mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa watu makini, adui wa Chadema sio Samia na CCM, na wala adui wa CCM sio Lissu na Chadema; nyote mna adui mmoja - Wanamtandao!

    Kuna kitu kimoja wanamtandao wamefanikiwa sana kuchezea akili za watu wa CCM na Chadema. Wamewafanya wajione kuwa ni maadui wa kufikia hata kuuana. Sijui lini haya makundi mawili yatatambua kuwa yanakuwa playe dhidi ya mmoja na mwenzake. Na siku makundi mawili haya yakitambua hilo, basi...
  2. JamiiForums Tanzania Bado tupo kwenye narrow AI si ajabu tishio la AI kwa sasa halionekani kubwa sana kati yetu ila tunapo elekea wengi tutaimba wimbo mmoja

    Kwa sababu bado tupo kwenye AI dhaifu Narrow AI si ajabu watu wengi kuanzia humu ndani na duniani kwa ujumla kutokuona tishio kubwa lijalo la AI. Watu wakisikia AI akili zao zinaishia katika kujibu maswali,kuandika documents,kuchora picha hiyo ndio picha watu wanajenga kuhusu AI si ajabu fikra...
  3. JamiiForums Tanzania Je Fid Q ameacha kusifia siasa, mstari mmoja anasema Siasa imetufunza tukae kimya ili tuishi

    Kwenye wimbo wa Msanii Fareed Kubanda "Fid Q" aliyoitoa hivi karibuni kama zawadi ya Birthday yake ya Mwaka 2025 ina maneno kadhaa yenye ukakasi? Kwenye ngoma inaitwa History Mstari mmoja amesema "Mtaani hali ni mbaya ila tunakaza tu kiubishi, Siasa zimetufunza kufunga mdomo ili tuishi"...
  4. JamiiForums Tanzania Benki ya NBC ina mhudumu mmoja pamoja na kuwa na foleni

    Hivi mmekosa wafanyakazi?? Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea? Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa. Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi...
  5. JamiiForums Tanzania Kwani Clatous Chota Chama Yanga SC wamekukosea nini ndani ya Msimu Mmoja tu nao hadi kila Siku uwe Unawananga na kuwashusha Thamani?

    Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Young Africans Sports Club Clatous Chama, ameibuka na kudai kuwa hakuna mchezaji ambaye hatamani kuichezea klabu ya Simba SC, kutokana na ukubwa na ushawishi wa klabu hiyo ndani na nje ya Tanzania. Chama ambaye kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kuachana na...
  6. JamiiForums Tanzania Kipi sahihi kuwa na fundi mmoja permanent ama kubadilisha mafundi?

    Nina wasiwasi na fundi anayenirekebishia pikipiki anatumia udhaifu wangu wa kutokuwa na uelewa juu ya changamoto za pikipiki na kutojua bei ya vifaa kunikanda linapokuja ishu ya payments baada ya service. Kwa wamiliki na wazoefu wa pikipiki which ni best way ya kufanya service kutumia fundi...
  7. JamiiForums Tanzania Kati ya wapuuzi laki moja, kuwa mweledi mmoja

    Usibebeke kwa trend wala mihemuko, bebeka kwa facts na guts zako.
  8. JamiiForums Tanzania Kesi uhaini wa Tundu Lissu: Mashahidi wa siri/kificho waanza kujishitukia wenyewe na kujitetea hata kabla. Mmoja ni huyu hapa👇🏻

    "......Huyu mzee Evarist Chahali ni sehemu ya wazushi nchini anayetegemewa na wanaharakati uchwara, Amezusha hili jambo kwamba mimi ni sehemu ya mashahidi wa siri. Ni muongo na anajua wazi ni uongo….ana agenda yake aliyoitafuta kwa muda mrefu. Amekuwa akinishambulia tangu 2015 lakini nimekuwa...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

    Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka. Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa...
  10. JamiiForums Tanzania Wanayanga, msisuse timu yenu kwa maamuzi ya kihuni ya Mtu mmoja.

