Mwarabu mmoja Amtemea mate Mwanajeshi wa kike huko Tel Aviv Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,524
Reaction score
7,919
Raia mmoja wa Israel mwenye asili ya kiarabu leo akiwa kwenye usafiri wa Umma wakati anashuka alimtemea mate Mwanajeshi wa jeshi la Israel IDF kisha kukimbia tukio hilo lilinaswa na kamera za cctv zilizomo kwenye basi hilo.

Juhudi za kumtafuta zinaendelea baada ya wataalamu wa Forensic-lab kuchukua sampli za kiti alichakalia na sehemu aliyoshika wakati anashuka na kukimbia.

Nchini Israel ni kosa kumtemea mtu mate kwa sababu yoyote ile au kuutweza utu wake ikibainika/Kukamatwa adhabu yake ni kifungo miaka 5 na faini Shekel-7,000/ sawa na Tshs 5,000,000,000/

Nilikuwa nashangaa sana humu ndani kuna watu wanaeneza uongo eti Israel wakristo wanatemewa mate wakati ni uongo mtupu, Na kama mtu atafanya hivyo kifungo na faini juu kinamhusu..
 
Attachments

  • IMG_2938.jpeg
    IMG_2938.jpeg
    138.3 KB · Views: 41
  • IMG_2937.jpeg
    IMG_2937.jpeg
    125.2 KB · Views: 41
Kenge wewe toka lini Israel akawahukumu watu wake kutemea mwafrika mate au mwarabu. We mwafrika ukimtemea muisrael ndio utahukumiwa.

Warabu wale vijana wako mbali na Uislam kule Israel wanawabandika sana wanawake wakisrael, labda kisha mchoka kamua kumtemea si unajua waisrael wengi kama wewe ni mishoga tu.
 
This is a very serious matter; worse than blasphemy! Huyo kenge apatikane kokote aliko apate haki yake! Majitu yasiyostaarabika hayo.
 
Dunia ya Leo myahudi hana thamani Tena afe,awe mzima,aumwe chochote kiwacho myahudi asharudi Kwenye asili yake ya uharamia hii ni uholanzi zaidi ya watu laki Kwenye maandamano wanasappot hamas
 
Attachments

  • VID_20250518_172355_939.mp4
    1.1 MB
Dunia ya Leo myahudi hana thamani Tena afe,awe mzima,aumwe chochote kiwacho myahudi asharudi Kwenye asili yake ya uharamia hii ni uholanzi zaidi ya watu laki Kwenye maandamano wanasappot hamas

Myahudi hajaanza kuchukiwa leo, alichukiwa hata kabla ya ujio wa dini yenu, Kuna miungu wengine waliojaribu kufuta Wayahudi kwenye ardhi yao ila wakashindwa akina Baal sembuse wenu aliyebuniwa juzi miaka 500 baada ya Yesu kuondoka.
 
Sijataja dini hapa kumchukukià myahudi sio suala LA dini ni ishu ya mtu mwenye akili timamu lazima uchukie ufedhuri wao waholanzi mostly ni wapagani na wakristo hivyo usiusingizie Uislam hauhisiki hapo maana wapo waislam wengi TU ni vipenzi vya wayahudi, mtu mzima timamu hawezi kuiva na myahudi
 
This is a very serious matter; worse than blasphemy! Huyo kenge apatikane kokote aliko apate haki yake! Majitu yasiyostaarabika hayo.
This is not even worst am not satisfied, it should go beyond that sorry to myself
 
Dunia ya Leo myahudi hana thamani Tena afe,awe mzima,aumwe chochote kiwacho myahudi asharudi Kwenye asili yake ya uharamia hii ni uholanzi zaidi ya watu laki Kwenye maandamano wanasappot hamas
Nataka nikupe somo kidogo ili ujue kwa nini baada tu ya Oct 07,2023 hasa Majeshi ya Israel yalipoanza kujibu mashambulizi huko Gaza nchi nyingi za Ulaya na Marekani zilikumbwa na vurugu za Maandamano ya kuunga mkono magaidi wa Hamas.

watu wengi hawajui ni kwa nini Ulaya na Marekani iliibuka kwenye maandamano kuwaunga mkono magaidi hao wa Hamas ngoja nichukue nafasi hii kukufahamisha wewe na wengine ambao hawajui ilikuwa hivyo kwa nini.

Mwaka 2015 Wimbi kubwa zaidi la uhamiaji wa Kiarabu kwenda Ulaya lilitokea wakati wa mzozo wa wahamiaji wa Ulaya wa 2015, na wimbi kubwa la watu wanaokimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Syria na machafuko mengine ya kijamii katika Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini. Hii ilifuata hapo awali, mwelekeo zaidi wa uhamiaji wa taratibu kutoka makoloni ya zamani ya Ufaransa kama Algeria, Moroko, Tunisia, Lebanon, na Syria, ambayo ilianza kabla ya Oct 07,2023.

