Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume, Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuangalia kwa makini mvutano unaoendelea kati ya Serikali na Chama cha...
Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati.
Gari...
Nina uchungu.
Hakuna mzee hata mmoja wa kuonya Mkapa, Mwinyi hawapo.
Mzee Mkapa ndiye alikuwa anauthubutu wa kusema wazi na kukemea yeyote kwenye nchi hii ukitoa Baba wa Taifa.
Kwa sasa nchi haina powerful end say, ndiyo tujifunze kushabikia wanasiasa vizuri.
Nchi haina baba na waliopo ndiyo...
Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita.
Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
Kuna rafiki yangu ameniomba ushauri nimekosa cha kumshauri
Yeye ana mtoto mmoja ni single maza.kapata mwanaume ana watoto 3 .boys
Anataka wafunge ndoa kabisa. Sasa anawaza Bora apambane na mwanae mmoja au Bora aolewe akapambane na WA nne?
Uchumi WA jamaa ni WA Kati na yeye mwanae analea...
Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda.
Tanzania.
1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda
2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi
3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France
4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam
Kenya
1. Safaricom - Peter Ndegwa...
Baada ya maamuzi ya msajili so to say sasa CCM na serikali yake inapambana na Heche tu sio?
Hata marefa kwenye kutoa kadi nyekundu huwa wanakuwa na aibu aisee hii sio mchezo!
Je ni udhaifu wa CCM na serikali kwenye mapambano au ni woga?
Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa
Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019 alivyopoteza watoto wake wawili wa kiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya...
Tukimsema vibaya mama wa kizimkazi mnatuona wabaya kafanya nini cha maana hii miaka 4 ya utawala wake
Magufuli
1 .GEP Ali centralised Malipo yote ya serikali na kuokoa upotevu.mkubwa wa pesa
2. Bwana la Nyerere. Limemaliza kabisa mgao wa umeme na kuchochea uchumi mara dufu.
3.Toto Afya kadi...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Msimu huu makombe yote kwa bara la Africa yatachukuliwa ugenini
Lakin mmoja ambaye ni kibonde kabisa atapigwa nje ndani
SAYUNI BOY
Ukija PM yangu imejaa msgs toka kwa wanangwengwe wakiwa na mambo mbalimbali lakini hawanikatishi tamaa. Mimi nlishatangaza vita kwa makundi ya watu hawa bila kujali Dini, Makabila yao, Vyama au Itikadi zao.
Nlishasema hawa nitawapasua tu hata kama nitabaki peke yangu wao watakuwa milion moja...
Usione watekaji ni wa chama pinzani wanaotekeleza mipango fichu ili kuipaka serikali matope na wanaitekeleza kwa siri kubwa kiasi ya kuwa hakuna ushahidi. Sasa serikali inakuwa ngumu kuwakamata kiushahidi .
Ila hawa G55 inawezekana wanawanalolijua ngojea kampeni huwenda kuna mambo yakajiri...
Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii.
Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira...
Leo nataka tuangazie fursa hii ambayo imekuwa ikizungumzwa sana lakini bado haijatiliwa mkazo. Ukiitazama kwa jicho la fursa — inaweza kuwa njia ya tobo lako la kiuchumi mwaka huu!
❓Je, unajua?
Nguruwe ni miongoni mwa nyama zinazopendwa sana Tanzania, hasa maeneo ya mijini kama Dar es Salaam...
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025
https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY
Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
Atuhaire was born in Sheema District in about 1988. Her childhood was difficult as her father spent too much money on alcohol. She completed high school due to a scholarship at Alliance School Mbarara. Lack of money meant that she could not fulfil her ambition to take law so she studied...
Kuna Jamaa mmoja ana 42 now; aliwahi kuoa kw 20's uko ana watoto wawili na alishaachana na mke wake enzi akiwa na kipato cha kawaida tu.
Anashare watoto na ex wake ambaye kaolewa tena na uyu Jamaa anaishi zake Iringa na sasa amekuwa mtu mkubwa na pesa nyingi ivyo watoto wake wakitaka kuja...
Raia mmoja wa Israel mwenye asili ya kiarabu leo akiwa kwenye usafiri wa Umma wakati anashuka alimtemea mate Mwanajeshi wa jeshi la Israel IDF kisha kukimbia tukio hilo lilinaswa na kamera za cctv zilizomo kwenye basi hilo.
Juhudi za kumtafuta zinaendelea baada ya wataalamu wa Forensic-lab...
Tumetoka kwenye familia, zilizopanga kwenye nyumba iliyopewa jina la Muhimbili.
Korido ndefu kama Sgr, kila mtu kapanga ndoo mlangoni..
Kulia vyumba tisa, kushoto nane, mwenye nyumba yupo uani..
Mlango mkubwa wa mbele, haufungwi hata siku moja..
Kwa sababu kuna watu kazi zao wanatoka usiku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.