mkweli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema Wenje alijitaja mwenyewe kuwasiliana na kujuana na Abdul , Tundu lissu ni mkweli na hana pengine pa kusemea

    TL alitwambia muda mrefu sana Abdul na Kiongozi CDM kumfuata kutaka kumpa Rushwa. Muda umeongea , Tumuamini lissu
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

    Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja. Katika orodha ya majaji wa nchi hii...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli, ukikuta mwanamke ananyanyaswa mtandaoni utaingilia kumsaidia?

    Katika ulimwengu wa sasa, wanawake wanazidi kutumia mtandao kuonyesha vipaji vyao, kushiriki mawazo yao, na kuunganisha na jamii. Lakini pamoja na hayo, unyanyasaji mtandaoni umekuwa tatizo kubwa linalowazuia wanawake wengi kujieleza kwa uhuru. Je, unafikiria nini unapoona mwanamke...
  4. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Unajua nini kuhusu ngorongoro? Nani mkweli

    1. Wamasai waondolewe ili wawekezaji wajenge hoteli za kitalii. 2. Wamasai waondolewe ili waarabu wapewe vitalu vya uwindaji na wamilikisshwe hayo maaneo kwa miaka 99. 3. Wamasai wamesaliana ndani ya hifadhi kiasi cha kuadhiri wanyama pori ( from 10K in 1959 to more than 100K 2017) 4. Kuna...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Chadema tushukuru kwamba CCM wameanza kuropoka hadharani mbinu zao za kushinda chaguzi. Nape ni mkweli tusimlaumu, tatizo ni mfumo CCM.

    Badala ya kuona kuwa Nape amekosea kusema aliyosema, tumwone Nape kama mtu aliyesema ukweli kuhusu chaguzi za Tanzania. Ni kweli kwamba matokeo ya kura hutegemea nani anahesabu kura na mara nyingi sana matokeo hupangwa kabla hata ya kura kupigwa. Tatizo sio Nape bali ni mfumo CCM. Mnakumbuka...
  6. Dream Queen

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

    Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu?? Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana Watu ni Zamani sana kuanzia kwenye Blog yake, akaenda Instagram akaitukana sana Serikali...
  7. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Niwe mkweli sina rafiki wakike na haitatokea

    Katika maisha yangu nachotaka kusema mimi na urafiki na mwanamke haupo hata kama unajifanya mimi ni rafiki yako ntafanya niwezalo nikukosee maana mafahari wawili hawawezi kaa zizi moja. Wapo wanaoweza ila Kwa upande wangu siwezi kama nilikutongoza ukasema hapana tuwe marafiki hapo ndio imeisha...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rekodi ya kuuza copy nyingi, nani mkweli, Mr. Nice niliuza nakala 1.7 mil, feruzi 200k ndani ya wiki?

    Mr. NICE ALIWIKA sana lakini anaonekana ni Mzee wa maneno ya kujisifia sana, kumekuwa na takwimu zisizo eleweka za mauzo ya kazi za wasanii hapo zamani. Huku Mr. Nice akitamba kwamba yeye aliuza nakala milioni 1.7 na aliemfuatia alikuwa around laki 380,000/= wakati huo huo tunaambiwa na Feruzi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hongera kocha wa Taifa Stars kwa kuwa mkweli. Taifa stars haijaenda AFCON kushindana

    Ukweli lazima usemwe na ukweli humuweka mtu huru. Kocha wa taifa stars anajua uwezo wa wachezaji wa taifa stars, hivyo ameamua kusema ukweli...."kwamba kwa kikosi hiki, taifa stars haitoboi. Hivyo tumekuja kutalii na kuwapa changamoto wachezaji kwa manufaa ya baadaye". Tujifunze kuwa wakweli...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pole sana Kocha Mkweli, Mweledi na usiyepokea Rushwa Zuberi Katwila, tulijua tu usingedumu Ihefu FC kwa Kuchukiwa na Uliowaadhibu mara mbili Mbarali

    Uwezo wako tunaujua ni mkubwa mno na sababu kuwa Umeondoshwa Ihefu FC kama Kocha Mkuu na Kurithiwa na Mganda Kocha Moses Basena leo kutokana na Poor Performance ya Timu ya Ihefu FC ni Uwongo na GENTAMYCINE sikubaliani nayo. Kocha Zuberi Katwila ( Legend wa Msasani Magunia ) ukiwa na Maswahiba...
  11. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kiduku ni mkweli na muungwana. Ni asili ya watu wa Morogoro?