Kuanzia mwaka 2015 ni maelfu ya waarabu waliweza kuingia Ulaya na Amerika na lengo lao kuu moja nalo ni ku Dominate nchi hizo na ni kweli naweza kusema wameweza maana waliweza kuoa na kuwapiga mimba wanawake wa nchi walikokuwa kwa kiasi ki kubwa na isitoshe waliweza tena kuwaagiza ndugu zao wengine ambao walikuwa bado wako uarabuni waende kwenye nchi walizopokelewa hivyo kuongeza idadi yao huko Ulaya na Marekani hapo hapo walianza ku-Inject miła na tamaduni za huko.

Kwa kufupisha hao unaowaona wanaandamana ni waarabu wahamiaji na wale waliokuwa wamekubaliana na waarabu hao na wengine wanalipwa pesa kabisa ili washiriki kwenye hayo maandamano ya vurugu kuunga mkono magaidi wa Hamas huko Gaza najua utapinga sana lakini nimekuwekea ushahidi kabisa hapo chini..
Ningekueleza/kukufahamisha mengi lakini hayo yanatosha na huu ni ukweli tupu!!
Kuna watu wanapata pesa nzuri sana wanalipwa kila maandamano!!

View: https://x.com/monarchylondon/status/1923709217145270688?s=61

View: https://x.com/marinamedvin/status/1786041376951431656?s=61

View: https://x.com/olilondontv/status/1783115747591401748?s=61
 
Kenge wewe toka lini Israel akawahukumu watu wake kutemea mwafrika mate au mwarabu. We mwafrika ukimtemea muisrael ndio utahukumiwa.

Warabu wale vijana wako mbali na Uislam kule Israel wanawabandika sana wanawake wakisrael, labda kisha mchoka kamua kumtemea si unajua waisrael wengi kama wewe ni mishoga tu.
Kisa ww shoga acha kuita watu wa MUNGU aliye hai hivyo unamjua ww YESU achana na isa Babu Yako sijui namzungumzia YEHOVA
 
Ushoga ndio.mila zenu watu wakanisa, nyie mungu wenu si alipigiliwa misumari akatundikwa au sio huyo badaye mkazua kafa kabeba dhambi zenu sa kumbe hajafa kafufuka lini tena
 
Nataka nikupe somo kidogo ili ujue kwa nini baada tu ya Oct 07,2023 hasa Majeshi ya Israel yalipoanza kujibu mashambulizi huko Gaza nchi nyingi za Ulaya na Marekani zilikumbwa na vurugu za Maandamano ya kuunga mkono magaidi wa Hamas.

watu wengi hawajui ni kwa nini Ulaya na Marekani iliibuka kwenye maandamano kuwaunga mkono magaidi hao wa Hamas ngoja nichukue nafasi hii kukufahamisha wewe na wengine ambao hawajui ilikuwa hivyo kwa nini.

Mwaka 2015 Wimbi kubwa zaidi la uhamiaji wa Kiarabu kwenda Ulaya lilitokea wakati wa mzozo wa wahamiaji wa Ulaya wa 2015, na wimbi kubwa la watu wanaokimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Syria na machafuko mengine ya kijamii katika Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini. Hii ilifuata hapo awali, mwelekeo zaidi wa uhamiaji wa taratibu kutoka makoloni ya zamani ya Ufaransa kama Algeria, Moroko, Tunisia, Lebanon, na Syria, ambayo ilianza kabla ya Oct 07,2023.

Kuanzia mwaka 2015 ni maelfu ya waarabu waliweza kuingia Ulaya na Amerika na lengo lao kuu moja nalo ni ku Dominate nchi hizo na ni kweli naweza kusema wameweza maana waliweza kuoa na kuwapiga mimba wanawake wa nchi walikokuwa kwa kiasi ki kubwa na isitoshe waliweza tena kuwaagiza ndugu zao wengine ambao walikuwa bado wako uarabuni waende kwenye nchi walizopokelewa hivyo kuongeza idadi yao huko Ulaya na Marekani hapo hapo walianza ku-Inject miła na tamaduni za huko.

Kwa kufupisha hao unaowaona wanaandamana ni waarabu wahamiaji na wale waliokuwa wamekubaliana na waarabu hao na wengine wanalipwa pesa kabisa ili washiriki kwenye hayo maandamano ya vurugu kuunga mkono magaidi wa Hamas huko Gaza najua utapinga sana lakini nimekuwekea ushahidi kabisa hapo chini..
Ningekueleza/kukufahamisha mengi lakini hayo yanatosha na huu ni ukweli tupu!!
Kuna watu wanapata pesa nzuri sana wanalipwa kila maandamano!!

