Ni saa mbili asubuhi jijini Dodoma. Simu ya mezani ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, inaita mara mbili mfululizo. Ni taarifa kutoka kwa wananchi zinaoeleza kuhusu mzozo wa kifamilia uliosababisha taharuki katika moja ya mtaa ya jijini...
Kukuza watoto wako wawe kama Winga / mshambuliaji inaweza kuwa biashara yenye mashaka . Ukikuza kuwa mabeki ( fullbacks ) ambao watatoa 7/10 kila wiki uwanjani . Hawa ndyo watadumu kwenye timu moja kwa miaka 10 na zaidi.
Watoto wangu watakuwa na picha za kina Mohammed Hussein( Zimbwe Jr ) ...
Majini yana Mola na Mlezi wao ambaye hawataki ashirikishwe na yeyote yule. Maana yeye ndo mola wao. Ni nani?
Tega Sikio. Tunayauliza muda si mrefu yatajibu.
FR Beda Pavel alizaliwa mjini Humberg ujerumani, alipadrishwa mwaka 1953 na kutumwa Tanganyika mwaka huohuo. Amewahi kufundisha Biology katika seminary kadhaa nchini, amehudumu parokia mbalimbali, mara ya mwisho alihudumu kama paroko wa parokia ya kilimahewa jimbo kuu la Dar es salaam. Fr Beda...
Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi.
Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga...
Binafsi naamini purpose kuu ya mwanamke katika dunia hii ni kuwa mama bora wa familia yenye furaha na Amani.
Mimi ndoto na matamanio yangu ni siku moja nimuone mwanangu wa kike akiolewa kwa wakati sahihi na mtu sahihi, awe mama bora na mlezi bora wa familia yake, hiyo ndiyo itakuwa furaha kuu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo.
Muhumiwa huyo alikuwa...
Habari zenu wakuu wa MMU 👋🏽 👋🏽
Kila mmoja wetu ana njia zake za kubaini jambo LILILOFANYIKA au LITAKALOFANYIKA kwa njia yake ya udadisi tu wa kibinadamu.
Udadisi huo huja pale ambapo MMOJA wetu anaona mashaka kwa MWENZIE ili kubaini ukweli wa jambo fulani la nyuma au mbeleni kupitia njia yake...
Baada ya Tundu Lissu kujitosa kugombea uenyekiti wa CHADEMA ni wazi kutakuwa na mchuano mkali sana endapo Mbowe naye ataamua kugombea tena nafasi hiyo. Huo ushindani hautakuwa na afya kwa CHADEMA zaidi sana endapo Mbowe atashinda tena, kwa mantiki hiyo ni vyema basi Mbowe akaamua au akashauriwa...
Kwema wakuu?
Binafsi nilikulia kwenye familia ambayo wazazi wanazingatia sana kuhusu watoto wao, nikimaanisha ni watu wenye kufuatilia Kwa ukaribu sana mienendo yetu, sio watu waliotuachaniza kufanya mambo Kwa kujiamulia.
Kipindi nasoma nilikuwa na rafiki zangu ambao wazazi wao walikuwa...
Makonda alikuwa mlezi wa kampuni ya wasafi inayomilikiwa na mwanamuziki Diamond. Mara kadhaa alisikika akimkemea Harmonise asivute misokoto yake. Lakini tangu aukose ukuu wa Mkoa, Wasafi waliona kama wametua zigo la misumari, wakampiga chini.
Nashauri Makonda asiwaache salama kwenye orodha yake...
Aisee! Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa mwenye pesa.
Kama unavyojua maisha ni kupanda na kushuka, yule jamaa kafukuzwa kazi na hana inshu yoyote zaidi ya kupambana na vikazi vidogo mtaani.
Hauwezi amini yule Mwanamke kambeba mwanae na kumkimbia jamaa na...
Habirini wana jamvi,
Nimeona nilete kisa hiki jamvini mimi ni kijana nimelelewa na baba MLEZI na kanisomesha Hadi form six, na alitaka niishie hapo nisiendelee mbele.
Mimi nililazimisha kwenda chuo kwasababu malengo yangu hayakuwa niishie form six maana matokeo yangu yaliruhusu kwenda kujiunga...
Habari wna jf naomb tupitie hii nakala fupi itatusaidia mahali🙏🤝
Ni vizur mtoto kupata mda mzur wa kupata malezi mema kutoka kwa wazazi aw walezi wake kabla dunia haijamfunza kip cha kufanya
Maan walezi aw wazazi ndio waalimu wakwanza kuwafundisha watot mambo mema na maadili mazuri na ata...
Habari wana jf kuna ishu inachanganya huku, kuna harusi miezi 3 ijayo sasa huyu binti anayeolewa anababa yake mzazi ambaye Hakushi naye alikuwa anaishi na mama yake wa mzazi wa kumzaaa na baba wa kufikia, Sasa kwenye malezi Baba wa kufikia ndo alikuwa ana muhudumia kila kitu na alikuwa anaishi...
Wana JF naombeni ushauri wenu.
Kuna kijana wangu atakataa kwenda shule, yupo kidato cha kwanza . Nimfanye nini maana kama kupiga nimepiga na kumshauri lakini haambiliki😭😭
Kipindi hiki watoto wamerudi nyumbani au kutokwenda shule kutokana na uwepo wa likizo, ni vizuri wazazi kuzingatia haya:
1. Jipe muda wa kuzungumza na mtoto kila siku.
2. Muulizie juu ya changamoto alizokutana nazo akiwa shule.
3. Kagua vitu anavyovitizama kama picha, simu.
4. Jadiliana naye...
Ikawa furaha kwa wazazi wote wawili kumpata mtoto wa kiume. Ikawa ni furaha zaidi kwa kuwa walimsubiri mtoto wa kiume kwa miaka mingi kwa hamu na shauku kubwa. Wakazipiga nderemo na vifijo kuuona uso wa mtoto wao wa kiume kwa mara ya kwanza. Maskini ya Mungu hawakujua ya kuwa kuna mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.