    Jana, pale Mwanza bondia mtanzania Kiduku alipanda ulingoni kwa pambano la raundi 12 la ubingwa wa WBF. Alipambana na bondia Wellem wa Afrika ya Kusini. Wellem, akitumia jab yake ya kushoto na urefu wake, alifanikiwa kumweka mbali Kiduku na kuvuna points za kutosha kumpatia ushindi wa jana...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

    Wanabodi Msingi Mkuu wa kazi ya uandishi wa habari ni ukweli, kuwa mkweli kuusema ukweli na kuandika ukweli!. Sisi waandishi wa habari wa zamani tulifundishwa na waalimu wazungu, mimi mpaka leo mpaka kesho nakumbuka kauli ya Mwalimu wangu mzungu pale TSJ, a Canadian, Patrick Walsh akitufundisha...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyo ndani ya Rais Samia imemfanya kuwa mkweli na muwazi katika Uendeshaji wa Serikali

    Ndugu zangu, Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana, Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana. Ni kiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU. Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake kimetawaliwa na hofu ya Mwenyezi Mungu. Ni kiongozi ambaye ukimsikiliza unaona Hataki kuzungumza...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanaume mkweli taja kosa ulimfanyia Ex wako Uliyempenda mpaka mkaachana, na leo unalijutia mno

    Mimi kama GENTAMYCINE kosa langu nitalisema baadae kwani ni kubwa na bado naendelea kutubu kwa Mwenyezi Mungu na kumuomba msamaha huyo Ex wangu pamoja na kwamba ameshaolewa na kubahatika kuzalishwa watoto wake wazuri wawili wa kiume na kike. Nawaomba wanaume tuliopo hapa JamiiForums tuseme...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuwa Mkweli ni Kitu gani hakika 'Unakimisi' mno kutoka kwa Mpenzi wako mliyeachana na huyo Uliyenae sasa hana kabisa?

    Nipo tayari sasa Kusoma Maoni yenu.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nani mkweli kati ya Rais Samia na Waziri Bashungwa?

    Wakati anaapisha baadhi ya viongozi Mh. Rais Samia alimshushia sifa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Joan Kataraiya. Ikumbukwe huyu ni miongoni mwa mabinti wadogo kabisa kutoka CCM walioteuliwa katika nafasi hiyo. Mh. Rais alisema Mkurugenzi huyo amefanya vizuri sana...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nani mkweli kati ya Dkt. Mollel na Dkt. Slaa juu ya Lissu kupigwa risasi. Kwanini CHADEMA wanakuwa kimya? Polisi nao mbona hawachukui hatua?

    Dkt. Slaa amegusia juu ya Lissu kupigwa risasi na kudai kuwa huenda CHADEMA walihusika maana walikuwa na makundi ya kigaidi yaliyofanya uhalifu wa kigaidi ili kuichafua serikali. Dkt. Mollel nae aliibuka huko nyuma akiwa Bungeni na kudai CHADEMA walimtwanga Lissu risasi na aliongea bila...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kati ya Spika mstaafu Pius Msekwa na Spika Dkt. Tulia nani anasema ukweli kuhusu Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18?

    Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza. Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya Spika Ndugai, Balile na Gavana Luoga nani mkweli kuhusu deni la taifa?

    Kuna mkanganyiko mkubwa nchini katika utoaji taarifa za deni la taifa. Kuna usemi kuwa miluzi mingi huchanganya mwelekeo wa Mbwa. Ndugai ni Spika, Balile ni Mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Luoga ni Gavana, sasa nani ana taarifa sahihi za kutufanya tumuamini? Ndugai amesema deni la taifa ni...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huyu kiongozi wa ACT-Wazalendo ni mkweli? Anadai Magufuli alituma watu wachome nyumba yake na shamba lake la mikorosho

Back
Top Bottom