Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.
Naomba niulize, mimi kama mlipa Kodi siwezi kumuagiza Kiongozi yoyote afanye jambo ambalo ni faida kwa wananchi? Kama atafanya au kutofanya hilo ni suala jingine.
Sasa kama jamii ni vema kutumia rasilimali muda kujiuliza kwanini fulani amemuagiza Mtumishi wa Umma afanye hiki au kile au...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakina shaka na utendaji kazi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwakuwa ni kiongozi Mchapakazi na Mtiifu.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Paul Makonda amesema hayo leo Alhamisi, November 02, 2023 alipokwenda ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni...
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, leo Bungeni ijini Dodoma alisimama kutoa taarifa kuhusu kuidhinishwa kwa sera ya elimu na mafunzo ya Elimu 2014 toleo la 2023, amesema sera ya Elimu na mafunzo imefanyiwa mabadiliko kwenye maeneo kadhaa kulinganisha na sera iliyopita na maeneo hayo...
Waungwana wa JF nawasalimu,
Nimesoma, nimesikia na kuona kuwa Katibu wa Halmashauri ya Taifa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda akitoa maagizo kwa Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa na kumapa miezi sita kuyatekeleza. Makonda alitoa maagizo hayo aliyoyasema kuwa ni ya chama (CCM) huko...
Wanabodi
Leo ni Alhamisi, nakuletea Live kutoka Bunge TV kupitia TBC, Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Leo, ambaye jana amefanywa ni Bwana mdogo, kwa kupewa amri na Bwana mkubwa mmoja.
Spika ametangaza Waziri Mkuu hatapokea maswali, atatangaza jambo mahsusi
Waziri Mkuu...
Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na;
Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi.
Kueneza na kufafanua...
ccm
hapo
hizi
itikadi
katibu
katibu mwenezi
kazi
maelekezo
majaliwa
makonda
mh. majaliwa
mkubwa
mkuu
mpya
mwenezi
nani
nyuma
paul makonda
safari
taifa
uenezi
waziri
waziri mkuu
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM , Paulo Makonda , ametoa muda kama ule iliyopewa TANESCO wa miezi 6 kwa Kassim Majaliwa , ili ahakikishe migogoro ya Ardhi inamalizika Tanzania .
Bado haijajulikana Mamlaka hasa ya Katibu huyo, wala sababu za kumuandama Waziri Mkuu badala ya Waziiri wa Ardhi ...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imefanikiwa kushika nafasi ya nne barani Afrika kwenye masuala ya usalama wa anga kwa kupata alama 86.7 ikitanguliwa na Nigeria, Kenya na Ivory Coast katika ukaguzi uliofanyika Mei, 2023.
“Kwenye ukaguzi mwingine wa uwezo wa nchi kiusalama uliofanywa...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi, amesema utiaji saini Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji na Uendeshaji wa sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam, baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kampuni ya DP World ya Dubai kwenye hafla...
Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita amefunga Safari kwenda China kujifunza namna ya kuendesha mji huo, jambo ambalo limeleta maswali mengi kwa wananchi kwa matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi ambao kimsingi ndio wananchi.
Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Cornell Magembe ameiagiza...
Salaamu kwako Mheshimiwa Rais
Mheshimiwa Rais, nianze kwa kusema kuwa mimi raia wa Tanzania, nina heshima kubwa kwa Jeshi letu la wananchi. Kazi waliyoifanya kwa miaka zaidi ya 60 ya ulinzi wa Taifa letu ni njema sana, kwa kweli imekuwa msingi na nguzo kuu ya amani na utulivu wa wa Taifa letu...
Katika kura zilizopigwa, siku ya jana katika mkutano mkuu wa UN zilionesha Tanzania 🇹🇿 imepiga kura ya Kupinga Vita ya Israel na Gaza, na pia kura hiyo inataka Misaada iruhusiwe kuingia GAZA.
Nchi 120 zilipiga kura kupinga Vita ya Israel na Gaza, kutaka yawepo mazungumzo na pia kusisitiza...
Kwanza, ninampongeza sana Spika Dkt.Tulia kwa ushindi wa kishindo kama Rais wa IPU, kama Taifa linajivunia juhudi na jitihada zake za kuitangaza nchi kimataifa.
Spika Tulia au tumuite Rais wa IPU ni jasiri na mpambanaji na historia yake inajieleza vema. Kwa ufupi ni mwanamke wa shoka na yuko...
Hali inazidi kuwa mbaya kwa wafuasi wa iblis
Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako...
Habari!
Kila ninapojaribu kuangalia ilani ya chama na vipaumbele vya CCM (2020-25),nakuwa hopeless kabisa inaonekana behaviour approach is most likely katika chama hiki kikongwe nikipendacho kuliko preferences ambazo zilikuwa manifested kipindi cha uchaguzi ambapo RAIS MAGUFULi(party manifesto)...
Katika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.
Kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya Hamas nchini Israel amiri wa Qattar ameitahadharisha jumuiya ya kimataifa kuwa isiendelee kuiacha Israel iuwe watu kama inavyopenda huko Gaza.
Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani aliyasema hayo mapema leo alipokuwa akifungua kikao cha baraza la shura la nchi...
Hivi itakuwaje mtu ambaye alikuwa kilaza na mshika mkia darasani kwenu akuongoze wewe? Hiki ndicho kilichotokea baada ya mkuu wa mkoa hapa mkoani kwetu kuchaguliwa au kuteuliwa wakati yeye alikuwa kilaza wa kufa mtu darasani kwetu na yeye alikuwa anatokea mostly kumi mbaya za mwisho kuteuliwa...