Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba.
Yote haya mtayapata kesho
Kazi ipo kule Kilwa Kaskazini, wakati Leo ndio tunatarajia kupata orodha ya majina matatu ya wagombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi ili yapelekwe kwa wapiga kura ndani ya chama, tayari mtia Nia mmoja katika Jimbo Hilo ambalo Mangungu analitolea macho amepata ajali alipokuwa anakwenda...
Ni Mikoa gani/makabila gani, Kuna uwezekano wa Kuoa/kuishi na wake zaidi ya mmoja bila ya watu kukutolea Macho?
Mpango no huu,
1. Kununua Ardhi ya kutosha
Kujenga Nyumba na kufanya ufugaji/kilimo
2. Kutafuta wake wawili wembamba na wazuri wenye umri kati ya miaka 21-25 . Wadau nipeni Mikoa au...
Hilo ni swali linaloenda kwa wanazuoni wa dini yaani maaskofu ,mashekhe,wachungaji na wote tuliotarajia watufundishe aya na maandiko ya dini.
Leo hii kinachopostiwa mitandaoni kutoka mimbari za dini sio rejea za maandiko ya Vitabu vitakatifu bali mawazo ya kibinadamu kutoka wavaa kanzu .
Hii...
Sisi wazee wa zamani tulioshuhudia kalamu Bora za waandishi wa habari tukiwaona Hawa wa kisasa tunachanganyikiwa!! Taaluma ya habari imenajisiwa vibaya mno ,waandishi karibia wote ni wanasiasa na wapambe na nimakuwadi wa chama Fulani ? Watawezaje kubalance habari? Leo hard news zinazohusu nchi...
Bila kubeza ubora wa idara za ki usalama za Rusia toka kipindi cha Coldwar, ikasemekana KGB ndo shirika tishio kwa intelengnce kwa kipindi icho ikafatiwa na wana wa malkia MI6 , CIA walikua wanapata taarifa kutoka kwao,
na japo kwa ishikiano wote ila bado walikua wana salimu amri kwa ubora wa...
Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe
1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20)
2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10)
3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10)
4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10)
5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ni picha ya wiki kati ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mama Janeth Magufuli Mke wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Awamu ya Tano Wa Tanzania.
Ni picha iliyojaa nyuso za...
Per Capital Income (PCI) ni kipimo cha wastani wa mapato ya kila mtu katika nchi fulani kilichohesabiwa kwa kugawanya Gross Domestic Product (GDP) ya nchi kwa idadi ya watu wake.
Tukianza na nchi ya Marekani
Per Capital Income ya USA kwa mwaka 2023/2024
GDP ya USA: = 25.5 Dola trilioni
Idadi...
Kesi imepelekwa Mahamakani siku ya hukumu Hakimu kapendeza adhabu tatu ,ila kakupa nafasi wewe mlalamikaji kumchagulia Mshtakiwa mojawapo ya adhabu alizotoa,Kila mmoja na adhabu yake.
Adhabu alizotoa ni kama ifuatavyo
1:Faini Milioni mbili
2:Jela miaka miwili
3:Msamaha
Washtakiwa wanakabiliwa...
Ongezeko la unywaji limekuwa kubwa.
Zamani ulikuwa ukikutana nae anayumba bara barani ni mzee mlevi ila siku hizi ni vijana wabichi.
Wadada nao wamekuwa walevi kupindukia tena wake za watu wanakunywa kuliko faza haus.
Sio kwamba pesa imeongezeka mifukoni vya vijana.
Ila ni kwamba vilevi...
Baba mmoja mtaa wa pili , au jirani yetu kwenye huu mji mchanga leo alfajiri aliaga kwa mke wake kuwa anakwenda kazini kwake Kariakoo kama kawaida.
Mke alipopiga simu ya kujua amefika wapi iliita muda mwingi bila kupokelewa. Mke wake pia nasikia alipiga simu kazini kwake wakasema leo hakwenda...
Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake.
Ndio maana OKTOBA TUNATIKI ✅✅
Mpo salama!
Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani.
Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri.
Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.