mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2017 imechangia kuongeza Trilioni 7.2 kwenye mfuko mkuu wa serikali kwa miaka 6

    Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo. Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

    Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo. Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aahidi kuwasomesha Watoto wa Abdulaziz Ahmeid, Mwandishi wa Habari wa Channel Ten aliyefariki

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameahidi kuendelea kuwasomesha Watoto wa aliyekuwa mwandishi wa Habari wa Channel Ten, Abdul -Aziz Ahmed ambaye amefariki Dunia Machi 13, 2023 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Majaliwa ametoa ahadi hiyo wakati wa ibada ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naibu katibu mkuu fedha azipongeza TIRA na benki ya CRDB uanzishwaji wa akaunti ya dhamana ya bima

    Dar es Salaam 16 Machi 2023 – Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima (TIRA), pamoja na Benki ya CRDB kwa kutekeleza mchakato wa uanzishwaji wa Akaunti ya Dhamana ya Bima (Trust Account). Mafuru ametoa pongezi hizo wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Mkutano mkuu wa chama cha walimu Tanga na sakata la rushwa

    Chama cha walimu Tanzania kinafanya mkutano wake mkuu tarehe 17 Machi 2023 Jijini Tanga haya yakiwa ni maamuzi ya mkutano mkuu wa kikatiba uliofanyika Disemba 2022. Pamoja na mambo mengine lengo ni kumchagua naibu katibu mkuu baada ya aliyekuwa naibu katibu mkuu Japhet Maganga kupandishwa ngazi...
  6. JamiiForums Tanzania HOJA: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya

    Hoja: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya. Katika Katiba Mpya, Nafikiri kuna umuhimu kufanya mageuzi ya muundo wa utawala na uongozi wa kisiasa nchini. Mbunge wa kuchaguliwa, awe ni Mkuu wa serikali katika Wilaya, aongoze kuanzia baraza la Usalama Wilaya, (Kamati ya ulinzi na Usalama)...
  7. JamiiForums Tanzania Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

    Wanabodi Declaration of Interest Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only. JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awataka vijana na wanawake kuchangamkia programu ya Imbeju ya benki ya CRDB

    Dar es Salaam 12 Machi 2023 – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ametoa rai kwa vijana na wanawake kote nchini kuchangamkia programu ya uwezeshaji kiuchumi iliyozinduliwa na Benki ya CRDB kwa kushirikiana na Tume ya TEHAMA (ICTC), na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuboresha bunifu zao za...
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya awataka Polisi kuwakamata Waganga wapiga ramli chonganishi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Comrade Juma Zuberi Homera amewataka makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe kushirikiana katika kuzuia na kudhibiti biashara haramu ya usafirishaji binadamu katika mikoa yao. Homera ameyasema hayo wakati akifungua...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Waziri mkuu, vijana wa TAESA wanateseka toka January hawajapokea mshahara, tusaidieni jamani

    Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti...
  11. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu ambaye hajajishughulisha kuhakikisha Serikali inakuwa na taasisi imara, ilibaki na hali ilivyo (status quo)

    Waziri Mkuu Khasim Majaliwa, baadhi ya wanaomjua, bila mamlaka ya kufokafoka kama aliyopewa na Magufuli, uongozi ni changamoto kwake. Sasa kwa awamu hii, ni mifumo ndio inatakiwa kuwa na nguvu, ndio maana Rais Samia anasuka mifumo ya haki jinai. Sasa mifumo ya haki jinai itapunguza nguvu ya wale...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi. Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi. Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amualika nabii mkuu Geodavie Ikulu ndogo ya Arusha na kumpongeza

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa kutoa milion 100 pale Samunge. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kanisani kwake jana, Nabii mkuu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Chadema, Ndugu ACT Wazalendo amesema kuwa Chadema imepokea ruzuku!

    Inaweza kuwa sahihi, Basi Bwana ACT Wazalendo alete ushahidi usio na mashaka kama payment voucher, cheque iliyolipa hizo hela, acceptance by Chadema official, bank statements and the like! Siyo nembo ya Bwana ACT Wazalendo na maandishi! Erythrocyte
  15. JamiiForums Tanzania Kamanda wa mkuu wa Jeshi la nchi kavu Ukraine, aitembelea Bakhmut

    Japo kamji kenyewe ka chumvi na hakana maana yoyote, lakini kwa namna Warusi wamejitoa mhanga ili kukateka, imeibua maswali, maana wanajeshi wa Urusi wanapukutika kwa mamia kila siku ila bado wanataka hako kamji, mkuu wa jeshi la nchi kavu amezuru ili kuandaa mikakati ya kuendelea kuua...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Mtaturu - Ikungi yatekeleza agizo la Katibu mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwa 100%

    Maji ni Uhai hatimaye Wananchi wa kitongoji cha Songoloji wapata huduma ya Maji baada ya maagizo ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo alipofanya ziara yake tarehe Februari 28, 2023 na wananchi wa Shina namba 13 walimwelezea kero ya ukosefu wa huduma ya maji ambapo...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi adai machafuko ya M23 yatavuruga Uchaguzi Mkuu Congo

    JF SUMMARY Rais #FelixTshisekedi ameliambia Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (OHCHR) kuwa Vita inayoendelea Mashariki mwa DRC inahatarisha mchakato wa Uchaguzi wa Desemba 20, 2023 kutokana Watu wengi kuyakimbia makazi huku Tume ikishindwa kuyafikia baadhi ya maeneo. Tume ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa anabaniwa publicity na mfumo wa dola (TBC1 hairushi matukio yake mubashara lakini ya Waziri Mbarawa yanarushwa live)

    Kwa wiki kadhaa nimekuwa nikifuatilia chombo chetu cha habari cha Taifa TBC1 na kwa mtu mwenye akili timamu atagundua kuna namna fulani ya kumbania Waziri Mkuu wetu publicity. Wiki iliyopita alikuwa na ziara ya kikazi mkoani Songwe na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo lakini matukio...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Karibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu

    Habari wana JF, Naomba nijikite kwenye mada husika. Binafsi nampongeza mheshimiwa Rais kwa kukuteua Profesa Caroline kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu. Ukiwa mtendaji mkuu wa wizara nakuomba sana utizame yafuatayo kwa kina. 1. Mapitio ya sera ya Elimu. 2. Mapitio ya mitaala kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Mkuu wa mkoa mpya wa Songwe, Francis Kasavubu Michael ni Mtanzania? Niliposikia jina hili wakati yupo katibu Wizara ya sayansi nilijiuliza hili swali ni Mtanzania? Mbona jina kama Mcongo au mrundi?... Kuna anaemjua vizuri hapa JF?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…