Jukwaa limelala natapatapa sioni raia humu! Najua shida internet lakini si Kuna VPN! Au mnatumia mi IOS..😂
Hii inanikwaza kuwakosa usingizi haupiti, sioni hata raha ya mtandao bila nyinyi! Kama ni kuniweza basi hapa wameniweza! Najua hamuwezi kuwa bize na upigaji kura..
Jitahidini mrudi hali...
Ndugu zangu wana MMU kwanza naomba nimshukuru mungu kwa kuniponya na lile gonjwa kwa kweli ni kwa neema zake tu mimi kuwa hai
Kuna ID humu imepotea kwenye macho yangu, Ile ID ambayo inaogopwa na wanawake kwa wanaume wote hapa jukwaani ambayo iki-comment sehemu ID za kike zote haziwezi kum-QUOTE...
Habari za sasa wana JF MMU.
Nikiri kuwa ukifatilia stori za hapa na pale zinazopostiwa humu JFs utagundua kuwa wanaume wa humu wengi wamejaaliwa, wananemeka, wanabahati, wana mazali ya kufa mtu. Kwanza wanaume wa humu wana sifa zifuatazo
1. Wote ni mahandsome
2. Wote wana pesa, magari, majumba...
Habarini wana MMU,
Za siku mbili tatu kwa wale wahenga wenzangu akina Mr Rocky,Tized ,Tamatheo na wengine wengi wa zileee Enzi zetu
Leo ninalo hili wakuu,
Katika mambo ambayo nimekuwa nikiamini sikuzote ni kuwa mtu mzima hawezi kubadilishwa mpaka awe ameamua mwenyewe eiza kwa kuona aina ya...
OMBI KWA SERIKALI YA MH. RAIS MAGUFULI:
Serikali kupitia Wizara husika, iunde Computer Lab, ambayo itakuwa na Specs zifuatazo:
Chumba kiwe kikubwa, chenye Computer za Mac "50", zenye specs kuanzia RAM 8 na 1 TB...hazitawekewa Software yoyote, ziwe empty. halafu vijana wanaoona wanaweza ku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.