mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atengua uamuzi wa Bunge, tamasha la Nyege Nyege Kufanyika Uganda, Jinja

    Waziri Mkuu wa Uganda ametengua Uamuzi wa Bunge la Uganda kusitisha Tamasha la Nyege Nyege Uganda, Jinja. Waziri Mkuu Rabina Nabbaya ameruhusu Tamasha hilo lifanyike -Sababu moja kuu ni kuwa Wageni kutoka nje ya Nchi tayari wameshalipia tiketi zao na hivyo basi Tamasha liendelee. Wabongo wamo...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Aibu! John Heche adai mkuu wa wilaya Nyamagana anachangisha 10k kila mzazi kujenga madarasa

    Kupitia account yake ya Twitter, Heche anasema mkuu wa wilaya ya Nyamgana, Mwanza kaamrisha wazazi wenye watoto shule za Mongela na mlimani kulipa tshs 10,000 kila mmoja kwa ajili ya ujenzi wa madarasa. Tuseme tu ukweli kama nchi tushafeli ni propaganda kutwa na kufanyana wajinga tu. Haya huyo...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

    Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri. Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million. Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema...
  5. JamiiForums Tanzania Uwaziri Mkuu waitesa CCM

    Gazeti la Raia Mwema toleo la leo Septemba 10, 2022 limeandika uwaziri mkuu waitesa CCM. Hii taarifa ina maana gani?
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO UTUMISHI, Kuvuja kwa mitihani ya oral interviews Chemist II(Forensic science & toxicology Posts), Mwajiri Maabara ya Mkemia Mkuu (GCLA)

    Kichwa cha mada chahusika hapo juu. Usaili wa mahojiano wa nafasi tajwa hapo uliofanyika leo tarehe 08/09/2022 umegubikwa na vitendo vya udanganyifu. Maswali yote sita ya nafasi tajwa juu hapo yamevujishwa na baadhi ya maofisa wa sekretarieti ya utumishi wa umma kwa kushirikiana na viongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Simba yamtangaza Juma Mgunda kuwa Kocha Mkuu wa muda

  8. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu UVCCM, Kenani Kihongosi kusikiliza changamoto za vijana tarehe 8 Septemba, 2022

    UVCCM_ TAIFA KESHO SEPT. 08, 2022 UPANGA, DAR ES SALAAM Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi atasikiliza Changamoto na Maoni kutoka kwa Vijana kesho 08/09/2022 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu UVCCM, Upanga kuanzia saa 6:00 Mchana. VIJANA WOTE MNAKARIBISHWA #AlipoMamaVijanaTupo...
  9. JamiiForums Tanzania Ajabu ya uteuzi wa Waziri Mkuu wa Uingereza

    AJABU YA UTEUZI WA WAZIRI MKUU UINGEREZA 🇬🇧 Na JumaKilumbi, 05.09.2022 Uingereza ni nchi ya kidemokrasia, Demokrasia iliyokomaa hasa, ila ina Malkia mwenye mamlaka ambayo huizidi katiba kwa sehemu. Kuna mengi ya kuuliza kuhusu ‘Demokrasia’ yao ila leo tuzungumze kuhusu kupatikana kwa Waziri...
  10. JamiiForums Tanzania Burundi: Rais amfuta kazi Waziri Mkuu, Waziri wa Usalama kuchukua nafasi yake

    Rais Evariste Ndayishimiye amewafuta kazi Waziri Mkuu Alain Bunyoni na Msaidizi wake Mkuu bila ya kutoa sababu za hatua hiyo baada ya hotuba ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi ya Serikali yake hivi karibuni Katika kikao cha dharura, Wabunge waliidhinisha Uteuzi wa Waziri wa Usalama...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwako Mzee Kinana; Kama kweli mmedhamiria kupambana na rushwa kwenye chaguzi za CCM basi anzeni na Kihongosi Katibu mkuu wa UVCCM