View: https://x.com/monarchylondon/status/1923709217145270688?s=61

View: https://x.com/marinamedvin/status/1786041376951431656?s=61

View: https://x.com/olilondontv/status/1783115747591401748?s=61

Unatapatapa tuu Hata hujui unaandika nini maskini, mavi hayaoshwi brother.. hakuna mtu sense akaunga zionism movement! Narudia hakuna! Kwanza zionism umejengwa na watu hatari freemason and secret societies kubwa kubwa, ni empire ya kishenzi, kishirikina na kimafia. Chimbuko tunalo kuanzia Kwa nabii Suleiman A.s aliwaongoza Kwa mkono wa chuma ndio wanaongoza Kwa fitna dunia hiii. Nikaona watu wanasappot zionism wakidhani wanatetea uyahudi hua nachekea moyoni najua tu tayari hana analo jua huyo anafuata TU emotions zake na sympathy zao, media zote ni zao, bank zote ni zao umaskini wote unaona wewe hapa Africa ni zao LA mazayuni Kuna mengi mno kijana tafuta maarifa.

Jambo LA kwanza Mungu alilotuusia ni kusoma, kupitia kusoma utapita maarifa kupitia maarifa huenda Mungu akakujalia hekima akikujaalia hekima dunia kwako haitakuwa mzigo.
 
Nilijua kabisa pamoja na kukupa ushahidi wote huo huwezi kuuamini maana ulishakula Matango-Pori hivyo hakuna namna!,,

Si kweli kuwa Benki zote zao huku masikini wapo pia. Hao Freemason mnajidanganya nyie huko tu. Hata hizo unazozisema wewe Secret-Society ni uongo mtupu.

Haya mambo ya Freemason na ushirikina hakuna kitu fanya kazi tu ukiamini upuuzi huo utakuwa na chuki za bure kabisa!!
 
Nilijua kabisa pamoja na kukupa ushahidi wote huo huwezi kuuamini maana ulishakula Matango-Pori hivyo hakuna namna!,,

Si kweli kuwa Benki zote zao huku masikini wapo pia. Hao Freemason mnajidanganya nyie huko tu. Hata hizo unazozisema wewe Secret-Society ni uongo mtupu.

Haya mambo ya Freemason na ushirikina hakuna kitu fanya kazi tu ukiamini upuuzi huo utakuwa na chuki za bure kabisa!
Fuatilia banking system ya interests imeanzia wapi ? Wayahudi ndio walianzisha na wanamiliki world bank nchi za Africa hatuta kaa tutoke Kwenye system ya interests ambayo ndio source kuu ya umaskini Africa. Utanikatalia lakini mazayuni na wayahudi nimewasoma Sana na ninaendelea kutafuta information kuhusu.
 
Habari nilizozipata jioni hii tayari Mwarabu huyo kakamatwa na polisi kwa msaada wa Forensic lab wamemfuata mpaka nyumbani kwao kesho anafikishwa mahakama na kifungo juu
Mwarabu aliyemtemea mate mwanajeshi atiwa mbioni hapa kuna miaka 5 na faini Shekel 7,000/ sawa na Tshs 5,000,000,000. Patamu hapo!!
 
Attachments

  • IMG_2954.jpeg
    IMG_2954.jpeg
    167.6 KB · Views: 34
  • IMG_2955.jpeg
    IMG_2955.jpeg
    130 KB · Views: 39
Habari nilizozipata jioni hii tayari Mwarabu huyo kakamatwa na polisi kwa msaada wa Forensic lab wamemfuata mpaka nyumbani kwao kesho anafikishwa mahakama na kifungo juu
Sio mwarabu huyo ni raia wa Israel wa kawaida, wengine wapo jeshini, hata Eli Cohen ungemuita muarabu, nitazidi kukupa elimu ujinga uwe unakutoka..

Israel kuna watu wanaandamana kupinga kinachoendelea Gaza, hata US kuna raia wanaua polisi haimaanishi sio raia wa US..
 
Acha kubwabwaja ovyo ovyo tumia akili zako vizuri!!!. Elimu uchwara hiyo nani utampa aikubali? Toa ujinga wako soma hapo!!!

View: https://x.com/vividprowess/status/1924214186864783806?s=61

View: https://t.me/hnaftali/17764
 
Angekua terrorist angemdhuru, huyo ni raia wa Israel..
Akili yako wewe hazijatulipa maana unaongea kama umelewa au umevuta Bange!!!
Kwa taarifa yako tu kahukumiwa kunyea ndoo miaka 6 jela na kulipa faini Shekel 8,000 sawa na Tshs 5,480,000,000/
 
Back
Top Bottom