mlezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kibamia ya mtoto: Mama, baba au mlezi alaumiwe nani?

    Ikawa furaha kwa wazazi wote wawili kumpata mtoto wa kiume. Ikawa ni furaha zaidi kwa kuwa walimsubiri mtoto wa kiume kwa miaka mingi kwa hamu na shauku kubwa. Wakazipiga nderemo na vifijo kuuona uso wa mtoto wao wa kiume kwa mara ya kwanza. Maskini ya Mungu hawakujua ya kuwa kuna mengi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mzazi, mlezi kumpa mtoto haki zake ikiwemo uhuru wa kujieleza siyo ‘Uzungu’, ni wajibu

    Sheria ya Mtoto inamtafsiri mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na kuendelezwa. Aidha, watoto wanayo mahitaji ya msingi ambayo kote Duniani yanatengeneza haki zao...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu/Mlezi wa Day Care center anahitajika

    Habari! Mwalimu /mlezi anahitajika Shule: Tiger Day Care Wapi: Dar- kinondoni-kawe Sifa: Awe amesomea uwalimu/ au malezi , awe anajua kingereza vizuri na nyimbo nyingi za watoto, upendo kwa watoto. Jinsia: Awe wa kiume au kike ,umri awe kijana Sharti: Awe anaongea kingereza muda wote...
  4. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Mola wangu Mlezi usinifedheheshe siku watapofufuliwa wote siku ambayo haitofaa mali wala watoto, ila wale wanaomjia ALLAH kwa nyoyo safi

    Msamehe baba yangu kwani hakika yeye ni miongoni mwa wapotofu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Biashara United nje mashindano ya CAF. Hatarini kufungiwa, Mlezi yuko wapi? Jasho la Simba lapotea bure

    mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara sasa pre match meeting huko benghazi libya imemalizika , Baadaye AHLY TRIPOLI wanaingiza team uwanjani watakaguliwa...
  6. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Lini mara ya mwisho kumtamkia mzazi/mlezi wako nakupenda?

    Siku moja maza kaja kunitembelea kwangu, nikamtoa out tukala nyama akafurahi sana akaniambia Einstein mdogo wako wa mwisho siku moja aliniuliza "mama nlishawahi kukuambia NAKUPENDA?" Akasema sikutaka kumkatisha tamaa nikamwambia umeshawahi mwanangu. Dogo akasema "Mama NAKUPENDA" Maza akasema...
  7. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ni kiongozi na mlezi mahiri wa Taifa

    Uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia unazidi kujipambanua dhahiri kadiri siku zinavyosonga mbele. Na sasa amegusa jambo muhimu sana na la msingi zaidi katika ujenzi wa Taifa lolote lile kwa ajili ya maendeleo endelevu. Katika mazungumzo yake na wazee wa Dar es Salaam hivi karibuni, pamoja na mambo...
Back
Top Bottom