    Haya nitakayoandika hapa natamani yafike mezani kwako kupitia jukwaa hili au nitaandika kwa kirefu na kukufikishia ofisini kwako na lengo la kufanya hivi ni zuri kabisa natumaini litapokelewa kwa mikono miwili. Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kulijalia...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kwa utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia naanza kuziona dalili za upinzani kutafuta visingizio vya kumkimbia na kumkwepa katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Ndugu zangu hivyo ndivyo hali halisi ilivyo, kwasasa upinzani umefika hatua hauelewi ushike lipi na uache lipi, uongee nini na usimame na lipi, ubebe lipi na uache lipi, utembee na lipi na usimame na lipi. Imefika hatua hata kuaminiana wao kwa wao wameacha, maana kila mtu anahisi mwenzie...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asisitiza uadilifu kwenye Ujenzi wa Mji wa Serikali

    Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Waziri Mkuu Asisitiza Uadilifu Ujenzi Mji wa Serikali Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali wahakikishe wanazingatia uadilifu katika matumizi ya fedha ili uweze kukamilika...
  14. JamiiForums Tanzania Uingereza: Liz Truss achaguliwa kuwa Waziri Mkuu

    Graham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative ambao si Mawaziri wa Serikali amemtangaza Truss kuwa mrithi wa Boris Johnson aliyelazimika kujiuzulu baada ya shinikizo la Mawaziri waliodai kutokuwa na imani naye. Matokeo hayo yametokana na Kura za wanachama wa...
  15. JamiiForums Tanzania James Mbatia amtembela Majaliwa ofisi ndogo ya waziri mkuu Magogoni

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Ndugu. James Mbatia, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Septemba 2, 2022.
  16. JamiiForums Tanzania Bomu laripuka kwenye msikiti kule Afghanistan na kuua mkuu wa dini na waumini wengine

    Hawa nao sijawahi kuelewa sababu zao za kulipuana huko Afghanistan wakati wote dini moja.... At least one cleric and several civilians have been reported killed in the city of Herat, despite Taliban claims they have improved security. An explosion rocked the Guzargah mosque in the city of Herat...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mwanasheria Mkuu apinga madai ya Chebukati kushinikizwa kubadili Matokeo

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Paul Kihara Kariuki amepinga madai ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati kuwa Maafisa Wakuu Serikalini ambao ni Wajumbe wa Baraza la Usalama la Taifa walijaribu kumshinikiza kutomtangaza William Ruto kuwa Rais Mteule. Mwanasheria Mkuu pia...
  18. JamiiForums Tanzania Ni nani atamtibu mgonjwa? Mganga Mkuu naye analalamika eti madaktari nao wanaumwa

    Mechi ishakuwa ngumu, tayari tumeshafungwa na wachezaji wanafanya makosa ila hawataki tuwazomee wakikosea! Ati tukiwasema hatuna adabu na tayari tushafungwa 2 - 0. Mganga Mkuu analalamika, anasema eti mlundikano wa wagonjwa mawodini ni kwa sababu madokta nao wanaumwa! Kwa hiyo hakuna wa...
  19. JamiiForums Tanzania Malaysia: Waziri Mkuu wa zamani alazwa baada ya kukutwa na UVIKO-19

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa zamani Mahathir Mohamad imethibitisha kuwa kiongozi huyo amekutwa na maambukizi hayo na leo asubuhi amelazwa katika Taasisi ya Kitaifa ya Moyo kwa uchunguzi kama ilivyoshauriwa na timu ya Madaktari Mahathir mwenye umri wa miaka 97 tayari amepata Chanjo dhidi ya virusi...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Jaji Mkuu ataja Hoja 9 zitakazoamua mustakabali wa Urais wa Ruto

    Hoja hizo zilizotajwa na Martha Koome, zitaamua Uhalali au Ubatili wa Matokeo ya Urais ni:- 1. Iwapo Teknolojia iliyotumiwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC) kwenye Uchaguzi Mkuu ilifikia viwango vya Uadilifu, Uthibitisho, Usalama na Uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…