Wakuu wa Magereza nchini Uingereza wamejiwa juu kwa ufisadi kwa kuwanunulia wafungwa TV za flat Screen

Jon Stephano

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
5,402
2,000
Mzuka wanajamvi!

Wakuu wa Magereza nchini Uingereza wamejiwa juu kwa ubadhirifu na kuchezea hela ya walipa kodi kwa kuwanunulia wafungwa TV za flat Screen.

Maboss hao wa Magereza waliwanunulia kila mfungwa jumla ya Tv 120,037 moja ikigharimu 96 pounds kati ya February 2017 hadi December 2020 zilizogharimu kwa jumla million 12.5 sterling pounds.

'It is just another slap in the face for victims who think those behind bars should be punished and not handed out treats.' mwanachi mmoja alilalamika.

Msemaji wa jeshi la Magereza alitetea Tv hizo kununuliwa kwani utaratibu ulifuatwa na kudai mfungwa yeyote anayekosa nidhamu Tv zinang'olewa.

Aidha msemaji huyo alizidi kuwaelimisha walipa kodi wenye hasira licha ya kila mfungwa kupewa Tv flat screen pia upewa 'pocket money', vifaa na nguo za michezo pamoja na vifaa vya Garden.

Source gazeti la The Sun

37748046-0-image-m-79_1610069506201.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom