Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania?
Wadau wanalalamika kuwa bidhaa bora na...
Umofia kwenu wakuu. Kuna taarifa za kutoka Chanzo cha kuamimika kwamba Halimashauri ya wilaya ya Karatu imempatia mtoto wa Samia, Abdulu eneo la mnada wa Karatu ili ajenge Hoteli.
Kwa mlio wahi fika karatu mtakuwa mnajua lile eneo la mnada ni maarufu sana, sasa ni kwamba mtoto pendwa kapewa na...
Akiwa safarini kuelekea mkoani Singida, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bashiru Ally amefanya ziara ya kushtukiza kwenye mnada wa mifugo wa Igunga mkoani Tabora ambapo amebaini changamoto ya aliyekuwa mzabuni wa mnada huo kwa upande wa ulinzi kampuni ya Emma Security kutowalipa wafanyakazi wake.
Mimi ni Mkulima wa Tumbaku katika Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma tangu tumemaliza mnada ni miezi miwili sasa imepita tunaelekea wa tatu lakini hadi leo wamekuwa wakisogeza mbele tarehe za malipo.
Mkataba unasema malipo yafanyike ndani ya wiki mbili baada ya mnada, naomba ufikishe ujumbe huu...
Anonymous
Thread
kigoma
kilimo
malipo ya wakulima
mnada
tumbaku
wakulima
wakulima wa tumbaku
𝗪𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝗞𝗼𝗺𝗯𝗼 𝗮𝗽𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗺𝗮𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗺𝗮𝘄𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗤𝗮𝘁𝗮𝗿
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea magari mawili aina ya Land Cruiser Prado kutoka Taifa la Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja kwa ziara za kitaifa na kikazi nchini.
Qatar kama mshirika wa maendeleo ya...
Hamjambo!
Leo sifa Kemkem zimemiminika kwa Hayati Jon Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge letu. Moja ya sifa alizopewa ni uzalendo uliotukuka. Nakumbuka kauli yake ya Taifa kupigwa mnada kutokana na kile alichokiita mikopo Holela inayokopwa na serikali ya Mama. kauli ambayo ilibadilisha kila kitu...
ikumbukwe mnamo tarehe 10 julai 2025 ilifanya mnada wa kugawa masafa ya 5G( 3600- 3800 mhz ) kwa watoa huduma za mawasiliano ya simu, na watoa huduma wote watatu walifanikiwa kushinda kupata masafa hayo ya 3600- 3800 mhz ambayo yanawezesha mawasiliano ya kasi ukilinganisha na vizazi vya...
Mnada wa kampuni inayoitwa KC GLOBAL unaoendelea pale Bunju mianzini jamaa anajinadi anauza tv 43 inch smart laki tatu na 55 inch laki tano laptop laki moja monitor 24 inch elfu 50 nimefika pale kwa lengo la kununua monitor 24 inch lakini zilikua zimeisha zimabaki za inch 17 bei yake ni elfu 30...
Mpango wa serikali ya Trump kuuza zaidi ya ekari milioni 250 za ardhi ya umma iliyopo chini ya uangalizi wa serikali kuu kwa watu binafsi umepingwa vikali na kulaaniwa kila kona na raia wengi wa Marekani wa pande zote za kisiasa. Miongoni mwa ardhi zitakazouzwa zinajumuisha milima, nyika, misitu...
Mali zenye thamani ya zaidi ya Tsh.8.5 bilioni (sawa na Ksh.428 milioni) zinazohusishwa na aliyekuwa Gavana wa Migori, Okoth Obado, na washirika wake zinatarajiwa kuuzwa kwa mnada tarehe 23 mwezi huu. Shirika la Urejeshaji Mali (Assets Recovery Agency) na Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi...
Je Wewe ni miliki wa biashara
Wasiliana nasi ili ushiriki katika mnada wa tovuti za vikoa vifuatavyo:
mybusiness.africa
mybusiness.website
mybusiness.site
mybusiness .co.tz
Wasiliana nasi kupitia whatsapp 0715323060 Ufurahie Huduma Bora.
Mwisho wa Promotion hii ni Tarehe 10June 2025
Serikali kupitia Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni Saad Mtambule amefungua rasmi Mnada ambao ni jukwaa linalowapa nafasi Wajasiriamali kuweza kuwafikia Watanzania kwa urahisi.
Huna NIDA? Cheti cha Kuzaliwa? Una Shida na Tanesco? DAWASA? BRELA? Unataka kuonana na Mkuu wa Wilaya? Shida ya Ardhi au...
Hii kuwa mfano wa nchi itakayopigwa mnada? ZIDISHA MARA 20 ILI UPATE IN TSH
Serikali ya Kenya imetangaza kwamba deni la nchi hiyo limefikia shillingi trilioni 10, kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa katika historia ya nchi hiyo, huku waziri wa fedha John Mbadi akidai kwamba thuluthi mbili za...
Mamlaka ya Mapato ya Afrika Kusini (SARS) imechukua hatua za kisheria dhidi ya reality TV star na mfanyabiashara Zarinah Hassan, kwa kukwepa kulipa kodi takriban TSh. milioni 729.
Kutokana na deni hilo, mali zake zinadaiwa kuwa hatarini kupigwa mnada ili kufidia deni hilo.
Hata hivyo, Zari...
Nchi yenye vituko na maisha ambayo kila siku yakiwa vituko.Kipindi kile cha mnada wa kuuzwa nyumba ni kama huyu mzee kwa sasa ni marehemu alivyo kuja kuchekesha na story zikaishia hapo.
CCM itakupendeza zaidi
Leo nilikuwa nakimbizana na wapendwa kadhaa kuwasaidia baadhi ya vituon waliivyopelekwa
Ktkt pita pita Yangu nimeona vituon vimejaaza pikipik mpaka unashangaa
Na zingine zinaozea vituoniiii
TUNAOMBA tu kama USHAURI hixipikpik pale OFISIN hazileti picha nzuri
LA kufanya muwe na mda kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.