mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awataka Wananchi kujilinda na Magonjwa kwa kunawa mikono na kuvaa Barakoa

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Watanzania wana jukumu kubwa la kumuenzi Balozi John Kijazi kwa kutenda yale yote mema aliyokuwa akitenda. Aidha, amesema jukumu jingine ni kuendelea kuiombea familia yake, hasa katika kipindi hiki kigumu. Akitoa salamu za serikali kwenye mazishi ya Balozi...
  2. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ni nini kazi ya Katibu Mkuu Kiongozi?

    Katibu mkuu kiongozi anafanya kazi gani? Kuna umuhimu wa mtu kuwepo kufanya kazi hiyo?
  3. KISHINDO

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu. Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia. Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo. Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aongoza msafara wa kupokea mwili wa Balozi Kijazi

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 18, 2021 ameongoza mapokezi ya mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali wailoshiriki katika...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Georgia: Waziri Mkuu ajiuzulu akipinga kukamatwa kwa Kiongozi Mkuu wa Upinzani

    Waziri Mkuu wa Georgia amejiuzulu leo kufuatia mpango wa kumkamata kiongozi mmoja mkuu wa upinzani. Giorgi Gakharia amesema kukamatwa kwa kiongozi huyo Nika Melia, huenda kukauzidisha mzozo wa kisiasa katika nchi hiyo ya zamani ya Sovieti. Hapo jana mahakama moja ya Georgia ilitoa uamuzi wa...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nachingwea: Mwalimu Mkuu na Afisa Elimu wapewa siku 3 kujieleza kwa kukwamisha ujenzi wa Bweni tangu 2017

    Naibu waziri wa ofisi ya Rais TAMISEMI David Silinde amewaagiza kuandika maelezo ndani ya siku tatu mkuu wa shule ya sekondari ya Nachingwea Mwalimu Longinus Nambole na Afisa elimu sekondari ya kwanini wasichukuliwe hatua za kinidhamu baada ya kushindwa kusimamia mradi wa ujenzi wa bweni la...
  7. Usinipite mwokozi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Bariadi nakuunga mkono 100% kwa hili la watendaji wa Tume ya Madini kuwaingilia

    Nimesoma taarifa za kikao kilichohusisha viongozi wa serikali ya mkoa wa simiyu na wizara ya madini chini ya kaim Afisa madini wa mkoa Ndg. Kumbulu. KWANINI NAUNGANA NA MKUU WA WILAYA MH. KISWAGA Mtu yeyote afatilie leseni zote za madini katika nchi hii, na wavumbuzi wa madini katika leseni...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje ikiwa mkuu wa kanisa akijihusisha na siasa, au ni double standard?

    Kipengele cha kwamba makanisa yasijihusishe na siasa kifutwe maana naona hakifuatwi. Kuna double standards. Lakini kikifutwa madhara yake ni makubwa. Lakini pia kama kipengele hicho hakisimamiwi pia madhara yake ni makubwa huko mbeleni. Keep my words
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi awafuta kazi Wakuu wa Kitengo cha kupambana na Covid 19 nchini humo kwa tuhuma za Matumizi mabaya ya Fedha

    Picha: Rais wa Malawi Lazarus Chakwera Rais wa Malawi Lazarus Chakwera awafuta kazi Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Majanga na Mwenyekiti wake pamoja na Maafisa wengine, kwa kushindwa kutunza kumbukumbu sahihi za jinsi fedha za kupambana na Covid 19 pamoja na kukaidi agizo lake la la kuwasilisha...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Texas Nchini Marekani latangaza mgao wa umeme

    Kama ilivyokuwa kwa mkoa wa California mnamo mwaka jana sasa mambo si mambo viunga vya Texas ambapo mahitaji ya nishati ya umeme yamezidi ugavi, na miundombinu imeelemewa. Watu wapatao milioni mbili wako gizani. Viongozi wa kisiasa na kijamii wamewaomba wakazi wa baadhi ya viunga vya mkoa huo...
  11. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Ukerewe huwatendei haki Wananchi na humwakilishi Rais vizuri

