mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yanga SC yavunja benchi lake la ufundi na kuachana na Kocha Mkuu, Cedric Kaze

    Taarifa Rasmi Kutoka Yanga ni Kuwa wameamua Kuachana Na Kocha Wao Mkuu: Pamoja na Benchi Lote la Ufundi.
  2. JamiiForums Tanzania Mfikishieni salamu mkuu wa mkoa (RC) Singida

    Naandika kwa masikitiko sana, Mimi ni mwenyeji wa Singida ila kishughuli naishi Dar es salaam najishughulisha na shughuli za ulinzi binafsi (bodyguard) hivyo huwa tunazunguka na wateja wangu sehemu mbalimbali (wanamuziki, wafanyabiashara, wanamichezo, wanasiasa nk). Moja ya sehemu...
  3. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

    Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi. Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa. Wote Mnakaribishwa.
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

    Habari za wakati huu wanachama wa jamiiforums Baada ya kuapishwa kuwa katibu mkuu kiongozi, mzee Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana wetu sisi waafrika. He was supposed to go and condole the family of his predecessor. Nina imani kubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Okonjo-Iweala aanza kazi rasmi kama Mkuu wa Shirika la Biashara duniani

    Dkt Okonjo -Iwela ambaye ni waziri wa zamani wa fedha na mambo ya nje wa Nigeria, ni mwanamke wa kwanza wa Afrika kuongoza WTO. Ngozi Okonjo-Iweala amesema kipaumbele chake ni kushughulikia masuala ya afya na athari za kiuchumi zinazotokana na majanga. Kuna wasiwasi huko Washington na miji...
  6. JamiiForums Tanzania RC Chalamila ajibu madai ya Hospitali za Mbeya kujaa wagonjwa

    RC Mbeya, Albert Chalamila akiwa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Konde kwenye Uzinduzi wa Ofisi Kuu ya Dayosisi na Kanisa Kuu amenena haya kuhusu hospitali mkoani humo kujaa wagonjwa “Wapo Watu wanatishia Watu wanasema Mahospitalini huko kumejaa sana wagonjwa, Serikali ijenge Vituo vya Afya kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu mpya wa CCM: Mwendo wa kupandishwa vyeo, wapya wataharibu 'formula'

    Pamoja na ramli zote zinazopigwa kwenye uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, taarifa za ndani ya chama zinaanika wazi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM atakuwa ni Komredi Rodrick Mpogolo ambaye kwasasa ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara. Uteuzi wake ambao utafanyika wakati wowote kuanzia juma...
  8. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM utaoshangaza wengi ni huu..

    M. M. Mwanakijiji. Yes, I said it. M.M. Mwanakijiji ateuliwe kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM. By the way, to those of you in Rio Linda [hapa najua Mwanakijiji anajua nazungumzia nini😁], those 2 Ms stand for ‘Mimi Mzee’. Imagine you wake up on Monday morning and you hear news come over the wire...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Urais wa Kasim Majaliwa 2025 umempa Ukatibu Mkuu Kiongozi Dk. Bashiru Ally

    Wanabodi tuwe tunaweka kumbukumbu pamoja na kusoma "between the lines" anapoandika mtu uzi wake. Tuongeze uwezo wa kutafakari na kudadisi ili kupata faida kuepuka ramli. Siku za hivi karibuni nikiandika uzi humu ndani nikieleza kuwa Urais wa Kassim Majaliwa unasukwa na SG wa CCM Dk. Bashiru...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana watano (below 40 years) wanaofaa kwa nafasi ya Katibu Mkuu CCM taifa

    Leo nitawaongelea vijana watano (5) Wenye Umri chini ya Miaka 40 ambao naamini wanafaa kwa nafas hii kubwa kabisa nchini. Nimeona nijadili vijana kwa sababu utawala wa JPM umejielekeza zaidi katika kujenga Taifa imara kiuchumi na vijana ndio nguvu kazi ya Taifa. Inawezekana wasipate lakini...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya ateuliwa kuwa Katibu Mkuu EAC, huku naye Rais Uhuru akichukua uenyekiti