    Jana usiku pale Mlimani City imedhihirika Eng Hersi anataka kuitumia Yanga kwa manufaa yake kwa gharama yoyote hata kama ni kuiingiza timu matatizo ya kikanuni. Hakuna kikao cha timu kilichokaa kwa niaba ya timu ya Yanga na kufikia maamuzi ya kutoa milioni 100 wakati wanachama wanahimizana...
  11. JamiiForums Tanzania Utashangaa CHAUMMA & ACT wamepata kura Milioni 3 kila mmoja!!

    Kimchezo mchezo utashangaa jamaa wa Ubwabwa na wale wa Dalali wamejaziwa kura milioni 3 kila mmoja. Hii michezo aise raha sana.
  12. JamiiForums Tanzania Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

    Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini . Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia...
  13. JamiiForums Tanzania Kama haja kubwa yako haiko hivi, una utapiamlo

    Kuna mzee mmoja aliwahi kusema, kama mtoto wa kiume unaenda haja kubwa mzigo hautengenezi kakichuguu kadogo basi una utapiamulo. Watoto wa kiume tuleni tushibe, tulinde na heshima zetu.
  14. JamiiForums Tanzania Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

    Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
  15. JamiiForums Tanzania Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali

    Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kuna clip ya dada mmoja anaelezea kifo cha Mwendake, mazingira yake na kuna vigogo kawatuhumu kwa kuwataja majina

    Kuna clip ya Dada mmoja anaongea kwa hasira kuhusu mazingira ya Mwendazake kufariki huku akitaja baadhi ya vigogo anaowatuhumu kuhusika akiwepo Mstaafu mmoja. Hii clip bila shaka ni mpya na ni wazi wa nchi hii kuna mambo mazito yanaendelea. Kwakeli nimeshangaa sana na sidhani huyu dada kama...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hakuna hata kiongozi mmoja anachaguliwa kwa kura Tanzania

    Kwanza kwenye chama tawala haya ya sasa ni maigizo hata mkibalia wagombea watatu mgombea wa Mwisho anachaguliwa sio kwa kura bali kwa matakwa ya viongozi bila hata kuhojiwa sababu! Hivyo hakuna mchakato wa kidemokrasia ndani ya CCM . Pili kuna watu wamekatwa bila sababu yeyote na hawaja ambiwa...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi wa kimila asema Wamasai wote ni CCM, Wamasai wenyewe wampinga vikali, mmoja asema 'Mimi ni Tundu Lissu damudamu'

    Kiongozi wa kimila wa jamii ya Kimaasai nchini Tanzania, Laigwanan Isack Olekisongo, ametoa wito kwa jamii hiyo kote nchini kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, huku akisisitiza umuhimu wa kuwachagua madiwani na wabunge watakaowaletea...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mapacha walikuwa watatu, kumkata mmoja pekee SI sawa

    Salaam! Mapacha watatu,Vijana wababaifu waliotutambia Enzi zile kwamba hatuwawezi kwa lolote ni yule wa Mtama, Tanga na Singida. Sasa wajumbe wamekosea kumkata mmoja na kuwaacha wawili ndani, Ombi: Tunawaomba wajumbe wamalizie kazi ikibidi watuongeze na mmoja zaidi wa pale Geneva ya Africa...
  20. JamiiForums Tanzania Shetani wako wengi, hayuko mmoja na wanapingana

    Moderator kusema kuna falme nyingi za shetani ndo mnafuta uzi kwelii????? Mbona hii forum imekua ya ajabu sana serious Moderator uzi unaosema kuna tawala nyingi za shetani sijatuhumu mtu au kikundi cha watu wowote unafuta uzi aisee nimeshangaa sana unajua hii nchi ni ya ajabu sana kwanini hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…