mmu

  1. Loading failed

    Uzi wa kula tunda kimasihara uwekwe kwenye dashboard ya mmu watu tupone

    Ndugu zangu.. Jukwaa la MMU lilitukisika sana na kupamba moto kupitia uzi wa kula tunda kimasihara ulio letwa na akili kubwa rikiboy miaka kadhaa ilopita na kufanya jukwaa hili kupata muamsho mkubwa sana Cc Moderator na active, ni maombi yangu kwako huu uzi uwekwe kwenye dashboard pale tuu...
  2. kindikinyer leborosier

    Ni wapi nianzie? Naombeni mawazo yenu MMU

    Hili jambo linanitafakarisha sana wanajamii!! Habari!? Mimi ni kijana wa makamo, natoka familia ya kawaida, baba alikua mtumishi na mama ni mama wa nyumbani tu! Nina changamoto Moja hivi, naomba kushea mnipe mawazo walau nijue naanzia wapi. Nina miaka 34 Sasa naelekea 35, Sina familia swala...
  3. Nusratt

    Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri

    Leo Nusratt Mohammed nimepata nafasi kuliko siku zote tangu nimejiunga humu JF (Jamii Africa). Hivyo basi kutokana na jambo hili natoa nafasi kwa member yeyote aliyepo MMU:- Kuniuliza Swali, Kunikosoa kwa lolote, Kunishauri Chochote, Kunipongeza kwa lolote. ILA: Maswali yasiyo na tija na...
  4. Jidu La Mabambasi

    Wana MMU nisaidieni, nifanyeje?

    Mimi si mpenzi wa MMU na huwa naingia huku kwa nadra sana. Lakini kila jukwaa unapata yanayohusika nayo, na ni bora basi niwaeleze mkasa wangu ili wajuvi jukwaa hili mnisaidie. Iko hivi, mimi nina mchepuko, ni mtoto mzuri sana na ninaye siku nyingi. Nikimwomba aje niko safari Dodoma, Arusha...
  5. tang'ana

    Kuna mwana MMU wa kike yuko Iringa Mjini aje hapa Miami pub?

    Haka kamji ni kazuri sana for sure..hakana makelele kama ya Dar,Mwanza au ARUSHA. So like niko hapa since juzi but sina kampani ya kueleweka. Kama kuna mwana MMU wa kike yuko iringa na she needs to have drink jioni ya leo akuje hapa miami club tuhave funny. Asante
  6. Metronidazole 400mg

    Stori za mchongo/chai huku MMU za nini sasa?

    Wakuu, Mtu umechoka, unaingia jukwaa la MMU ili angalau upate auheni na kujifariji baada ya uchovu wa siku, lahaulaa!!! Unakuta story yenye tittle nzuri kabisa kumbe ni chaiii.....daah inakera big time yaani...achenii Wengi tuliopo kwenye jukwaa hili tuna malengo tofauti Kama; kujifunza...
  7. sinaham

    Tangu nijiunge JamiiForums sikuwahi kuingia MMU

    Sujui sababu ila naogopa kuingia mmu
  8. Teslarati

    WOMENS DAY (MMU): Wanawake asili yenu ni roho ya huruma na kujali. Siku hii iwakumbushe kurudia asili yenu ya huruma na kujali hasa kwa wapenzi wenu

    Wanawake asili yenu ni kuwa na huruma na kujali, lakini imekua opposite hasa kwenye sekta ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla. Wanawake wa kipindi kile walikua wanawajali sana waume/wapenzi wao. Ukitoka kazini unakuta msosi umefunikwa kwa ungo lenye maneno matamu, hapo kuna maji ya moto...
  9. S

    Mwanangu yupo humu JF na kijiwe chake kikuu ni hapa MMU

    Mwanangu ujuwe nakuona na yale unayoyaandika na kuyavalia jezi hapa kwenye kijiwe cha mahusiano mapenzi na Unafiki. Hivyo ni vizuri ukaachana na ukumbi huu haukufai na nakuona unavurugika akili na unayoyaandika hata mimi mzazi wako sijayafikia. Yaani mzazi unakutana na mwanao kwenye mitaa ya...
  10. kindikinyer leborosier

    Wana MMU, kijana wenu yanataka kunishinda tena, nataka sasa kuwa 'senior bachelor'

    Hello bila shaka mu wazima, poleni kwa wale wenye changamoto za hapa na pale, Mola awape ujasiri wa kukabiliana nao na kuushinda! Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu, nimemtambulisha mpaka nyumbani na kwa ndugu zangu, sijawahi kufanya hivi kwa mwanamke yeyote, hiki ni kiashiria...
  11. Binadamu Mtakatifu