    Binafsi huwa sina imani kwenye huu usanii wa hiki kitu tunaita EAC, lakini wacha tuone mwisho wake.... pia naona sarafu ya pamoja ipo kwenye hatua za mwsho kutekelezeka The chairman of the EAC Heads of State, Rwandan President Paul Kagame has announced Dr Peter Mathuki from Kenya as the new...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Peter Mathuki Atangazwa Kuwa Katibu Mkuu Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Paul Kagame amemtangaza Dkt. Peter Mathuki kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Mathuki ambaye ni mkenya ni mtaalamu wa Uchangamano wa Kikanda, pia aliwahi kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki (EALA) ambapo alikuwa mwenyekiti wa kamati ya...
  13. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

    Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ? Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?
  14. J

    JamiiForums Tanzania IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

    Rais Magufuli leo saa 3.00 asubuhi ananamuapisha Katibu mkuu kiongozi mteule Dr Bashiru Ally. Tukio hili muhimu litakuwa mubashara katika luninga zote za ndani zikiwemo Upendo tv, ITV, TBC, Channel ten, Star tv nk Karibu. Updates: Rais Magufuli ameshaingia ukumbini na Dr Bashiru anakula...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Martin Shigella Katibu mkuu CCM, Mwanri kuwa RC Tanga

    Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro. Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea Shigella anakijua sana chama chetu. Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dkt. Bashiru kupewa Ukatibu Mkuu Kiongozi,mkakati wa kumnyamazisha dhidi ya kuongeza muda wa Urais?

    Wanabodi,wengi watakua wameshtushwa na uteuzi wa Dr. Bashiru ambae ni Katibu Mkuu wa CCM kupewa wadhifa wa Katibu Mkuu Kiongozi,ila sidhani kama jambo hili limefanyika kwa bahati mbaya!!! Kabla ya yote naomba turejee sakata la raisi Magufuli kutajwa tajwa kuwa yupo mbioni kubadili katiba(haswa...
  17. JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa sababu moja kubwa

    Napongeza uteuzi wa Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi kwa sababu moja. Nilipokuwa mhadhiri wa business administration mahali nilifundisha sana juu ya teamwork. Kuna nadharia nyingi. Lkn pointi kuu ni kwamba kama unataka timu nzuri ya mpira unahitaji watu 11 wenye vipaji tofauti na...
  18. JamiiForums Tanzania Magufuli kama Nebukadneza Mkuu wa Dola ya Babeli

    Mwaka 2015 niliandika habari iliyochapishwa na Gazeti la TAZAMA “Magufuli kama Nebukadneza mkuu wa dola ya Babeli” nairudia tena baada ya kusoma Gazeti la RAIA MWEMA. Mwandishi MWANA KIJIJI ameandika “sababu zilizowafanya mitume 11 wasimfuate Yesu majini” Amemshambulia sana Rais Magufuli. 1...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale

    Salaam, Juzi umepokea hundi yenye thamani zaidi ya 700ml. Kutoka kampuni yenye migodi ya Buzwagi na Kakola ya Twiga Baricck Gold Mine. Ni fedha nyingi hizo pamoja na fedha zingine unazokusanya katika vyanzo vyako vya mapato. Ushauri wangu kwako, najua una changamoto nyingi katika wilaya...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

    Waziri Mkuu naomba nikumbushe suala la stendi mpya. Mara ya mwisho unafika Songea ulikuta mgogoro wa stendi mpya iliyojengwa kilo mita 20 mbali na mji. Ulipokuwa Songea uliagiza mkuu wa mkoa na watendaji wa serikali wakae na wadau wa usafirishaji wajadili changamoto na waweze kuzitatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…