mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Nimewakuta wasukuma kwenye mkutano fulani wakisalimiana 'Nyooo lefomu' na kuitikia 'Nyooo losheni'. Kazi ipo kubwa kwa haw wachunga ng'ombe

    Kweli hii kampeni ya 'no reform no election' ni wa wazungu wa EU wenye malengo wanayoyajua wenyewe. Unatumia lugha yao ambayo huku usukumani wanayaimba kama kasuku na kuyatamuka kwa lugha yao ya kisukuma. Bado nahangaika ku upload hapa hiyo video clip niliyopiga ya mkutano huo wa wasukuma...
  2. mkokamoto

    JamiiForums Tanzania Ukiona kwenye mkutano wamejaa wanaume!! Ogopa sana

    Kwenye mikutano mingi ya kisiasa wanawake na watoto hususani wanafunzi huwa ndo wengi zaidi huku ni nadra kukuta kundi kubwa namna hii la wanaume CCM na serikali yake wana la kujifunza hapa, watu wanatembea kwa miguu wengine umbali wa zaidi ya kilometa mbili, Hawajasombwa kwa magari au maroli...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Mbundi aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Afrika Mashariki

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen P. Mbundi leo tarehe 8 Mei, 2025 ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 21, leo Mei 9, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=fnOK-Jm5gpE
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzanite CEO Roundtable - Zanzibar Chapter yazindua Mkutano wa kwanza wa Sheria za kazi Zanzibar

    Zanzibar leo Mei 8, 2025, imeweka historia ya kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa kwanza wa Sheria za kazi, Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya Tanzanite CEO Roundtable - Zanzibar Chapter kwa kushirikiana na Kamisheni ya Kazi Zanzibar (ZLC), mkutano huo wa siku moja umefanyika katika Ukumbi wa...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki kikamilifu mkutano wa mazingira duniani nchini Denmark

    TANZANIA YASHIRIKI KIKAMILIFU MKUTANO WA MAZINGIRA DUNIANI NCHINI DENMARK Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira duniani unaofanyika tarehe kuanzia leo tarehe 7 hadi 8 Mei, 2025, jijini Copenhagen nchini Denmark...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 18 Mei 6, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 18 Mei 6, 2025 https://www.youtube.com/live/jisddABy9Sw?si=ZPv7ivAftZBx_pFm
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shabani anazungumza na Wanahabari, Mei 5, 2025

    https://www.youtube.com/live/EV0n0sLG1Zs?si=A_fxrMIQec4ggyrP Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani ameeleza kusikitishwa kwake na kauli ya Mkuu...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Uhuru wa Kitaaluma ( Academic Freedom) UDSM 29/4-2/5

    Wasomi wa Mlimani toka tarehe 29/04-02/05 Wana Mkutano wa kitaaluma wanajadili Uhuru wa Kitaaluma (Academic Freedom) ingawa wenyewe wamefungwa kwenye minyonyoro ya utumwa wa fikra na uchawa
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 29, 2025 Jijini Dodoma

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 29, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa Fedha 2025/2026...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 12, Aprili 25, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=LEZweMHSLdU&pp=0gcJCYQJAYcqIYzv
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Kumi, Aprili 23, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 23, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa leo. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji...
  13. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chalamila: Kariakoo ni eneo la biashara siyo sehemu ya kufanyia mikutano ya hadhara

    Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Tisa, Aprili 22, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 22, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Nane, tarehe 17 Aprili 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 17, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yawasilisha Bungeni makadirio ya bajeti yake ya mwaka 2025/26 Aprili 16, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 16, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa na kuanza kujadiliwa. Shughuli nyingine ni Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Sita, Aprili 15, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 15, 2024 bungeni Jijini Dodoma ambapo mjadala wa hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 utahitimishwa. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali Serikali...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Tano, Aprili 14, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 14, 2024 bungeni Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa RPC RUVUMA alomwambia HECHE "kama unataka kufanya Mkutano RUVUMA usitaje 'No Reforms ,No Election ' "

    Heche akamjibu, kama unataka kutuelekeza kitu gan Cha kusema, Jiunge CHADEMA, uwe Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama , https://youtu.be/AjPXZwgFDjI?si=GMDzGrR72Oy73PMu
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19 Kikao cha Nne, leo Aprili 11, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 11, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Kutakuwa pia na taarifa ya matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake yaliyochapishwa...
Back
Top Bottom