mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine. Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
  2. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

    Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mh. Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani. "Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema.
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ahadi uliyoahidi kwa Young Scientists wa Tanzania wanakuomba uitekeleze

    Nimemsikiliza huyu mwanasayansi kijana anayelipwa Shilingi laki mbili kwa siku akikumbushia WAZIRI MKUU ahadi aliyoahidi young scientists wa Tanzania kuwa aitekeleze.
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha kuwepo mlipuko wa Ugonjwa wowote kata ya Ifumbo, Mbeya. Wizara ya Afya kuichukulia hatua ITV

    Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Chunya, Dkt. Felista Kisandu kupisha uchunguzi kwa madai ya kutoa taarifa zisizo sahihi za ugonjwa usiofahamika. Amesema hata kama ugonjwa huo ungekuwepo waziri ndiye anatakiwa kutoa taarifa. Zaidi, soma...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Jiji limekushinda, Jitafakari! Ni pachafu sana

    Wakuu, John Mongella kawa mkuu wa mkoa wa Mwanza kwa muda sasa, lakini cha ajabu hakuna jipya lolote aliloonyesha hususa ni Mwanza jiji ambapo ndio kioo cha Mkoa mzima wa Mwanza. Jiji la Mwanza kwa sasa lipo hovyo hovyo sana halina mpangilio wowote ukilinganisha na lilivyokua kipindi cha...
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa ameteuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Balozi wa Vatican katika Visiwa vya Cook, Fiji, Nauru mpaka New Zealand

    2 Februari 2021, wakati wa Sikukuu ya kutolewa Bwana Hekaluni Baba Mtakatifu Francisko almteuwa Askofu mkuu Novatus Rugambwa kuwa Balozi mpya wa Vatican kwenye Kisiwa cha Cook. Ataendelea pia kuwa Balozi wa Vatican kwenye Visiwa vya Marshall, Kiribati, Nauru na Tonga. Amebarikiwa pia kuwa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Hanje amuomba Rais Magufuli kuzifuta kesi za uchaguzi mkuu 2020

    Mbunge wa viti maalum, Nusrat Hanje amemuomba Rais John Magufuli kuzifuta kesi zote zinazohusu uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, 2020 ili wananchi wafanye shughuli za kuijenga nchi. Hanje ni miongoni mwa wanawake 19 waliovuliwa Uanachama wa Chadema baada ya kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalum bila...
  8. JamiiForums Tanzania Baraza la kwanza la Mawaziri, Mwalimu Nyerere akiwa Waziri Mkuu

    HILI NDILO BARAZA LA MAWAZIRI LA KWANZA KABISA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA BAADA YA KUPATA UHURU MWAKA 1961. Baraza hilo lilikuwa na Waafrika 8, Wazungu 2 na Mhindi 1, Jumla Mawaziri walikuwa 11. Siku hiyo ya uhuru ilipigwa picha ya Baraza hilo la Mawaziri. Katika picha hiyo, anakosekana Sir...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 na bao la mkono alilopiga Halima Mdee isiwe sababu ya kuponda siasa za Bongo

    Mmegeuka kama watoto wadogo kwenye game la siasa za Bongo. Kila kukicha mnaleta stori za ajabu kuwa uchaguzi uliopita mlibagazwa sababu kulikuwa na faulo. Lakini hamtaki kuweka ukweli kuwa CHADEMA ilikuwa imekataliwa na Watanzania toka mwaka 2015 baada ya kufanya utapeli na kumpa ridhaa Edward...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Head Master wa Bwiru Boys, Elias Kaboja afariki dunia

    Habari wanajukwaa, Shule kongwe ya ufundi ya Bwiru boys imepoteza mwalimu wake mkuu, mwalimu Elias Kaboja. Taarifa zinadai Mwalimu Kaboja alienda kumsalimu mwalimu wake hospitali ya Bugando na alipotoka naye akaugua na alipopelekwa hospitali hakuweza kurejea tena nyumbani.
  11. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa DRC, Sylvestre Ilunga ajiuzulu