    Wakuu wa Wilaya hujinasibu kumwakilisha rais lakini baadhi ya watu hawa ni balaa. Nimesimuliwa anayoyafanya mkuu wa wilaya ya Ukerewe, yanasikitisha. Tangu Mkuu huyu wa Wilaya amepelekwa wilayani, Migogoro haiishi. Mgogogro na kanisa katoliki juu ya ardhi, migogoro na wavuvi na matumizi ya nguvu...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza awamu ya pili ya ajira 5000 za Walimu

    Serikali imetangaza awamu ya pili ya ajira ya walimu 5,000 ili kufikia idadi ya walimu 13,000 kutokana na kibali kilichotolewa na Rais John Magufuli. Septemba 7, mwaka jana Rais John Magufuli alitoa kibali cha ajira mpya za walimu 13,000 wa shule za msingi na sekondari pamoja na mafundi sanifu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu yana mambo mengi ya kujiuliza

    Vijana kama vijana tunasakamwa kila kona.Ukianzia nyumbani hapasomeki, wazazi wakati mwingine wanakuona kama mzigo, ukija kwa watengeneza sera wa nchi ndo balaaa! Viongozi wetu balaaa kubwa.Mara hatuwezi kuweka hata mbolea! Kazi kushinda mitandaoni ohh!? Mara kazi kuvuta shisha.wakati tunakua...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Temeke, chunguza kampuni ya Wachina inayojenga Mtaro Mkubwa wa Maji ya mvua

    Nimekuona ukipambana na Wachina wanaojenga barabara ya Mwendokasi huko Mbagala , sasa Wachina wale wa Mwendokasi wana nafuu mno kuliko hawa wanaojenga mtaro wa maji ya mvua kuanzia kule kwenye kiwanda cha bia cha Serengeti, haifahamiki walipataje kazi kubwa hivi kwa viwango vyao duni...
  15. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, kweli tangu awamu ya tano iingie madarakani gharama za maisha hazijapanda? Kuwa na huruma kwa Watumishi wa Umma

    Ndugu zangu wana JF, majibu ya PM Kassim Majaliwa yanashangaza sana na kutia ukakasi. Majibu aliyotoa kwa mbunge wa Konde kuwa kuongeza mishahara huongez gharama za maisha ni fedheha kubwa kwa watumishi wa umma. Hivi PM Majaliwa tokea umekuwa waziri mkuu wa Tanzania unataka kusema kuwa gharama...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa mfariji mkuu wa Taifa hili, Rais John Magufuli

    Kupitia forum hii ya JF naomba kuwasilisha ushauri wangu. kwa mjibu wa katiba yetu Rais wa JMT ndio mfariji mkuu, na kwa msingi huo naomba kumshauri raia namba moja Mh. John P. Magufuli. Rais wetu licha ya kuwa msukuma mwenzangu , yeye pia ni mwana Chato mwenzangu na jirani yangu hivyo kwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la Dar, Afariki Dunia

    Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo. Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya kifo cha Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la DSM, aliyekuwa Paroko Msaidizi wa Parokia ya Chang'ombe. Padri Boyo amefariki leo tarehe 10 Februari 2021 saa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine. Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

    Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Mh. Mariam Mtunguja alipokuwa anazungumza na madiwani na watendaji wa Halmashauri hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani. "Ni aibu sana kuona mpaka leo hii eti ukipita katikati ya mji kuna nyumba za tope " Alisema.
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ahadi uliyoahidi kwa Young Scientists wa Tanzania wanakuomba uitekeleze

    Nimemsikiliza huyu mwanasayansi kijana anayelipwa Shilingi laki mbili kwa siku akikumbushia WAZIRI MKUU ahadi aliyoahidi young scientists wa Tanzania kuwa aitekeleze.
Back
Top Bottom