    Miss u wana Mmu, ramadhani hii ukiwa na ugumu wewe sio binadamu

    😂😂😂 kwanza nafuraha sana baada ya kutoka jela segerea mitaaa ya ban thanks mod Nikitambo sana ila kikubwa ni hiki jamani mwezi huu mtukufu (mimi ni mkrito) ila nipo pamoja na nyie jua kali sana mpaka genye haziji kabisa Nashangaa kuna vijana bado wanamizika sijui wanaitoa wapi mimi tu...
  12. Manyanza

    Ninavyomjua Nakadori humu MMU

    Nawasalimu wana MMU wote kwa jina la JF, Alasiri hii nimejisikia tu kwa utashi wangu kumuelezea jinsi ninavyomjua Miss Nakadori humu MMU, kwa upande wangu kutokana na thread zake ambazo huwa anazileta humu kwenye jukwaa letu pendwa naweza kumuita The Queen of MMU 👑👑👑. Wapo wengi sana ambao...
  13. M

    Wana MMU wenzangu tutumie jukwaa letu vizuri maana Rais huwa anapita huku

    Tujenge hoja vizuri maana Rais kasema nae huwa anaperuzi JF. Sasa hajasema ni jukwaa gani, huenda ni jukwaa hili pendwa. Tulitumie vizuri, tuweke hoja zenye mashiko.
  14. Dr Matola PhD

    MMU Leo tuongee watu wazima vijana wajifunze kutoka kwetu, maana jukwaa limejaa utoto mwingi.

    Naongea na wazee wenzangu Leo, let's say hakuna tatizo nyumbani mko powa. Mama ameanza tabia za kulala na Watoto na hakuna ugomvi wowote. Na sometimes una vidume vikubwa kuna wakati mama anaona hah Leo jumamosi kuna wedding somewhere natoka na first born wangu wa kiume baba atasubiri nyumbani...
  15. kindikinyer leborosier

    Nina mashaka huyu mtoto si wangu, ushauri wako wa muhimu mwana MMU!

    Assalam mwana MMU, pole na majukumu ya kimaisha. Niende moja kwa moja kwenye mada, mwaka 2015 baada ya kuhitimu elimu nilanza harakati zangu kitaa, nilitoka mkoa niliokulia na kuja kanda ya ziwa Mwanza. Maisha ya kuwa mwenyewe, sijaoa, nikajikuta nakula kwa mama mmoja alikua na sehemu ya...
  16. H

    Tafuta mtu unayeendana naye ili ufurahie mapenzi

    Hope mko poa. Recently, kumekua na case tofauti tofauti kwa hili jukwaa pendwa la MMU. Kumekua na story za member wenzetu humu kuumizwa na haya mapenzi. Kuna thread zinasikitisha na kutia huruma sana. Kama member wa JF na mfatiliaji wa hili jukwaa hili ningependa watu wapate kutambua yakuwa...
  17. Victoire

    Msaada: Kuna Mume kapigwa na kitu kizito, naomba tuwashauri

    Iko hivi hawa mke na mme wanaishi nchi tofauti ila hapo nyuma walipendana sana tena sana na.wana watoto kadhaa. Sasa mme akapata michepuko hapa Tanzania. Na kuna mchepuko aliupenda sana sana kupita mingine. Mke wake anaishi London na watoto. Sasa kuna siku mme akampigia mkewe simu akimwambia...
  18. Mwananchi wa chini

    Malalamiko ya wana MMU kwenye Hoja Yangu kuwa ''Mwanaume kama huna akili usioe''

    1. Huwenda wanaume wengi huingia ndoani bila kumjua kikamilifu mwanamke ni nani. 2. Wanawake pamoja na mafunzo mbali mbali wanayopitia bado hayajawafanya watambue mwanaume ni nani zaidi wanafundishwa jinsi ya kumtuza mwanaume kitu ambacho kikweli ni kidogo sana na ziada maana upendo hujiongoza...
  19. The Garang

    Ndugu zetu Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi karibuni kwenye section ya MMU

    Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki. Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana mawazo kadhaa hususani katika mahusiano yetu kwa ujumla. Tunahitaji kuona mkileta hadith za bibi...
  20. lara 1

    Weekend story: A Woman of the people

    Igweeeeeeeee!!! RIP WARUMI! (Mimi na wewe tulikuwa na tofauti zetu za hapa na pale but all Ina all you were a good man, young and vibrant! You will be much missed! Haswaa vi chambo vyako! ) Im back from around the world! Kabla hamjapanic nimerudi na Vuuu tu! Nothing to show picha tu! So...
Back
Top Bottom