mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Familia imempotea ndugu yao ila Polisi wanasema kutambua mtu kuwa amepotea ni mpaka pale masaa 24 ndipo watatoa kibali kutafutwa

    Baba mmoja mtaa wa pili , au jirani yetu kwenye huu mji mchanga leo alfajiri aliaga kwa mke wake kuwa anakwenda kazini kwake Kariakoo kama kawaida. Mke alipopiga simu ya kujua amefika wapi iliita muda mwingi bila kupokelewa. Mke wake pia nasikia alipiga simu kazini kwake wakasema leo hakwenda...
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBATIK

    Hakuna mtu aliyeko tayari kuiona Tanzania ikienda pabaya, Ila kila mmoja yupo tayari kuipigisha hatua Tanzania kupitia kura yake. Ndio maana OKTOBA TUNATIKI ✅✅
  3. JamiiForums Tanzania Dr. Tulia anasema vijana wajitokeze kuyasema mazuri ya serikali; anasahau Baba ukishatoa kafara mtoto mmoja kisa utajiri mazuri yote hufutika.

    Mpo salama! Ukishatafuta utajiri wa kafara, ukamtoa Mke au mtoto mmoja na watu wakajua na watoto waliobakia. Hata uwajengee watoto ghorofa, uwanunulie Range Rover, au ukawasomeshe Marekani. Kamwe hawatakutaja kama Baba Bora, wala hautasifiwa kwa lolote zuri. Hakuna Jambo kubwa kwenye maisha...
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu SPCT aitaka Serikali kusikiliza CHADEMA: Asema Maridhiano ni muhimu kwa Ustawi wa Taifa

    Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuangalia kwa makini mvutano unaoendelea kati ya Serikali na Chama cha...
  5. JamiiForums Tanzania Gari ya muziki ya CHADEMA yapata ajali mmoja ajeruhiwa

    Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati. Gari...
  6. JamiiForums Tanzania UKOO: Hakuna Mgumu wa Kutoa Sauti, Hata Mmoja

    Nina uchungu. Hakuna mzee hata mmoja wa kuonya Mkapa, Mwinyi hawapo. Mzee Mkapa ndiye alikuwa anauthubutu wa kusema wazi na kukemea yeyote kwenye nchi hii ukitoa Baba wa Taifa. Kwa sasa nchi haina powerful end say, ndiyo tujifunze kushabikia wanasiasa vizuri. Nchi haina baba na waliopo ndiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  8. JamiiForums Tanzania Mume watoto watatu nje mke mmoja

    Kuna rafiki yangu ameniomba ushauri nimekosa cha kumshauri Yeye ana mtoto mmoja ni single maza.kapata mwanaume ana watoto 3 .boys Anataka wafunge ndoa kabisa. Sasa anawaza Bora apambane na mwanae mmoja au Bora aolewe akapambane na WA nne? Uchumi WA jamaa ni WA Kati na yeye mwanae analea...
  9. D

    JamiiForums Tanzania AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Kenya 1. Safaricom - Peter Ndegwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Chadema imebakia na kiongozi mmoja tu Heche sio?

    Baada ya maamuzi ya msajili so to say sasa CCM na serikali yake inapambana na Heche tu sio? Hata marefa kwenye kutoa kadi nyekundu huwa wanakuwa na aibu aisee hii sio mchezo! Je ni udhaifu wa CCM na serikali kwenye mapambano au ni woga?
  11. JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Abbas Tarimba, anajua uchungu wa mwana kuliko nyie, alishawahi kupoteza watoto wawili kwa mpigo

    Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019 alivyopoteza watoto wake wawili wa kiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya...
  12. JamiiForums Tanzania Nionyeshe Mradi Mmoja wa maana wa Samia nikuonyeshe Nane ya Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wao

    Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake Magufuli 1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa 2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu. 3.Toto Afya kadi...
  13. JamiiForums Tanzania Barani Africa: msimu huu makombe yote yatachukuliwa ugenini, mmoja kupigwa nje ndani

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Msimu huu makombe yote kwa bara la Africa yatachukuliwa ugenini Lakin mmoja ambaye ni kibonde kabisa atapigwa nje ndani SAYUNI BOY
  14. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa na Kitambulisho cha NIDA na cha Mkazi Zanzibar kwa wakati mmoja?

    Habari, Naomba kuuliza hili swali Kwa wajuzi wa mambo, Inawezekana kuwa na Kitambulisho cha NIDA na cha Mkazi Zanzibar kwa wakati mmoja?
  15. JamiiForums Tanzania Huyu ni mmoja ya Members wenye Maadui wengi sana humu JF. Hadi watu wa Mfumo wanamtafuta sana

    Ukija PM yangu imejaa msgs toka kwa wanangwengwe wakiwa na mambo mbalimbali lakini hawanikatishi tamaa. Mimi nlishatangaza vita kwa makundi ya watu hawa bila kujali Dini, Makabila yao, Vyama au Itikadi zao. Nlishasema hawa nitawapasua tu hata kama nitabaki peke yangu wao watakuwa milion moja...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya polisi wanahusika na Utekaji wa raia nchini?

    Usione watekaji ni wa chama pinzani wanaotekeleza mipango fichu ili kuipaka serikali matope na wanaitekeleza kwa siri kubwa kiasi ya kuwa hakuna ushahidi. Sasa serikali inakuwa ngumu kuwakamata kiushahidi . Ila hawa G55 inawezekana wanawanalolijua ngojea kampeni huwenda kuna mambo yakajiri...
  17. JamiiForums Tanzania Simba asipochukua kombe la CAF Jumapili hii baada ya mchezo nitawatumia watu 10 milioni 1 kila mmoja wa hapa JF

    Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii. Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira...
  18. JamiiForums Tanzania Nguruwe mmoja anaweza kukupa hadi zaidi ya TSh. Milioni 1 ndani ya muda huu tu!

    Leo nataka tuangazie fursa hii ambayo imekuwa ikizungumzwa sana lakini bado haijatiliwa mkazo. Ukiitazama kwa jicho la fursa — inaweza kuwa njia ya tobo lako la kiuchumi mwaka huu! ❓Je, unajua? Nguruwe ni miongoni mwa nyama zinazopendwa sana Tanzania, hasa maeneo ya mijini kama Dar es Salaam...
  19. JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha bajeti ya TSh. Trilioni 3.64 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, ongezeko la asilimia 9.61 ukilinganisha na mwaka 2024/25

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025 https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
  20. JamiiForums Tanzania Mjue mmoja wa wanaojiita wanaharakati waliozuiliwa na kesi ya uhaini -Utaanza kunusa kitu

    Atuhaire was born in Sheema District in about 1988. Her childhood was difficult as her father spent too much money on alcohol. She completed high school due to a scholarship at Alliance School Mbarara. Lack of money meant that she could not fulfil her ambition to take law so she studied...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…