mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema amewasili New york kwa ajili ya mkutano mkuu wa umoja wa mataifa

    Huyu ndio kiongozi anayejitambua 👇 With my wife Mutinta, we’ve arrived in New York for 77th Session of #UNGA   . While here, we will illustrate how #Zambia is determined to be an economic centre whose central focus is creating meaningful jobs & business opportunities for all. Thanks for your...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam ihamishiwe Posta, pale ilipo ni pa ovyo

    Serikali imehamia Dodoma, na jengo mengi ya serikali jijini DSM ni mapango ya popo. Kwanini serikali isitoe jengo hata moja tukapata ofisi ya RC yenye hadhi ya jiji bora kabisa East and Central Africa? Pale Ilala pa ovyo sana, parking hakuna, ukumbi wa mikutano mdogo, pako exposed sana.
  3. JamiiForums Tanzania Australia: Mtoto wa Waziri Mkuu asomewa mashitaka 17 Mahakamani

    Ratu Meli Bainimarama, 36, ambaye ni Mtoto pekee wa Waziri Mkuu wa Fiji, Frank Bainimarama anakabiliwa na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia alizofanya akiwa Nchini Australia. Ratu amefunguliwa mashitaka 17 ikiwa ni pamoja na kutukana, kushambulia, kukaba koo na kuharibu mali, matukio...
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Dar, hawa Panyaroad watakuharibia kazi..

    Habari wana JF.. Mkuu wa Mkoa wa Dar, fanya hima juu chini, futilia mbali hawa watoto wadogo wahuni watakuharibia kazi, sambaza vyombo vyako vya ulinzi vya mkoa, usiku na mchana, kama wiki nzima, kamata wote, sheria ichukue mkondo wake. Mh. Makala, nachokiona, ukichelewa kidogo tu, hawa...
  5. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Abbas anazungumza leo Septemba 16, 2022

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na MIchezo Dkt. Abbas anafunga kikao cha maudhui ya ndani leo Septemba 16, 2022 wakati wa Warsha ya Kuhamasisha Uandaaji, na Uzalishaji wa Maudhui ya Ndani iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo Waziri wa Habari na Mawasiliano...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

    Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni kauli ya vitisho visivyokuwa na msingi na ni kauli ambayo inakiuka Haki za Binadamu. Najua Mkuu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mjadala: Upinzani utaanzaje kujipanga kwa uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na hatimae uchaguzi mkuu wa uraisi wa 2025 ndani ya mazingira magumu?

    Lengo la mada hii ni kuona wale wapenda demokrasia na siasa za kweli wakijongea hapa na kushusha nondo na madini mbalimbali katika kufanya kitu chitwa "brain storming". Katika muktadha huo basi, tutaweza kuangalia sera za chama cha CCM ambacho ndicho chaongoza serikali ya Tanzania kwa sasa na...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu atengua uamuzi wa Bunge, tamasha la Nyege Nyege Kufanyika Uganda, Jinja

    Waziri Mkuu wa Uganda ametengua Uamuzi wa Bunge la Uganda kusitisha Tamasha la Nyege Nyege Uganda, Jinja. Waziri Mkuu Rabina Nabbaya ameruhusu Tamasha hilo lifanyike -Sababu moja kuu ni kuwa Wageni kutoka nje ya Nchi tayari wameshalipia tiketi zao na hivyo basi Tamasha liendelee. Wabongo wamo...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Aibu! John Heche adai mkuu wa wilaya Nyamagana anachangisha 10k kila mzazi kujenga madarasa

    Kupitia account yake ya Twitter, Heche anasema mkuu wa wilaya ya Nyamgana, Mwanza kaamrisha wazazi wenye watoto shule za Mongela na mlimani kulipa tshs 10,000 kila mmoja kwa ajili ya ujenzi wa madarasa. Tuseme tu ukweli kama nchi tushafeli ni propaganda kutwa na kufanyana wajinga tu. Haya huyo...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