    Sylvestre Ilunga Ilunkamba amejiuzulu rasmi kama waziri mkuu wa Jamuhuri ya kisemokrasi ya Congo, na kuwasilisha barua yake kwa Rais Félix Tshisekedi. Bw Ilunga, ambaye ni mshirika mkuu wa mtangulizi wa Rais Tshisekedi, Joseph Kabila, ameongoza baraza la mawaziri la serikali ya Muungano kwa...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi Richard Mariki, Katibu Mkuu mstaafu KKKT Afariki dunia

    Balozi Richard Mariki amefariki Jumapili iliyopita. Amesumbuliwa na changamoto ya kupumua kwa muda mfupi. Anakumbukwa kwa ustaarabu wake na alikuwa muumini pale Mbezi Beach KKKT.
  13. JamiiForums Tanzania Askofu mkuu Ruwa'ichi anasema corona bado ipo, amesihi tuendelee kuvaa barakoa, tunawe mikono, tufuate kanuni za afya

    Askofu mkuu wa jimbo katoliki la Dar es Salaam amewasihi waumini kufuata taratibu za kisayansi kupambana na corona. Askofu ameomba tusaidiane na Mungu kupambana na corona. Askofu amesisitiza kuwa corona bado ipo na kuwasihi waumini waendelee kuvaa baracoa, kunawa mikono na maji tiririka pamoja...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Idara ya Uchumi Chuo cha Diplomasia, Dkt. Ahmed Mtengwa afariki dunia

    Habari kwenu ndugu zangu. Aliyekuwa mkuu wa Idara ya Uchumi wa Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam amefariki Dunia mapema leo. Dkt. Mtengwa alifariki katika hospital ya Muhimbili alipokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mfupi. Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwao Masaki DSM...
  15. JamiiForums Tanzania DAWASCO Kimara fungueni Maji, Hali ni Mbaya

    Habari wanabodi, kama Kuna mtu anamfaham Meneja wa DAWASCO Kimara, tafadhali amjulishe kuwa afungue maji mchana huu kwani Hali huku mtaani ni Mbaya Sana. Siku ya 4 leo inaenda maji hakuna, na hata watu wanaouza toka kwenye matanki yao wameishiwa maji, hivyo, Hali sio ya mchezo kabisa. Kuna...
  16. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gregory Teu aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mbunge wa Mpwapwa, afariki dunia

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mpwapwa 2010- 2015 , Naibu waziri wa fedha, Naibu waziri wa viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali katika serikali ya awamu ya nne na mwenyekiti wa bodi ya KADCO Mh. Gregory Teu afariki Dunia leo hii. Taarifa zaidi: Mpwapwa. Mbunge wa zamani wa Mpwapwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Magereza nchini Uingereza wamejiwa juu kwa ufisadi kwa kuwanunulia wafungwa TV za flat Screen

    Mzuka wanajamvi! Wakuu wa Magereza nchini Uingereza wamejiwa juu kwa ubadhirifu na kuchezea hela ya walipa kodi kwa kuwanunulia wafungwa TV za flat Screen. Maboss hao wa Magereza waliwanunulia kila mfungwa jumla ya Tv 120,037 moja ikigharimu 96 pounds kati ya February 2017 hadi December 2020...
  18. JamiiForums Tanzania Mongolia: Waziri Mkuu na Waziri wa Afya wajiuzulu baada ya Maandamano makubwa kufanyika

    Waziri Mkuu wa Mongolia Khurelsukh Ukhnaa amewasilisha barua ya kujiuzulu mbele ya Bunge leo kufuatia maandamano ya umma kulaani jinsi serikali yake inavyoshughulika janga la virusi vya Corona. Shirika la Habari la Taifa limeripoti kuwa Ukhnaa amesema anachukua uamuzi huo kama sehemu ya...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga afariki Dunia

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu. Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga alistaafu mwezi Julai, mwaka 2020 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
  20. JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi yafanya uchaguzi wa viongozi Kitaifa. Martha Chiomba awa Katibu Mkuu, Anthony Komu awa Naibu Katibu Mkuu Bara

    Tarehe 16 Januari, 2021 siku ya Jumamosi chama kilifanya Kikao cha Halmshauri kuu ya Taifa kwenye ukumbi wa msimbazi Center, Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kilikuwa na ajenda kuu 2 Kufanya tathimini ya uchaguzi wa mwaka 2020 Kujaza nafasi zilizo wazi ndani ya chama. Kwa mujibu wa katiba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…