hi hii mitsubishi outlander 2022 Mwaka 2016, Nissan-Renault Alliance walinunua share ya Mitsubishi kwa 34% wakiwa wamiliki wenye hisa kubwa kwenye Kampuni ya Mitsubishi. Nissan walinunua baada ya ile skendo kubwa ya fuel economy scandal, ambayo Kampuni ya...
  17. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon. Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile 1) Tiger 2) Simba 3) Leopard, Cheetah (chui) 4) Mamba 5) King cobra, Black mamba nk. 6) Honey badger...
  18. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Nakupa siri ila usimwambie mtu, Warabu kutua Dar kucheza na Mnyama

    Simba day is Loading, wanasimba mujiandae kwani chini ya kapet kuna shoo shoo! lakufa mtu.... Kwan Esperance... Mwaisa Watunisia wanatua kukipiga kwa mkapa! Halafu! Hawa Uto mbona hawana furaha....? 🤗🤗🤗🤗🤗🤗
  19. Shark

    JamiiForums Tanzania Mohammed Ouattara ni "Mnyama"

    Chukua hiyo kwanza
  20. idoyo

    JamiiForums Tanzania Hapa Zanzibar tunapiga "mnyama" kama kawa japokuwa adimu

    Chanzo: NBS
Back
Top Bottom