    Kwa kawaida nakerwa sana viongzi kuongelea mambo ya kitaalam bila kutafuta ushauri. Hivi karibuni Mh. Waziri Mkuu alishangazwa kibanda cha Mlinzi katika mradi wa VETA huko Tabora kugharimu Ths 11 million. Mimi sikushangzwa na gharama lakini nilishangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa kusema...
  12. JamiiForums Tanzania Uwaziri Mkuu waitesa CCM

    Gazeti la Raia Mwema toleo la leo Septemba 10, 2022 limeandika uwaziri mkuu waitesa CCM. Hii taarifa ina maana gani?
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO UTUMISHI, Kuvuja kwa mitihani ya oral interviews Chemist II(Forensic science & toxicology Posts), Mwajiri Maabara ya Mkemia Mkuu (GCLA)

    Kichwa cha mada chahusika hapo juu. Usaili wa mahojiano wa nafasi tajwa hapo uliofanyika leo tarehe 08/09/2022 umegubikwa na vitendo vya udanganyifu. Maswali yote sita ya nafasi tajwa juu hapo yamevujishwa na baadhi ya maofisa wa sekretarieti ya utumishi wa umma kwa kushirikiana na viongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Simba yamtangaza Juma Mgunda kuwa Kocha Mkuu wa muda

  15. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu UVCCM, Kenani Kihongosi kusikiliza changamoto za vijana tarehe 8 Septemba, 2022

    UVCCM_ TAIFA KESHO SEPT. 08, 2022 UPANGA, DAR ES SALAAM Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi atasikiliza Changamoto na Maoni kutoka kwa Vijana kesho 08/09/2022 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu UVCCM, Upanga kuanzia saa 6:00 Mchana. VIJANA WOTE MNAKARIBISHWA #AlipoMamaVijanaTupo...
  16. JamiiForums Tanzania Ajabu ya uteuzi wa Waziri Mkuu wa Uingereza

    AJABU YA UTEUZI WA WAZIRI MKUU UINGEREZA 🇬🇧 Na JumaKilumbi, 05.09.2022 Uingereza ni nchi ya kidemokrasia, Demokrasia iliyokomaa hasa, ila ina Malkia mwenye mamlaka ambayo huizidi katiba kwa sehemu. Kuna mengi ya kuuliza kuhusu ‘Demokrasia’ yao ila leo tuzungumze kuhusu kupatikana kwa Waziri...
  17. JamiiForums Tanzania Burundi: Rais amfuta kazi Waziri Mkuu, Waziri wa Usalama kuchukua nafasi yake

    Rais Evariste Ndayishimiye amewafuta kazi Waziri Mkuu Alain Bunyoni na Msaidizi wake Mkuu bila ya kutoa sababu za hatua hiyo baada ya hotuba ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi ya Serikali yake hivi karibuni Katika kikao cha dharura, Wabunge waliidhinisha Uteuzi wa Waziri wa Usalama...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kwako Mzee Kinana; Kama kweli mmedhamiria kupambana na rushwa kwenye chaguzi za CCM basi anzeni na Kihongosi Katibu mkuu wa UVCCM

    Haya nitakayoandika hapa natamani yafike mezani kwako kupitia jukwaa hili au nitaandika kwa kirefu na kukufikishia ofisini kwako na lengo la kufanya hivi ni zuri kabisa natumaini litapokelewa kwa mikono miwili. Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kulijalia...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kwa utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia naanza kuziona dalili za upinzani kutafuta visingizio vya kumkimbia na kumkwepa katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Ndugu zangu hivyo ndivyo hali halisi ilivyo, kwasasa upinzani umefika hatua hauelewi ushike lipi na uache lipi, uongee nini na usimame na lipi, ubebe lipi na uache lipi, utembee na lipi na usimame na lipi. Imefika hatua hata kuaminiana wao kwa wao wameacha, maana kila mtu anahisi mwenzie...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asisitiza uadilifu kwenye Ujenzi wa Mji wa Serikali

    Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Waziri Mkuu Asisitiza Uadilifu Ujenzi Mji wa Serikali Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa ujenzi wa Mji wa Serikali wahakikishe wanazingatia uadilifu katika matumizi ya fedha ili uweze kukamilika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…